Data mining
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 406
- 484
Ni aina gani au ni zile za buku tatu za kiarabuHii inaweza kuwa na ukweli,mimi kuna siku nilishuka pale Manzese Dar,nikakuta mtu anauza hizi perfume zilikuwa ni nyingi mno,nikachagua iliyonivutia akanipimia nikaondoka zangu,nilipokuwa hotel nimetoka kuoga nikasema ngoja nijipulizie ,nilipata kizunguzungu cha ajabu,nika chukua nguo zote nilizopulizia nikazifunga kwenye mfuko wa plastick,siku nyingine pia nikajaribu kutest kupulizia ile hali ikanirudia tena,nilichofanya ni kuitupa ile perfume japo ilikuwa inanukia vizuri sana...
Hapana,ni hizi ambazo zimezagaa sasa hivi kwenye maduka mengi,zina majina ya perfume zenye majina makubwa...Ni aina gani au ni zile za buku tatu za kiarabu
Biodiesel inaweza tengenezwa na products nyingi Sana kama mdau alivyofafanua hapo , ni wewe Tu kujifunza na kuchagua rawmaterial ambayo itakuwa cheap au with zero cost kwako then kutafuta mitambo ya uchakatajiIngia youtube elimu tele zimejaa.
Sisi ni masikini sababu hatusaki maarifa.
Jifunze kutengeneza ethanol, methanol, biofuel nk.
Raw materials takataka za plastic,tairi na mipira,oil chafu,maranda,mabaki ya mboga na matunda yaliyoharibika masokoni,unga wa muhogo,mbegu za muarobaini,nyonyo, mibono, majani na nyasi nk zote hizi unapata clean fuel ya kuendesha gari, mitambo, na KILA aina ya injini ya chombo cha moto.
Hadi weeds grasses / magugu na nyasi ni nzuri pia na wanasema zina biomass kubwa hivyo ni nzuri kuzalisha biodieselIngia youtube elimu tele zimejaa.
Sisi ni masikini sababu hatusaki maarifa.
Jifunze kutengeneza ethanol, methanol, biofuel nk.
Raw materials takataka za plastic,tairi na mipira,oil chafu,maranda,mabaki ya mboga na matunda yaliyoharibika masokoni,unga wa muhogo,mbegu za muarobaini,nyonyo, mibono, majani na nyasi nk zote hizi unapata clean fuel ya kuendesha gari, mitambo, na KILA aina ya injini ya chombo cha moto.
Inabidi ufanye utafiti kwanza kabla ya kwenda dukani ,Kuna maduka wanauza perfume nzuri na wengi Wana zipenda bila ata malalamiko pia usipende kutumia perfume zenye harufu kali ,wengi wanakereka na hizi perfumeHapana,ni hizi ambazo zimezagaa sasa hivi kwenye maduka mengi,zina majina ya perfume zenye majina makubwa...
Ipoje hiiUtajiri wa halali na wa chapu upo kwenye kutengeneza petrol na diesel mbadala hasa kipindi hiki cha nishati kuzidi kupanda bei. Raw materials zipo zimejaa tele kwa cheap cost
Dr PafyumuUkitaka kuwa na pesa za chap chap! Basi Anza hii biashara ya kuuza pafyumu za kupima. Mzigo unaagiza kiwandani Babati, Manyara pipa 60,000 TZS+usafiri 50,000/= kutoka Babati-Dar es Salaam, gharama za chupa @5,000 faida wastani wa 1.6m mpaka 2.5m TZS kwa kila pipa. Upewe nini Tena?
Mbona contact za hicho kiwanda au hata jina lao hutaki kusema mkuu?Dr Pafyumu
Wull Al Qadiriya Fragrance Conglomerate.Mbona contact za hicho kiwanda au hata jina lao hutaki kusema mkuu?
Mkuu una uhakika na hili?Ingia youtube elimu tele zimejaa.
Sisi ni masikini sababu hatusaki maarifa.
Jifunze kutengeneza ethanol, methanol, biofuel nk.
Raw materials takataka za plastic,tairi na mipira,oil chafu,maranda,mabaki ya mboga na matunda yaliyoharibika masokoni,unga wa muhogo,mbegu za muarobaini,nyonyo, mibono, majani na nyasi nk zote hizi unapata clean fuel ya kuendesha gari, mitambo, na KILA aina ya injini ya chombo cha moto.
Kabisa bila shaka.Mkuu una uhakika na hili?
Nimewatafuta google na social media kwa hilo jina sijawaona kama una namba zao naziomba mkuu.Wull Al Qadiriya Fragrance Conglomerate.
Manyara Kuna miti Fulani. Inatumika kutengeneza perfume inaitwa misandali siyo ajabu kuwepo kiwanda maana ilikuwa inauzwa sana nje hasa ChinaKusikia zinatokea babati ni jambo la kupongezwa.
Soon vitaibuka viwanda vya brand vya hadhi mbali mbali kama ilivyo kwa bidhaa za pombe Gin .. ambapo kuna main distiller yupo Mwanga, Kilimanjaro wengine wote wanaagiza na kudilute, kuweka flavor na packaging kulingana na soko lao.
Ulitaka mtu akasomeee kozi ya perfume kabla ya kununua?Shida wengi wananunua perfume ambazo hawazijua ,wengi wakipita tu mjini wakiona machinga anauza perfume unanunua bila Hata kujua unahitaji ya aina gani,kisa tu umeambiwa ni nzuri
Hiyo perfume si itakuwa na harufu ya magadiUkitaka kuwa na pesa za chap chap! Basi Anza hii biashara ya kuuza pafyumu za kupima. Mzigo unaagiza kiwandani Babati, Manyara pipa 60,000 TZS+usafiri 50,000/= kutoka Babati-Dar es Salaam, gharama za chupa @5,000 faida wastani wa 1.6m mpaka 2.5m TZS kwa kila pipa. Upewe nini Tena?