Pafyumu za kupima-Utajiri nje nje!

Mtoa uzi usipofafanua vizuri wataibuka watu waseme unataka watu waje PM uwapige

Babati na perfume wapi na wapi
 
Picha
Picha ya kwanza ni perfume za syria, je nazo zinatoka Babati?
 
Babati Kuna ufuska sana. Hapo Bora wangeanzisha kiwanda cha condom na pampers
 
Babati + Kiwanda + Perume ya Joslin

Babati labda kiwanda cha Alizeti au Pumba
 
Sijaelewa kwanini mnamshambulia Mtoa Mada,
Kwani huko kwenu hamuoni hayo mapafyum ya kupima?? Yamejaa tele hata wakazi wa Kigamboni karibu na kukata tiketi yanapoingilia magari kuna duka pale wanauza hayo madude ya kupima,

Mtoa Mada kasema ukitaka kufanya biashara nenda Babati kanunue Pipa lako uanze kupiga hela, wanatokea jobless wanaleta ujuaji, kwa kweli Jamii Forum kuna wajuaji sana na ukiwaangalia wengi ni graduates waliokata tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…