Padri William Ntengi Wa Jimbo Katoliki Geita Aondolewa Daraja La Upadri(Ukasisi)

Padri William Ntengi Wa Jimbo Katoliki Geita Aondolewa Daraja La Upadri(Ukasisi)

Kila mtu aweza toa wazo lake binafsi lakini ukweli mzima anaujua mwenyewe nini mpaka kimemfanya kuchukua maamuzi hayo yawezekana ni kweli kaamua mwenyewe au kaamuliwa pia kanisa linapitia mengi sana. Tuzidi kuliombea basi ukiangalia waweza muunga mkono chioma hivihivi 😂🤣😂🤣 bora iwe maamuzi yake kweli itakia njema.

Sikiliza kwa makini maneno ya Askofu: ameamua kuacha.... ameachishwa 😂🤣😂😂 hilo ndo kanisa.
 
Baada ya kusomeshwaaaa akapata anachotaka akaamua kuachana na u-single... Sawa, that's good
 
Kila mtu aweza toa wazo lake binafsi lakini ukweli mzima anaujua mwenyewe nini mpaka kimemfanya kuchukua maamuzi hayo yawezekana ni kweli kaamua mwenyewe au kaamuliwa pia kanisa linapitia mengi sana. Tuzidi kuliombea basi ukiangalia waweza muunga mkono chioma hivihivi 😂🤣😂🤣 bora iwe maamuzi yake kweli itakia njema.

Sikiliza kwa makini maneno ya Askofu: ameamua kuacha.... ameachishwa 😂🤣😂😂 hilo ndo kanisa.
Askofu kasema wazi kwamba padri ndie alieandika barua yakuomba kuacha.
 
Askofu kasema wazi kwamba padri ndie alieandika barua yakuomba kuacha.
Ndugu elewa sana mambo yanavyoenda katika kanisa ni tofauti na unavyofikiri pengine njia hiyo ndiyo ambayo ilikua na unafuu kwake na kwa kanisa kuonesha kaacha, (wenyewe wanaita lesser evil) sio jambo jepesi angalia hata takwimu za walioacha hasa Africa achana na mabara mengine kulingana na tamaduni zao. Sio simple kiasi hicho. Yangoswe mwachie Ngoswe jua ukwel wanaujua wao uongozi na mhusika hata kama waumini watajua lakini sio katika ukamilifu wake. Mara nyingi ni here say sio reality. Angalia michango ya watu wengi ni ili ni lile. Wanaita Mama Kanisa 😂🤣😂🤣

Hii ndio ile waniita think in the mind of the Church 🔥

Labda kuongezea kidogo mahubiri ni matamanio ya maisha yapasavyo kuwa na si jinsi tunavyoishi katika uhalisia.
 
Ndugu elewa sana mambo yanavyoenda katika kanisa ni tofauti na unavyofikiri pengine njia hiyo ndiyo ambayo ilikua na unafuu kwake na kwa kanisa kuonesha kaacha, sio jambo jepesi angalia hata takwimu za walioacha hasa Africa achana na mabara mengine kulingana na tamaduni zao. Sio simple kiasi hicho. Yangoswe mwachie Ngoswe jua ukwel wanaujua wao uongozi na mhusika hata kama waumini watajua lakini sio katika ukamilifu wake. Wanaita Mama Kanisa 😂🤣😂🤣

Hii ndio ile waniita think in the mind of the Church 🔥
Kitu kimesemwa wazi.. wewe unataka kujifanya ni mtaalam wa conspiracies na nadharia fikirika.
Unaweza kuchagua hizo nadharia zako binafsi nipo karibu na kanisa mahalia na kama muumini na pia nina ukaribu wa urafiki na muhusika tangu utoto wetu tumesoma pamoja makoko seminary. Yeye akaenda malangali advance mimi galanos.

Ndio kusema hakuna jambo lolote la siri ndani ya kanisa ktk nia yake hiyo
Tumsifu yesu kristo.
 
Back
Top Bottom