Padri William Ntengi Wa Jimbo Katoliki Geita Aondolewa Daraja La Upadri(Ukasisi)

Padri William Ntengi Wa Jimbo Katoliki Geita Aondolewa Daraja La Upadri(Ukasisi)

mwacheni kamarade apige show maamae walay ile kitu simchezo eti unataka ishindane na nature thubutuuuuuuuuuu kama MD tanesco mwenyewe kaacha kid 15 wake wawili tena unaambiwa walikuwa watatu na vidumu usiseme unataka yeye aishi kama malaika ama, bora yeye kakataa unafiki
 
Huyu ndo yule aliyehusika kutafuta pesa kupitia kumwua Albino mtoto.

Anaonekana siyo Mtanzania PUMBAVU zake.
Anapaswa ANYONGWE
Hapana, siyo yeye, huyu jamaa namfahamu nimesoma naye o level
 
Bahati mbaya sana watz sio wadadisi na hupokea habari kama zinavyotolewa bila tafakuri wala kuhoji ukweli, nia na madhumuni.
1. Sheria ya Kanisa Katoliki no 290 inasema hivi a person ordained into priesthood never becomes invalid. Ndio kusema Pd Ntengi anaendelea kuwa padre wa kanisa katoliki mpaka kifo chake. Upadre unampa muhusika an indelible mark - chapa isiyofutika milele.
2. Kilichofanyika huyo padre amekuwa laiced, amepewa hadhi ya ulei, kusudi apate haki wanazokuwa nazo walei, kwa sbb hataki tena kuendelea kuwa padre wa huduma. Hadhi hii amewahi pia kupewa marehemu pd Karugendo wa jimbo la Rulenge ambaye hatimaye alifunga ndoa. Pd Dr Slaa yeye hajapewa hadhi hii, maana inapaswa kuombwa na padre mwenyewe kupitia kwa askofu wake.
3. Majimbo mengi hapa Tz yana mapadre wengi ambao hawatoi huduma lkn maaskofu wao wamekataa kuthibitisha maombi yao kwa Vatican kwa kuwakomoa au kuendelea kufaidika na posho zao, maana wakipungua nanposho upungua pia!
4. Hata katika hadhi aliyonayo sasa Bwana Ntengi ana ruhusa ya kanisa ya kuhadhimisha baadhi ya sakramenti ktk hali ya hatari ya kifo
Kwan mapadre wanapewa posho au mshahara?
 
Kwan mapadre wanapewa posho au mshahara?
Mapadre wa Tanzania hawalipwi mshahara lakini mapadre wa Ulaya wanalipwa mshahara na kukatwa kodi na kuwekewa fedha kwenye mifuko ya kijamii pindi wakistaafu wasihangaike.
Huku bara la giza bado mnaambiwa ni kazi ya wito, kujitolea. Ulaya hakuna kujitolea hata anaefagia kanisa analipwa, huwezi ita watu kule eti waje wafanye usafi parokiani.
Tofauti nyingine huku bara la giza mapadre wote wanaishi parokiani, kule ulaya, sehemu nyingi ni paroko tu ndio anaishi parokiani, wengine wanapqnga huko mitaani, au kuishi kwa wazazi wao!
 
Back
Top Bottom