Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,992
- 5,665
View attachment 3306436
Papa Francis ameridhia ombi kutoka kwa padri William Ntengi wa jimbo katoliki Geita la kuondolewa daraja takatifu la upadri.
Barua ya uamuzi huo imesomwa kanisani na askofu Flavian Matindi Kassala wa jimbo katoliki Geita, kufuatia ombi binafsi la padri huyo.
Mungu ambariki katika yake mapya kama muumini wakawaida.
Video ya barua ikisomwa
View: https://youtu.be/XeaX46pYGOw?si=MSVJV4QGI9Gni8uX
Sio kosa lake hata sura yake haifanani na ya Padre, inafanana na mtumishi wa uma