Anataka Kuloweka Naye Apate Yote Ya Duniani Na MbinguniAnataka awe and faudu nyapuu kwa uwazi na awe na familia.
Safi pia.
Huyu ndo yule aliyehusika kutafuta pesa kupitia kumwua Albino mtoto.View attachment 3306436
Papa Francis ameridhia ombi kutoka kwa padri William Ntengi wa jimbo katoliki Geita la kuondolewa daraja takatifu la upadri.
Barua ya uamuzi huo imesomwa kanisani na askofu Flavian Matindi Kassala wa jimbo katoliki Geita, kufuatia ombi binafsi la padri huyo.
Mungu ambariki katika yake mapya kama muumini wakawaida.
Video ya barua ikisomwa
View: https://youtu.be/XeaX46pYGOw?si=MSVJV4QGI9Gni8uX
Ww unawezaje kukimbia QummerAnataka awe and faudu nyapuu kwa uwazi na awe na familia.
Safi pia.
Bora ameacha kwa kufuata taratibu ili afanye kwa uwazi na uhuru,vyema sana hakutaka kuidanganya jamii alijua jamii ataidanganya lakini hatamdanganya Mungu.Anataka Kuloweka Naye Apate Yote Ya Duniani Na Mbinguni
Mkuu siyo umewachanganya kweli?Huyu ndo yule aliyehusika kutafuta pesa kupitia kumwua Albino mtoto.
Anaonekana siyo Mtanzania PUMBAVU zake.
Anapaswa ANYONGWE
Je akiamua kuchumbia na kuoa ataruhusiwa kufunga ndoa kanisani?Mungu ambariki katika yake mapya kama muumini wakawaida.
Ni uamuzi mzuri akiwa nje ya kiapoAnataka awe and faudu nyapuu kwa uwazi na awe na familia.
Safi pia.
siyo huyu bana.Huyu ndo yule aliyehusika kutafuta pesa kupitia kumwua Albino mtoto.
Anaonekana siyo Mtanzania PUMBAVU zake.
Anapaswa ANYONGWE