miss gisenyi
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 699
- 496
nnashukuru kwa post bro mimi ni miongon mwa watu wenye hasira kali na nnapokua katika hali hiyo paji la uso katikati huuma muda wote nnapokuwa na hasira je ina uhusiano na jicho la tatu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] imebidi nicheke kwa kujibana hapa nilipo unajua ile kitu inaamsha hisia za mlango wa sita kupitia hilo jicho la tatu
Lakini katika mlango ule wa hisia alishajenga mawazo ya kuonana na hao watu kwahiyo kinachotokea ni kama tu mlango wa hisia kubeba ujumbe na kuupeleka kama ulivyo kwenye mlango wa sita
Read it somewhere!Niliwahi kuweka mada ya micro chips implants lakini kuna baadhi hawakuelewa kabisa..ni kweli kabisa mason wana mpango kabambe wa kuua mlango wa fahamu ya sita ili ile ni rahisi kutawala dunia
Hiyo inaitwa wondering mind inakuwa so strong kiasi cha kuasili uhalisia na hili tendo hufanyika usingizini tuuthanx kwa somo murua ndg Mshana but nina kaswali kidogo hua mara kadhaa naota napaa juu na kuvinjari maeneo mbalimbali ambayo siyajui kiuhalisia yani nikiamua na jump tu mara huyoo angani sasa hii situation ina maana gani na inahusiana vipi na third eye?
h poa mzee mwenzangu ... ila tatizo kingeresa duh...kingerza shida sanaIendee Google utaipata bila shida
Nitalijibu kwa kirefu kidogokwanini mkuu?
Hata watoto hupatwa na majinamizi ndio maana tunashauriwa tusiwalaze chaliKaka Mshana umesema anayelala chali ni maiti tu. Na mara nyingi watu wazima wakilala chali wanaota ndoto za kutisha. Sasa swali je mbona Watoto wadogo wanalazwa chali Muda wote na haiwasumbui
Hapana hiyo ni conflict within unagombana na roho yako na kuu overwork ubongo wakonnashukuru kwa post bro mimi ni miongon mwa watu wenye hasira kali na nnapokua katika hali hiyo paji la uso katikati huuma muda wote nnapokuwa na hasira je ina uhusiano na jicho la tatu?
Ilo komwe aiaee[emoji23] [emoji23]Nilidhani utazungumzia watu kuwa na mapaji makubwa ya uso. Maana mimi paji langu ni shida. kubwa kama kibuyu 😀😀
mweeeh kwahiyo nnagombanaje na roho yangu?Hapana hiyo ni conflict within unagombana na roho yako na kuu overwork ubongo wako
Ndani ya ufahamu kuna nafsi mbili au nguvu mbili hasi na chanya. . . nafsi roho ya Kimungu na nafsi roho ya kishetanimweeeh kwahiyo nnagombanaje na roho yangu?
basi ni majanga nikikasirika kichwa kinauma na huchukua muda mrefuNdani ya ufahamu kuna nafsi mbili au nguvu mbili hasi na chanya. . . nafsi roho ya Kimungu na nafsi roho ya kishetani
Maamuzi mengi matokeo yake ni maamuzi ya mojawapo wa hizo nafsi
Mgogoro mkubwa hutokea pale kila nafsi inapotaka kuwa mshindi
Hiyo hali huwatokea wengi na hii ni kwakuwa macho yako mawili huangalia lakini linaloona ni jicho la tatu. ...Mkuu hii imekaaje?
Nikiwa nimefumba kabisa, ukiniwekea kitu usawa wa paji la uso nakifeel kabisa na kama nisipo wahi kukwepesha nasikia kama kamaumivu flan inakuwa sensitive.