miss gisenyi
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 699
- 496
nnashukuru kwa post bro mimi ni miongon mwa watu wenye hasira kali na nnapokua katika hali hiyo paji la uso katikati huuma muda wote nnapokuwa na hasira je ina uhusiano na jicho la tatu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] imebidi nicheke kwa kujibana hapa nilipo unajua ile kitu inaamsha hisia za mlango wa sita kupitia hilo jicho la tatu
Lakini katika mlango ule wa hisia alishajenga mawazo ya kuonana na hao watu kwahiyo kinachotokea ni kama tu mlango wa hisia kubeba ujumbe na kuupeleka kama ulivyo kwenye mlango wa sita