Pakistan, India wana silaha za nyuklia kwanini Iran ikatazwe?

Ila twendeni mbele turudi nyuma,hawa watu wenye msimamo mkali kama wakifanikiwa kumiliki hizi silaha hatari hakika dunia yote itafutika,maana uamuzi wa kuzitumia kwa ajili ya muhanga ni swala la dakika,just imagine vikundi mbali mbali ikiwemo hapa Afrika vinachochinja watu na kuua kikatili wasio wa imani yao kwa kuwaona makafiri hawafai kuishi,si iko siku watalipua dunia nzima kuua watu wasio wa imani yao??
Hata Kiduku alionekana kichaa ni hatari kumiliki Nyuklia.
 
Kaka,kumjua haibadilishi uhalisia kwamba hawa watu wenye msimamo mkali wa kidini hasa waislamu ni hatari mara dufu endapo wakimiliki silaha nzito,maana wasio upande wao kiimani huwaona hawana haki ya kuishi na wamewa majina wanawaita makafiri,matukio mangapi yanatokea ya mauaji kwa sababu hizo??
 
Hata Kiduku alionekana kichaa ni hatari kumiliki Nyuklia.
Ni hatari kweli,lakini ni heri mara 100 huyo kiduku anayemiliki kwa minajili ya kulinda ukuu wake mbele ya wakubwa wengine,hawa wenzetu wao wanataka silaha kali ili kupigania Alah(kupambana na ukafiri na kuintroduce sharia dunia yote) sasa hawa ni wauaji
 
Mbona dunia haina usawa? Kwanini iwe ni Iran tu na sio nchi nyingine?

Kwanini Iran inapangiwa cha kufanya, kwanini sio nchi nyingine?
Wangekuwa na nuklia hao wenye kaswende ya ubongo saa hizi hali ingekuwaje?
 
Pakistan kiaina wameonyesha hawatumii dini kufikirika.
 
Iran akimiliki nuclear na hawa mashost zake wanazipata inakuwa kizaazaa middle East ie Hezbollah,Hamas,Houthi etc
 
Yaani dunia itakosa amani yote ndani ya muda mfupi,mahalaiki ya watu watakuwa wanauwawa hovyo,maana wao hawaamini pengine kwenye kubadilisha wasio upande wao wawe upande wao,wao wanachoamini ni kuua makafiri🙌🙌
 
Ila twendeni mbele turudi nyuma,hawa watu wenye msimamo mkali kama wakifanikiwa kumiliki hizi silaha hatari hakika dunia yote itafutika,maana uamuzi wa kuzitumia kwa ajili ya muhanga ni swala la dakika,just imagine vikundi mbali mbali ikiwemo hapa Afrika vinachochinja watu na kuua kikatili wasio wa imani yao kwa kuwaona makafiri hawafai kuishi,si iko siku watalipua dunia nzima kuua watu wasio wa imani yao??
Lazma kuwe na sababu ya kiua
 
Ni hatari kweli,lakini ni heri mara 100 huyo kiduku anayemiliki kwa minajili ya kulinda ukuu wake mbele ya wakubwa wengine,hawa wenzetu wao wanataka silaha kali ili kupigania Alah(kupambana na ukafiri na kuintroduce sharia dunia yote) sasa hawa ni wauaji
Kwahiyo nyuklia ndio itasaidia wao kufanikisha hayo? Kvp?
 
Mbona dunia haina usawa? Kwanini iwe ni Iran tu na sio nchi nyingine?

Kwanini Iran inapangiwa cha kufanya, kwanini sio nchi nyingine?
Ulishawahi kusikia Pakistan au India zikitishiana kufutana katika uso wa dunia? Au zikitishia nchi nyingine?

Sasa Iran miaka mingi tena vitisho vilikuwa vikali sana enzi za Nijad aliposema ataifuta Israel kwenye uso wa dunia? Vipi akiwa na nyuklia hawezi kuifuta kweli? Wewe ungekuwa Mwisrael, ungekubali kuiona Iran inamiliki silaha za nyuklia?
 
Kwa

Kwa hiyo ukimiliki Kimya Kimya hakuna shida
 
Ulishawahi kusikia Pakistan au India zikitishiana kufutana katika uso wa dunia? Au zikitishia nchi nyingine?

Sasa Iran miaka mingi tena vitisho vilikuwa vikali sana enzi za Nijad aliposema ataifuta Israel kwenye uso wa dunia? Vipi akiwa na nyuklia hawezi kuifuta kweli? Wewe ungekuwa Mwisrael, ungekubali kuiona Iran inamiliki silaha za nyuklia?
Tatizo ni kuihusisha hiyo kauli na nyuklia kana kwamba aliyetoa hiyo kauli alisema akimiliki nyuklia ndio ataifuta Israel.
 
Hata ungekuwa wewe jirani yako kichaa akimiliki AK-47 utabaki unamtazama tu mpaka akuwahi akumalize!?, kivyovyote vile Irani hapaswi kumiliki silaha za nuclear ana roho ndogo mno.
Kwa hiyo itakubidi ujihami ukamripoti kwa Polisi
 
Back
Top Bottom