Paka kuchukuliwa kama mwanafamilia kwa kutengewa bajeti yake, inakubalika?


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Paka wa mjini kazi yao ni kulala, kuamka kula , kudharau maboss wao, kuangalia tv, kwenda nje kukata gogo na kukojoa kisha kuendelea kulala.

Kuna mmoja alikuwa akiona hujatandika kitanda halali ukitandika anaenda kulala
Muda mwingine usipomfukuza anataka alale na wewe mjifunike wote
 
Naskia Ni mkosi mkubwa kukuta yanapigana miti
 
Hahaha
 
Paka ana faida sana. Mbwa ana tabia ya kujipendekeza. Atafanya ufikirie watu wote wanakuchukia.
Binadamu lazima aishi na wanyama. Ndiyo maana ya Sphinx unayoiona kwenye pyramid of Giza. Dini ya zamani(ya Waafrika) iliyokuwa inawafundisha binadamu kuishi na wanyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…