Padri William Ntengi Wa Jimbo Katoliki Geita Aondolewa Daraja La Upadri(Ukasisi)

Kwa hiyo kwa R.C ni mtu mmoja tu ndiye mwenye kuthibitisha au idhinisha utumishi wa mtu kwa Mungu?
 
Ni mchakato.. na hiyo mamlaka superiority.
Lakini kwamba personal papa ndio anaamua, na unaweza kuta hajui kama kuna jambo kama hilo.
Ukisikiliza video kuna maelezo mazuri mwishoni
 
View attachment 3306436
Papa Francis ameridhia ombi kutoka kwa padri William Ntengi wa jimbo katoliki Geita la kuondolewa daraja takatifu la upadri.

Barua ya uamuzi huo imesomwa kanisani na askofu Flavian Matindi Kassala wa jimbo katoliki Geita, kufuatia ombi binafsi la padri huyo.

Mungu ambariki katika yake mapya kama muumini wakawaida.

Video ya barua ikisomwa

View: https://youtu.be/XeaX46pYGOw?si=MSVJV4QGI9Gni8uX

Kuwa padri Sio shida .. shida ni pale wanapotumia sadaka zetu kuja kugombea Nyapuu zetu Huku kitaa.

Yani inasumbua Sana hiyo kitu.
Sadaka yangu na hela yangu ya matumizi zote zinarudi kwa wanawake wa kitaa 🥴🥴🥴🥴🙏🙏🙏
 
Bahati mbaya sana watz sio wadadisi na hupokea habari kama zinavyotolewa bila tafakuri wala kuhoji ukweli, nia na madhumuni.
1. Sheria ya Kanisa Katoliki no 290 inasema hivi a person ordained into priesthood never becomes invalid. Ndio kusema Pd Ntengi anaendelea kuwa padre wa kanisa katoliki mpaka kifo chake. Upadre unampa muhusika an indelible mark - chapa isiyofutika milele.
2. Kilichofanyika huyo padre amekuwa laiced, amepewa hadhi ya ulei, kusudi apate haki wanazokuwa nazo walei, kwa sbb hataki tena kuendelea kuwa padre wa huduma. Hadhi hii amewahi pia kupewa marehemu pd Karugendo wa jimbo la Rulenge ambaye hatimaye alifunga ndoa. Pd Dr Slaa yeye hajapewa hadhi hii, maana inapaswa kuombwa na padre mwenyewe kupitia kwa askofu wake.
3. Majimbo mengi hapa Tz yana mapadre wengi ambao hawatoi huduma lkn maaskofu wao wamekataa kuthibitisha maombi yao kwa Vatican kwa kuwakomoa au kuendelea kufaidika na posho zao, maana wakipungua nanposho upungua pia!
4. Hata katika hadhi aliyonayo sasa Bwana Ntengi ana ruhusa ya kanisa ya kuhadhimisha baadhi ya sakramenti ktk hali ya hatari ya kifo
 
Namba 3 umeandika uongo.
Cc Ludoby
 
View attachment 3306436
Papa Francis ameridhia ombi kutoka kwa padri William Ntengi wa jimbo katoliki Geita la kuondolewa daraja takatifu la upadri.

Barua ya uamuzi huo imesomwa kanisani na askofu Flavian Matindi Kassala wa jimbo katoliki Geita, kufuatia ombi binafsi la padri huyo.

Mungu ambariki katika yake mapya kama muumini wakawaida.

Video ya barua ikisomwa

View: https://youtu.be/XeaX46pYGOw?si=MSVJV4QGI9Gni8uX

Wakati anaondoka kwenye makazi ya mapadri wamchunge sana asije akaondoka na sista Gaudensia.
 
Namba 3 umeandika uongo.
Cc Ludoby
Kwel kabisa namba 3 uongo mkubwa uliokithiri, kwa kuhakikisha nidhamu ya mapadri inakua njema askofu/mkuu wa shirika aweza kumpa adhabu ya kutoadhimisha sakramenti mbalimbali kwa lengo la kusahihisha makosa yake ni kama suspension fulani. Kuhusu posho hapana kabisa sio sababu ya kumfanya askofu kushindwa kutenda kazi zake, maana lazima kujiuliza posho zenyewe zapatikana vipi?
 
Wakati snaondoka kwenye makazi ya mapadri wamchunge sana asije akaondoka na sista Gaudensia.
Umeenda mbali vipi kama wakikubaliana? si njema kumpangia maisha ya hapo badae na kumtaja mtu moja kwa moja.

Napenda kutilia mkazo katika kuelezea swala lililomfanya yeye aondolewe haki za upadri wake yeye na uongozi ndio wanaweza kuelezea ukweli na si vinginevyo.

Askofu kaeleza ili kufahamisha waumini kwamba hatoi tena huduma za kipadre maana kapewa hadhi ya ulei na kuondolewa hadhi ya upadri.

Tena alikazia kwa kujibiwa binafsi binafsi binafsi pigia mstari neno binafsi. Inamaanisha hat kuacha kwake ni kwa sababu anazozijua na kushawishika nazo yeye na askofu pia.
 
Back
Top Bottom