TANZIA Padri wetu mpendwa Ernest Donald Boyo wa Jimbo Kuu la Dar, Afariki Dunia

TANZIA Padri wetu mpendwa Ernest Donald Boyo wa Jimbo Kuu la Dar, Afariki Dunia

Watoto wa mjini wanasema amekufa na utamu wake
 
Majimbo ya Kusini huko hali ni tete sana makasisi zaidi ya 5 wamedondoka Desemba Februari

Kwa Nini watoa huduma za dini ndio wengi wanapukutika... Hasa hii dini ya mzungu..

Je hili linaweza kuwa Ni fumbo? Kwamba Mungu sio wa kum dhihaki...
 
Vitoto hivi ndiyo vibaya sana ndugu yangu, vinabeba Corona huko kwenye matamasha ya tumewasha vinakwenda kuuwa wazazi.
Yah wao ndio kama carriers. Na kwa vile immune zao kubwa risk ya kubaki na maradhi huwa ndogo.
 
Apumzike kwa amani!

Mungu endelea kutupa nafasi ya kupambanua haya tunayoyapitia, kwa akili na nguvu zetu hatuwezi!
 
Back
Top Bottom