Umsumbalembe
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 944
- 871
Unaweza kama huna watoto kwa kuzingatia sheria za kanisa.Je kwa Mimi muumini wa kawaida naweza kutoka maisha ya ndoa nikawa mtawa? (Padre)
Unaweza kama huna watoto kwa kuzingatia sheria za kanisa.Je kwa Mimi muumini wa kawaida naweza kutoka maisha ya ndoa nikawa mtawa? (Padre)
Jamani kutoka maisha ya ndoa inabidi aeleze kwel kweli kwa maana lazima ndoa itenguliwe au ionekane ni batili kama labda alilazimishwa hivi. Au ruhusa ya mke wake halali wa ndoa.Unaweza kama huna watoto kwa kuzingatia sheria za kanisa.
Pm ya kupitiana kama kwenda masigid?Twende pm
Aligundua amewakosea mizimu yake inayomtaka awe na mke. Dini imevuruga mila zetu, karibu baba ili uimarishe jadi yako.Bora huyu kaamua njia sahihi ,mishangazi inayoimbaga kwaya Ile moja lazima AOE na ndilo limemchanganya
Wee muongo sana, mmmhTwende pm
Jamaniiii, 😂😂😂😂😂Anataka Kuloweka Naye Apate Yote Ya Duniani Na Mbinguni
Sasa unataka niitembelee au? LolWw unawezaje kukimbia Qummer
Kwa kweli.Ni uamuzi mzuri akiwa nje ya kiapo
Yeye aliandika barua kwa Papa kuomba aondolewe kwenye upadri, Papa ameridhia ombi lake.Umeenda mbali vipi kama wakikubaliana? si njema kumpangia maisha ya hapo badae na kumtaja mtu moja kwa moja.
Napenda kutilia mkazo katika kuelezea swala lililomfanya yeye aondolewe haki za upadri wake yeye na uongozi ndio wanaweza kuelezea ukweli na si vinginevyo.
Askofu kaeleza ili kufahamisha waumini kwamba hatoi tena huduma za kipadre maana kapewa hadhi ya ulei na kuondolewa hadhi ya upadri.
Tena alikazia kwa kujibiwa binafsi binafsi binafsi pigia mstari neno binafsi. Inamaanisha hat kuacha kwake ni kwa sababu anazozijua na kushawishika nazo yeye na askofu pia.
Soon tutahamia utawani.Wadada Wazuri mnafanya Kazi ya upadri kuwa ngumu saaana.
😂😂😂😂Maisha ya kupata wet dreams kuchafua mashuka kayachoka
Lililoulizwa ni zipi sababu ndo mana nikajibu hivyo.Yeye aliandika barua kwa Papa kuomba aondolewe kwenye upadri, Papa ameridhia ombi lake.
View attachment 3306436
Papa Francis ameridhia ombi kutoka kwa padri William Ntengi wa jimbo katoliki Geita la kuondolewa daraja takatifu la upadri.
Barua ya uamuzi huo imesomwa kanisani na askofu Flavian Matindi Kassala wa jimbo katoliki Geita, kufuatia ombi binafsi la padri huyo.
Mungu ambariki katika yake mapya kama muumini wakawaida.
Video ya barua ikisomwa
View: https://youtu.be/XeaX46pYGOw?si=MSVJV4QGI9Gni8uX
Umekunywa kinywaji gani mkuuHuyu ndo yule aliyehusika kutafuta pesa kupitia kumwua Albino mtoto.
Anaonekana siyo Mtanzania PUMBAVU zake.
Anapaswa ANYONGWE
Ndio yule wa shirika sasa jimbo?!Bora huyu kafanya hivyo ila kuna Padri anawatoto amezaa na nesi mmoja hivi,bahati mbaya yule nesi amefariki......watoto aliwapa majina ya viongozi mmoja anaitwa Putin......
Pia kuna Padri mmoja wa kanisa moja hapo tabata anakula sana bata na binti mmoja hapa mjini Club zote za mjini anaenda na anakula sana mtungi.....ila hata akeshe Kanisani hakosei kwa wale anao wahudumia huko tabata
Wakukurupuka huwa hamkosekani.Huyu ndo yule aliyehusika kutafuta pesa kupitia kumwua Albino mtoto.
Anaonekana siyo Mtanzania PUMBAVU zake.
Anapaswa ANYONGWE