TANZIA Padri wetu mpendwa Ernest Donald Boyo wa Jimbo Kuu la Dar, Afariki Dunia

Dua hiyo ikupate wewe na wanao
 
Kanisa lazima lijitafakari Imani ukiiwekea shaka lazima uanguke mt 14:30....
Acha kulaumu watu. Wote tunawajibika na tuchukue hatua. Kinachokatisha tamaa ni kukosa uongozi wa pamoja unaotokana na taarifa sahii kuhusu janga hili huku tukimwamini Mungu
 
TANZIA: Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki DSM Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi anasikitika kutangaza kifo cha Padri Ernest Donald Boyo wa Parokia ya Chang'ombe Jimbo Kuu la DSM.

Padre Boyo alifariki jana Jumatano katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili.

 
Hawa watumishi wa Mungu wamekuwa wazito kutoa waraka ngoja iwatandike akili ziwakae sawa.

Ingekuwa vyema watoe tahadhari kwa waumini ikiwezekana wasisitishe misa zote hadi pale hali itakapotengemaa.
Wewe unategemea wataishije bila sadaka mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…