nakumbuka siku mbili au tatu kabla yakuingia kwenye pepa ya darasa la saba nilipitiwa na usingizi mchana muda wa masaa matatu,nilivyokuja kustuka mtihani wote nilikua nao kichwani,sikudharau kwasababu nilishaota hapo awali nikadharau alafu kwenye pepa nikakuta kama nilivyoota,huwezi amini nilichana pepa nikapangwa GALANOS SECONDARY SCHOOL,yani kule ndio kuna siku nilitoa mpya nililala usingizi kuanzia saa kumi za jion mpaka kesho yake asubuhi kiongozi wa bweni aliripot kesi mpaka basi sijawahi kuhudhuria prepo nikamaliza nusu saa lakini chakustaajabu sasa pepa ikija sio chini ya 95%,kwa wanaomkumbuka mwalimu flani hivi kwasasa yupo wizarani sikosei,huyo jamaa akikwambia hupati B usimbishie maana wengi walishaumbuka sana,ila nilivunja historia yake kwakupata A ya 96 hakuamin na alinipa elfu kumi,huyo mwalimu anaitwa mbunda ni shida sana.