Tena huko Pakistan na Korea Kaskazini kuna vichaa wenye madaraka 😃😃😃Mbona Wamarekani, Korea Kaskazini, Israel, Russia na Pakistan hawakupimwa akili kabla ya kumiliki??
Kumb unakubali Iran kachokozwa.Unadhani kwa hasira walizonazo Iran kwa uchokozi waliofanyiwa wangekuwa na nuclear wangemfanya Nini Israel?
Dini mkuu dini kuua ni sifa na utukufu, ndio maana humu kuna mdau akaandika kwamba kwa Iran maana ya kufa au kifo ni tofauti na ilivyo kwa Israel na Marekani yaan hapo kuna utofauti mkubwa sanaMbona Wamarekani, Korea Kaskazini, Israel, Russia na Pakistan hawakupimwa akili kabla ya kumiliki??
Iko wazi kachokozwa! Mwenyewe katulia zake anajitengenezea silaha zake akikamilisha awanyooshe adui zake Israel, halafu adui zake hawataki akamilishe mpango wake wanamvamia na kumharibia!!Kumb unakubali Iran kachokozwa.
Wangekuwa na Nyuklia pengine wasingefanyiwa huo uchokozi.Unadhani kwa hasira walizonazo Iran kwa uchokozi waliofanyiwa wangekuwa na nuclear wangemfanya Nini Israel?
Tatizo n wanaongozwa na kuran inayoruhusu kumuua mtu unayetofautiana nae mawazoIran is a shit hole country on Earth.
Hawa wakimiliki silaha za nuclear watasababisha madhara makubwa Sana.
Wenyewe kuongozana kwa Amani ni kipengele raia wananyanyaswa na viongozi wao nchi haina Amani kabisa.
Kwa alichokifanya kwa mataifa jirani ni kwel angekua na nyuklia angeoiga dunia, kwanza angetaka imtiiHilo swali lako aliwahi kuulizwa Obama, naye akajibu kwa kuuliza:
Hivi ukimwona mtu msenye busara ameshika kisu, unakuwa na wasiwasi wowote? Na vipi ukimwona kichaa ameshika kisu?
Maana ya ujumbe huo:
Iran ni kichaa, akiwa na bomu la nuclear, Dunia nzima itaishi kwenye wasiwasi.
Nakubliana na ukweli kuwa Iran inaongozwa na vichaa. Umeona anachofanya sasa hivi? Iran imeshambuliwa na Marekani na Israel, lakini imerusha makombora ya kushambulia mataifa yote jirani yake. Vipi kama ingekuwa na silaha za nuclear.
Hio inaitwa new world order, ili kusambaratisha serikali zote za kidini na kutengeneza dola mojaMbona dunia haina usawa? Kwanini iwe ni Iran tu na sio nchi nyingine?
Kwanini Iran inapangiwa cha kufanya, kwanini sio nchi nyingine?
Jiongeze mkuuu.... hoja ndogo ivi inakushinda kudadavua ukipewa kurani utaweza elewa kituMbona Wamarekani, Korea Kaskazini, Israel, Russia na Pakistan hawakupimwa akili kabla ya kumiliki??
Kwanini afadhili hayo makundi na asipigane mwenyewe maana tunaambiwa ni chizi?Tatizo liko hapa anafadhili Hammas,Hezbolla,Houth,Alqaida,Talliban
USA ndo anaongoza kumiliki makundi ya kigaidi acheni propagandaIran ana changamoto nyingi.
Kwanza ndio mfadhili mkuu wa makundi mengi ya kigaidi.
Haya majamaa yakiwa na nuclear weapon, you can imagine.
Ila twendeni mbele turudi nyuma,hawa watu wenye msimamo mkali kama wakifanikiwa kumiliki hizi silaha hatari hakika dunia yote itafutika,maana uamuzi wa kuzitumia kwa ajili ya muhanga ni swala la dakika,just imagine vikundi mbali mbali ikiwemo hapa Afrika vinachochinja watu na kuua kikatili wasio wa imani yao kwa kuwaona makafiri hawafai kuishi,si iko siku watalipua dunia nzima kuua watu wasio wa imani yao??Mbona dunia haina usawa? Kwanini iwe ni Iran tu na sio nchi nyingine?
Kwanini Iran inapangiwa cha kufanya, kwanini sio nchi nyingine?