Pale Amsterdam Lawyers watakaposhawishi jumuiya za Kimataifa kufanya uchunguzi wa kupotea Ben Saanane, Azory, Kanguye, kupigwa risasi Lissu na MKIRU

"Amsterdam Lawyers " hawa wapuuzi nimewachoka nasubiria mtu wao ale cha mbavu box la kura watu tupumzike.

Zaman kitisho kilikua icc saiv wamekua wao ki law firm cha uchochoroni kinawapa matumain feki baadhi ya watu
Bix la kura au box la NEC na Polisccm??
 
We ni mmojawapo wa wasiojulikana?
Hapana Mimi najulikana kwa ID yangu hii,

Hata hapa mtaaani wananifahamu kwa kazi yangu kuwa nimejiajiri na nalima pia.

Kiufupi ni kuwa najulikana kila mahali.

Wazazi wangu wananijua, ndugu jamaa na marafiki.
 
Mkulima wa South tu aliwatoa kamasi, mlichukuana wanasheria zaid ya kumi na mukaishia kumlipa kimya kimya.
 
Hapana Mimi najulikana kwa ID yangu hii,

Hata hapa mtaaani wananifahamu kwa kazi yangu kuwa nimejiajiri na nalima pia.

Kiufupi ni kuwa najulikana kila mahali.

Wazazi wangu wananijua, ndugu jamaa na marafiki.

Sasa mbona unapinga wasiojulikana wasipewe kibano?
 
"Amsterdam Lawyers " hawa wapuuzi nimewachoka nasubiria mtu wao ale cha mbavu box la kura watu tupumzike.

Zaman kitisho kilikua icc saiv wamekua wao ki law firm cha uchochoroni kinawapa matumain feki baadhi ya watu
Kima mkubwa wee yaan apotee benisaanane kinaazori alafu watu wakae kimya ? Apotee baba yako mzazi Basi ndo akili ikukae sawa wewe au age mwanao
 
Kima mdogo to hell with Amsterdam lawyers. Maombi yote hayo yakurudie wewe na familia yako
Kima mkubwa wee yaan apotee benisaanane kinaazori alafu watu wakae kimya ? Apotee baba yako mzazi Basi ndo akili ikukae sawa wewe au age mwanao
 
Umesema vizuri. Sasa wamehamia makanisani kuomba fedha kujengea misikiti. Naye Askofu Mkuu bila kujitambua ameliingiza Kanisa katika kirusi cha kampeni cha kisiasa hususan uchaguzi Mkuu 2020. Mwache ayaoge maji aliyoyachafua yeye mwenyewe na Katibu wao Mkuu wa TEC mwanasiasa njaa asiye na spiritual life ya kipadre.
 
Yule mzungu mkulima mbona aliipelekesha nchi mpaka tukamlipa mabilioni ndo akaiachia ndege kule canada
 
Sasa kuna kesi imefunguliwa ICC dhidi ya serikali ya Tanzania kukiuka haki za binadamu, hacha kushobokea ngozi wazungu wewe, hawana habari na wewe wanaangalia maslahi yao.
Kwa hiyo serikali isitende haki kwa raia kwa kuwa hakuna jumuiya ya kimataifa itakemea uhalifu,

mbona tunalaumu jumuiya ya kimataifa kutochukua hatua wakati wa mauaji ya kimbari kule Rwanda?
 
Hapana Mimi najulikana kwa ID yangu hii,

Hata hapa mtaaani wananifahamu kwa kazi yangu kuwa nimejiajiri na nalima pia.

Kiufupi ni kuwa najulikana kila mahali.

Wazazi wangu wananijua, ndugu jamaa na marafiki.
[emoji16][emoji16][emoji137]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…