Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
Papa Francis ameridhia ombi kutoka kwa padri William Ntengi wa jimbo katoliki Geita la kuondolewa daraja takatifu la upadri.
Barua ya uamuzi huo imesomwa kanisani na askofu Flavian Matindi Kassala wa jimbo katoliki Geita, kufuatia ombi binafsi la padri huyo.
Mungu ambariki katika yake mapya kama muumini wakawaida.
Video ya barua ikisomwa
View: https://youtu.be/XeaX46pYGOw?si=MSVJV4QGI9Gni8uX