Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Sasa nchi itabakia na watoto peke yao? [emoji848][emoji848]Kila mtu ajilinde, watoto hawawezi kufa ila Wazee watakufa
13. Naye Mungu akaendelea kumfanya Mfalme wa Wadanganyika awe na shingo ngumu asiweze hata kung'amua hatari iliyoko mbele yake. 14. Hayo yote yalifanyika ili anguko lake litimie kwa wakati, naam nalo anguko hilo liwe anguko kuu. 15. Hata waliokuwa wakimdanganya mfalme watamcheka na kusema hawakuwa pamoja naye katika maamuzi yake yenye kukosa hekima.Rip padre
Vitoto hivi ndiyo vibaya sana ndugu yangu, vinabeba Corona huko kwenye matamasha ya tumewasha vinakwenda kuuwa wazazi.Kila mtu ajilinde, watoto hawawezi kufa ila Wazee watakufa
Kwanini wasisitishe Ibada kwa muda kupisha huu upepo, Jumapili zikifika watu nyomi Kanisani mnataka afe nani ili mjue hali mbaya.
hata mimi nashindwa kuelewaChanzo cha kifo hakisemwi!
Kwani Wewe hukijui Ndugu?Chanzo cha kifo hakisemwi!
Si bure na inawezekana ikiwa ni ile changamoto inahusika.hata mimi nashindwa kuelewa