Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,278
- 3,035
Hili ndilo jibu la kisomi.Ni ubabe tu.
Ukiwa huru kifikra huo mtafaruku wao utauelewa, sio wa kidini, sio hizo nuclear weapons wala demokrasia.
US anataka kuidominate middle east na Iran ni kikwazo, almost wote washabow kwake kasoro Iran. Iran ni kama "super power " wa middle east ambae hayuko upande wa west.
Uongozi wake ni wa kiislam na hauwakubali kabisa wamarekani na viongozi wao wakuu wa kidini (shia) washatamka mara kadhaa kutaka kuifuta Israel kabisa.
π€£π€£π€£π€£π€£Umiliki wa silaha za moto mara nyingi huwa unaambatana na upimaji wa afya ya akili mkuu
Kwanini huko kutangaza kuifuta Israel kunahusishwa na nyuklia tu? Kwani Irani ilisema ikipata nyuklia ndio itatumia kuifuta Israel?Iran walishatangaza kuifuta Israel
Korea na Pakistan sio vichaa kama IranTena huko Pakistan na Korea Kaskazini kuna vichaa wenye madaraka πππ
Kwasababu hawana ustaarabu na akili timamu..Mbona dunia haina usawa? Kwanini iwe ni Iran tu na sio nchi nyingine?
Kwanini Iran inapangiwa cha kufanya, kwanini sio nchi nyingine?
Ikitokea Taliban wa Pakistan (Ttp) wameikamata hiyo nchi, silaha za nyuklia zitakuwa mikononi mwa vichaa.Korea na Pakistan sio vichaa kama Iran
Sahihi kabisa..Ni ubabe tu.
Ukiwa huru kifikra huo mtafaruku wao utauelewa, sio wa kidini, sio hizo nuclear weapons wala demokrasia.
US anataka kuidominate middle east na Iran ni kikwazo, almost wote washabow kwake kasoro Iran. Iran ni kama "super power " wa middle east ambae hayuko upande wa west.
Uongozi wake ni wa kiislam na hauwakubali kabisa wamarekani na viongozi wao wakuu wa kidini (shia) washatamka mara kadhaa kutaka kuifuta Israel kabisa.
je Pakistan na India wana miliki makundi ya kihuni kweny nchi jiran kama houth , Hizbollah , Hamas , IRGC?Mbona dunia haina usawa? Kwanini iwe ni Iran tu na sio nchi nyingine?
Kwanini Iran inapangiwa cha kufanya, kwanini sio nchi nyingine?
Wanajiita walinzi wa duniaIkitokea Taliban wa Pakistan (Ttp) wameikamata hiyo nchi, silaha za nyuklia zitakuwa mikononi mwa vichaa.
Sahihi kabisa..
Lengo lao ni kuiharibu tu Iran kama walivyofanya kwa Gaza,Lebanon,Iraq na Syria