Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Kama umejaaliwa kuwa kwenye familia ambayo tabia zako na za mzazi wako zinaendana, yaani mambo mengi yakiwa yanaenda sawia baina yenu basi mshukuru mungu umebahatika sana.
Nimeshuhudia sana mifano mingi ambapo mtoto safi amekua akitaabika kutokana na mapungufu makubwa aliyonayo mzazi wake. Kwa upande mwingine pia, mzazi safi anapotaabika na mapungufu makubwa aliyonayo mwanae.
Mshukuru mungu tu kwa mtoto/mzazi uliyejaaliwa naye maana kila mtu ana mtihani/changamoto zake apa duniani.