Padri William Ntengi Wa Jimbo Katoliki Geita Aondolewa Daraja La Upadri(Ukasisi)

Kitu kimesemwa wazi.. wewe unataka kujifanya ni mtaalam wa conspiracies na nadharia fikirika.
Unaweza kuchagua hizo nadharia zako binafsi nipo karibu na kanisa mahalia na kama muumini na pia nina ukaribu wa urafiki na muhusika tangu utoto wetu tumesoma pamoja makoko seminary. Yeye akaenda malangali advance mimi galanos.

Ndio kusema hakuna jambo lolote la siri ndani ya kanisa ktk nia yake hiyo
Tumsifu yesu kristo.
Kweli hakuna jambo la siri katika kanisa kaka?
 
Kafanya kosa gani? Au anamaliza mche wa sabuni ndani ya siku mbili?
 
Ndugu elewa sana mambo yanavyoenda katika kanisa ni tofauti na unavyofikiri pengine njia hiyo ndiyo ambayo ilikua na unafuu kwake na kwa kanisa kuonesha kaacha, (wenyewe wanaita lesser evil) sio jambo jepesi angalia hata takwimu za walioacha hasa Africa achana na mabara mengine kulingana na tamaduni zao. Sio simple kiasi hicho. Yangoswe mwachie Ngoswe jua ukwel wanaujua wao uongozi na mhusika hata kama waumini watajua lakini sio katika ukamilifu wake. Mara nyingi ni here say sio reality. Angalia michango ya watu wengi ni ili ni lile. Wanaita Mama Kanisa 😂🤣😂🤣

Hii ndio ile waniita think in the mind of the Church 🔥

Labda kuongezea kidogo mahubiri ni matamanio ya maisha yapasavyo kuwa na si jinsi tunavyoishi katika uhalisia.
HERE SAY? Sasa ndio umeandika vidudu gani wewe?
 
Kitu kimesemwa wazi.. wewe unataka kujifanya ni mtaalam wa conspiracies na nadharia fikirika.
Unaweza kuchagua hizo nadharia zako binafsi nipo karibu na kanisa mahalia na kama muumini na pia nina ukaribu wa urafiki na muhusika tangu utoto wetu tumesoma pamoja makoko seminary. Yeye akaenda malangali advance mimi galanos.

Ndio kusema hakuna jambo lolote la siri ndani ya kanisa ktk nia yake hiyo
Tumsifu yesu kristo.
Kweli hakuna jambo la siri katika kanisa kaka.
HERE SAY? Sasa ndio umeandika vidudu gani wewe?
Yani maneno ambayo yanasikika tu na sio uhalisia wa yeye kuomba kuacha. Lugha nyepesi maneno ya mtaani au prejudice atakua katolew atakua atakua atakua kila mtu aweka lake .......
 
Kitu kimesemwa wazi.. wewe unataka kujifanya ni mtaalam wa conspiracies na nadharia fikirika.
Unaweza kuchagua hizo nadharia zako binafsi nipo karibu na kanisa mahalia na kama muumini na pia nina ukaribu wa urafiki na muhusika tangu utoto wetu tumesoma pamoja makoko seminary. Yeye akaenda malangali advance mimi galanos.

Ndio kusema hakuna jambo lolote la siri ndani ya kanisa ktk nia yake hiyo
Tumsifu yesu kristo.
Mwamba ana vitoto muulize vizuri atakwambia
 
Kitu kimesemwa wazi.. wewe unataka kujifanya ni mtaalam wa conspiracies na nadharia fikirika.
Unaweza kuchagua hizo nadharia zako binafsi nipo karibu na kanisa mahalia na kama muumini na pia nina ukaribu wa urafiki na muhusika tangu utoto wetu tumesoma pamoja makoko seminary. Yeye akaenda malangali advance mimi galanos.

Ndio kusema hakuna jambo lolote la siri ndani ya kanisa ktk nia yake hiyo
Tumsifu yesu kristo.
Basi kama hakuna siri iwekwe wazi kwa nini kaomba kuacha wewe uliesoma nae labda unajua zaidi ya askofu muumini wa kanisa mahalia
 
View attachment 3306436
Papa Francis ameridhia ombi kutoka kwa padri William Ntengi wa jimbo katoliki Geita la kuondolewa daraja takatifu la upadri.

Barua ya uamuzi huo imesomwa kanisani na askofu Flavian Matindi Kassala wa jimbo katoliki Geita, kufuatia ombi binafsi la padri huyo.

Mungu ambariki katika yake mapya kama muumini wakawaida.

Video ya barua ikisomwa

View: https://youtu.be/XeaX46pYGOw?si=MSVJV4QGI9Gni8uX

Anyway, leo Alhamisi kuu ni siku ya mapadri. Tuwaombee sana mapadri hawa
 
Upadre kazi ngumu sana ,labda nihasiwe kwanza ndo niweze kuishi bila kufanya starehe ya ngono la sivyo ntawavaa masister .
 
View attachment 3306436
Papa Francis ameridhia ombi kutoka kwa padri William Ntengi wa jimbo katoliki Geita la kuondolewa daraja takatifu la upadri.

Barua ya uamuzi huo imesomwa kanisani na askofu Flavian Matindi Kassala wa jimbo katoliki Geita, kufuatia ombi binafsi la padri huyo.

Mungu ambariki katika yake mapya kama muumini wakawaida.

Video ya barua ikisomwa

View: https://youtu.be/XeaX46pYGOw?si=MSVJV4QGI9Gni8uX

Amefanya jambo jema sana kuliko kufanya umalaya akiwa padre
 
Back
Top Bottom