Fafanua kwenye bold hapo mkuuMambo mengi sana yamechakachuliwa na binadamu mwenyewe kukidhi matakwa na mahitaji ya nyakati ya kibinadamu
Kuna alama za siri nazo zimeangukia upande ambao sio..
Leo nilikuwa kuna mdau namjibu kuhusu swastika, ambayo ilikuja kuharibiwa na Hitler
Satan knows the game very well n he knows how to play perfectly
Wengi hutumia nguvu za giza lakini wakifanya colabo na jicho la kirohoNa pia mshana kwenye haya makanisa ya kiroho ya kisasa wakuta mtu anaenda huko mpk anafilisiwa kabisa anakuwa kama zuzu...sio kwamba hawa jamaa wanatumia huu mlango wa kiroho kukontrol hawa ndugu zetu....maana wanakuwa kama akili wameshikiwa hivi.....Mi naona muda ambao wanakuwa wanashikwa kwenye paji la uso ndio proce
Hilo limekaa kimila zaidi lakini ukweli ni ule ule kuhusu jicho la tatu na paji la usoMshana huku kwetu usukumani watoto huwa wanawekewa alama kwenye paji kwa kutumia kaa la moto hasa mtoto anapokuwa na matatizo, hebu nisaidie hapo kwanini wanaweka kwenye paji la uso?
Poa mkuu.Hilo limekaa kimila zaidi lakini ukweli ni ule ule kuhusu jicho la tatu na paji la uso
Huko hufanya hivyo labda kwa nia ya tambiko na ulinzi
Mmh! Naweza sema hapana au ndio kwakuwa wazee wetu wa zamani walikuwa vizuri sana kwenye mambo ya kiroho japo kuna baadhi hayakuwa vizuri sana...hilo la meno na radi napingana naloMkuu mshana jr, kuna baadhi ya makabila wanaimani kwamba mtoto aliye anza kuota meno ya juu ana uwezekano mkubwa wa kushambuliwa na radi, hivyo ili kumkinga huwa wanampaka masizi kwenye paji la uso nyakati za mvua ya radi.
Hii imekaaje kiroho?