Dua hiyo ikupate wewe na wanao13. Naye Mungu akaendelea kumfanya Mfalme wa Wadanganyika awe na shingo ngumu asiweze hata kung'amua hatari iliyoko mbele yake. 14. Hayo yote yalifanyika ili anguko lake litimie kwa wakati, naam nalo anguko hilo liwe anguko kuu. 15. Hata waliokuwa wakimdanganya mfalme watamcheka na kusema hawakuwa pamoja naye katika maamuzi yake yenye kukosa hekima.
Chato 3:13-15