Pafyumu za kupima-Utajiri nje nje!

My dia mm nimuhanga wa kebehi, kubezwa kwa kuleta fursa hapa jukwani kutoka kwa wadau. Nilishukiwa kama mwewe vile. Mwisho w cku nikaona ngoja kila mtu ashinde mechi zake tu
 
Utajiri nje nje......, Hii Tabia ya ku-oversell inawapelekea baadhi ya watu kukurupuka bila kufanya due diligence.....

Ni kweli perfume za kupima zipo ila pia ni ukweli usiopingika luxury product unaweza ukaziuza kwa bei ya juu na kuzifanya unique na ukapata pesa maradufu kwa mtaji / overheads ndogo sana..., ukiamua kwenda kwa wa mafungu jua kwamba unawapoteza high end customers..., kwahio ni kweli wateja wapo (lakini ulivyosema hayo yamejaa tele inamaanisha na competition ni stiff kwahio utajiri nje nje ni marketing language tu)..

Pia wanaomshambulia ni sababu hatoi information moja kwa moja bali kwa mafungu.....
 
Kwa wazoefu wa hiz perfume za kupma ..naomba maelezo zaid ......mfano zinapakiwa kwnye package gan na faida zikoje n.k....walau kamchanganuo kias
 
Hii biashara kuna dalili za kupigwa cheupe chekundu.
mleta mada kakazania babati tu babati tu.
Kwan hata ukieleza kwa kina zaid mtu ambaye ndio kwanza kaskia hyo biashara kuna ubaya gan bos?.....anyways...wacha twende DM
 
Utajiri wa halali na wa chapu upo kwenye kutengeneza petrol na diesel mbadala hasa kipindi hiki cha nishati kuzidi kupanda bei. Raw materials zipo zimejaa tele kwa cheap cost
Mkuu toa maelezo ya kutosha tupate somo.
Ni raw materials zipi zinaweza kutumika kutengeneza petrol/diesel mbadala?
Na vifaa gani vinavyotumika kwenye hiyo process?Na mtaji kiasi gani unaweza kutosha kuanzisha na kuendesha huo mradi?
 
Mkuu toa maelezo ya kutosha tupate somo.
Ni raw materials zipi zinaweza kutumika kutengeneza petrol/diesel mbadala?
Na vifaa gani vinavyotumika kwenye hiyo process?Na mtaji kiasi gani unaweza kutosha kuanzisha na kuendesha huo mradi?
Ingia youtube elimu tele zimejaa.
Sisi ni masikini sababu hatusaki maarifa.
Jifunze kutengeneza ethanol, methanol, biofuel nk.
Raw materials takataka za plastic,tairi na mipira,oil chafu,maranda,mabaki ya mboga na matunda yaliyoharibika masokoni,unga wa muhogo,mbegu za muarobaini,nyonyo, mibono, majani na nyasi nk zote hizi unapata clean fuel ya kuendesha gari, mitambo, na KILA aina ya injini ya chombo cha moto.
 
Babati huki sehemu gani jamani,na mimi nikajaze angalau kwenye kidumu changu cha lita 5.....
 
sawa nimekupata
 
Mnauza SUMU mnadai pafyumu
Hii inaweza kuwa na ukweli,mimi kuna siku nilishuka pale Manzese Dar,nikakuta mtu anauza hizi perfume zilikuwa ni nyingi mno,nikachagua iliyonivutia akanipimia nikaondoka zangu,nilipokuwa hotel nimetoka kuoga nikasema ngoja nijipulizie ,nilipata kizunguzungu cha ajabu,nika chukua nguo zote nilizopulizia nikazifunga kwenye mfuko wa plastick,siku nyingine pia nikajaribu kutest kupulizia ile hali ikanirudia tena,nilichofanya ni kuitupa ile perfume japo ilikuwa inanukia vizuri sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…