Paka kuchukuliwa kama mwanafamilia kwa kutengewa bajeti yake, inakubalika?

Paka kuchukuliwa kama mwanafamilia kwa kutengewa bajeti yake, inakubalika?

Weeeee, wale mabwege wameumbwa na GPS tracking system. Kuna paka tulimtia katika kiroba tukatoka nae tabata st. Mary kule tukaenda mtupa kule kwenye daraja la kinyerezi kiroba kikiwa wazi ili aweze kutoka.

Yule fala wiki kadhaa baadae akarejea tena safari hii akiwa na demu na akaja wakazaa watoto.

Paka wapumbavu sana hawa wanyama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Paka wa mjini kazi yao ni kulala, kuamka kula , kudharau maboss wao, kuangalia tv, kwenda nje kukata gogo na kukojoa kisha kuendelea kulala.

Kuna mmoja alikuwa akiona hujatandika kitanda halali ukitandika anaenda kulala
Muda mwingine usipomfukuza anataka alale na wewe mjifunike wote
 
Mi haya madudu yananikera usiku yakianza kugombana, yaani usiku wa manane yanalia kwa sauti kali kinoma, ukiyachungulia unakuta ni jike na dume yanataka kumbotana,
Hivi hawa viumbe hua hawawezi kupigana miti kimyakimya kweli au ndio makusudi tu kukarahishana usiku wa manane.
Naskia Ni mkosi mkubwa kukuta yanapigana miti
 
Mzee umenichekesha, yaani paka ajiona kama Don... mimi kuna siku nilienda Bar moja hivi kula nyama, sasa kuna paka wakaja mmoja anaonekana kibonge hivi, si nikamtupia mfupa ambao kwa kweli ulikuwa na nyama kiasi, akaniangalia akanishusha halafu akasonya, huyoo akaondoka zake akijitingisha.. kwa hiyo nimekuelewa kabisa.. hawana maana.
Hahaha
 
Paka ana faida sana. Mbwa ana tabia ya kujipendekeza. Atafanya ufikirie watu wote wanakuchukia.
Binadamu lazima aishi na wanyama. Ndiyo maana ya Sphinx unayoiona kwenye pyramid of Giza. Dini ya zamani(ya Waafrika) iliyokuwa inawafundisha binadamu kuishi na wanyama.
 
Back
Top Bottom