Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Nakubaliana nawe kabisa vyakula vina nguvu yake na kujitenga na watu unaokoa energy nyingi sana..nitakuja na ufafanuzi kwenye next topic
 
Una miliki supernatural powers ambazo wengi huzitafuta kwa njia ngumu na gharama kubwa
 
naomba nitoe ufafanuzi hapa kwenye kuwafahamu wachawi kupitia jicho la tatu,inawezekana na kaa ukijua mwili wako ni mfumo hivyo,kama vile unavyotegemea kumpiga adui yako kwa mkono mzito,kaa ukijua jicho la tatu linaona isipoa kuna chakra zingine ambazo kazi yake ni kupambana na hizo nguvu za kichawi hivyo lazima kuna sehemu ndani ya mwili wako lazima utapewa ambayo itakua inakusaidia kupambana nao baada ya jicho la tatu kuona,mfano mimi siku moja alinija mzee flani nikiwa usingizin nilikua nimelala chali basi nikamgusa paji la uso kwakutumia kidole changu chakulia akaanguka nakupotea,na sio mtu mmoja ni wengi sana walishanitokea nafanya hivyo hivyo.
 
kuna jamaa yangu anapiga bodaboda sasa ghafla akapigiwa simu na mtu ambae niwa karibu tu kwake yani best yake,yule jamaa akmwambia anahitaji pikipik kwa siku nzima na atatoa 15000,huwezi amini hisia za ajabu sana zilinijia ghafla nikamwambia jamaa yangu hiyo simu uliyopokea sio nzuri kama ni abiria usiende kumchukua akanikatalia,kumbuka hata maongezi yao sikuyasikia,sasa ikabidi tutumie ujanja kumzuia jamaa asiende baada ya kitu kama siku mbili tunapata habari jamaa amesepa na pikipik ya mshikaj mwengine na hajulikan alipo,mpaka sasa hajapatkana.
 
rangi nazo sijui zinamchango gani hapa maana najikuta napenda sana rangi ya zambarau kupita maelezo tena tangu nikiwa mtoto yani ckufichi kuanzia viatu,t-shirt,surual,cultures nk lazima zambarau iwepo
 
Kuna kitu kinaitwa the awakening of the third eye! Ni practice almost kama uchawi kamili wewe unayo
 
rangi nazo sijui zinamchango gani hapa maana najikuta napenda sana rangi ya zambarau kupita maelezo tena tangu nikiwa mtoto yani ckufichi kuanzia viatu,t-shirt,surual,cultures nk lazima zambarau iwepo
Jibu hili hapa
 
brother mshana hongera kwa uzi mzuri,swali langu ni hivi kuna ukweli wowote juu ya ganja kuwa ni kinga dhidi ya uchawi?
 
So scary[emoji26]
 
duhhhh!!!!!!!!!jamaaaaaa wewe you are so dangerous unajua umeniamsha akili i was getting lost cjui nianze wapi,na mke wangu pia ni hivyo hivyo
Wewe na shem mmekutana wote ni psych power owners na hii sio coincidence bali ni law of attraction imefanya kazi
 
brother mshana hongera kwa uzi mzuri,swali langu ni hivi kuna ukweli wowote juu ya ganja kuwa ni kinga dhidi ya uchawi?
Ni kwa hizi petty wizardry ishu za wanga na kulogana logana lakini ule uchawi concord nguvu ya ganja sio kivile
 
NA HII IPOJE HII YANI MKE WANGU HATA ALALE KWA TUMBO YAAN KIFUDIFUD LAZIMA ATAJIKUTA AMELAZWA CHALI YANI LAZIMA,YANI KWA MAELEZO YA MAMA MKWE TANGU AKIWA MDOGO ALIKUA HIVYO WAKIMLAZA KIUBAVU AU KIFUDIFUDI WANAKUJA KUMKUTA AMELAZWA CHALI,NISAIDIE HAPA
 
Jamani mimi nimejiunga JF kwaajiri ya kueleza vitu kama hivi maana nimegundua kuna nguvu fulani ambazo nimejaaliwa na mungu ambazo sijui ilikuaje.Katika mada hii naongezea ni kwamba jicho la tatu ni jicho la roho ambalo hutumika zaidi wakati mtu akiwa amelala ndio maana kuna wakati mtu hua anaota anatizama kitu fulani.Macho haya mawili tunayotumia tukiwa macho ni kwaajiri ya mwili unapokua na fahamu tu,lakini jicho la tatu utaendelea kulitumia zaidi baada ya kifo
 
hata sasahivi mbona linatumika kwa wale ambao linafanya kazi mkuu,mfano mke wangu yani cjui nisimulie vp jamani
 
me nawaambia nimesoma chuo advance nimefika chuo yani nipo pcb ukweli watu walikua wananishangaa sana kwasababu sikua mpiga msuli hata kidogo ila ila mambo sio mabaya hata kidogo mpaka chuo ni hivyohivyo nimejizolea marafiki wengi sana kwasababu hii
 
Jicho la tatu (third eye) ni imani ya madhehebu ya hindu na budha kama ilivyo kwa Kristo na imani yao kwa ujio wa Yesu Kristu. Hivyo, jicho la tatu huhusishwa na kutafakari (medidate).

Ukilala chali unauwezesha ubongo kutulia tuli, kama maji mtungini, hapo ndipo unazamia kwenye dimbwi la mawazo pasipo bughudha, mfano wa mtu anaye "medidate". "Medidation" hufanyika kwenye eneo lilotulivu kabisa.

Mawazo ya Mshana Jr (asante kwa bandiko lako) ni kueneza 'dhana ya kiroho'. Harakati za kiroho zina njia ndefu kueleweka kabla haijatulia. Bado kuna wanadamu wengi ambao hawajakomaa kifikra kuweza kuunganisha uelewa wa msingi wa dhana ya kiroho. Kwa hiyo ni rahisi kujitumbukiza kwenye dhana hiyo kama tunavyowashabikia wanasiasa.

Asante Mshana Jr japo nawe hukulirahisisha bandiko lako wala kuliweka wazi kwamba ni la kiimani zaidi kuliko sayansi.
 
Wewe binafsi ulishawahi kupractice na hilo jicho likafunguka..?

To some extent yeah...! Hata sasa nayaona mambo mengi tofauti na wengine waonavyo kuna wakati huwa najistukia na kukaa kimya nikiogopa kuonekana tofauti

Pamoja na mafunzo ya muda mrefu kuamsha "jicho la tatu", ulalapo chali fumba macho na acha ubongo ufanye kwa kukumbuka yale macho mawili yaliona jana, juzi au kale na kuyaelekeza kwa kesho, keshokutwa, mtondogoo au siku zijazo. Yaani unauruhusu ubongo uoanishe yaliyopita (Mabaya/Mazuri uliyokumbana nao macho yakaona, ubongo ukahifadhi) na yajayo (suluhisho/jawabu/pendekezo).
 
jicho la tatu linafanya kazi jamani ila ndio hivyo ni kwa wachache sana.ukweli siwafichi it is something real kabisa ambacho even at this point naongea hapa nimetoka kumsimulia mtu maisha yake ya mahusiono yakimapenzi tangu alivyoanza kujihusisha nayo mpaka sasa na simfahamu wala nn yeye wa mwanza mim wa dsm tulikutana tu chuo,nikaonyeshwa usiku yani full tamthilia ndugu zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…