kelao
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 8,132
- 5,800
We ni mmojawapo wa wasiojulikana?Jamani hembu tuache hizi stori za kitoto na tudeal na issues Kama grown ups.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni mmojawapo wa wasiojulikana?Jamani hembu tuache hizi stori za kitoto na tudeal na issues Kama grown ups.
Bix la kura au box la NEC na Polisccm??"Amsterdam Lawyers " hawa wapuuzi nimewachoka nasubiria mtu wao ale cha mbavu box la kura watu tupumzike.
Zaman kitisho kilikua icc saiv wamekua wao ki law firm cha uchochoroni kinawapa matumain feki baadhi ya watu
Bix la kura au box la NEC na Polisccm??
Robert Amsterdam wameapa kutokucheka na kima mwaka huu, kuna watu watahama nchi
Hapana Mimi najulikana kwa ID yangu hii,We ni mmojawapo wa wasiojulikana?
Tutapita kwa mbinde hivyo hivoBox hilo hilo walipita mbowe,mdee,lema,mnyika,msingwa,bulaya etc
Mkulima wa South tu aliwatoa kamasi, mlichukuana wanasheria zaid ya kumi na mukaishia kumlipa kimya kimya.Yaani law firm ya Netherlands iipeleke mbio taifa kubwa kama Tanzania, that's a joke? Au sababu ni wazungu ndio maana mnapagwa , mipaka ya kazi zao unaijua, kuna law firm inaweza kucross country na ku attack serikali, au ku command goverment, hacheni utoto. Kwani hiyo ni mahakama ya kikataifa au?
Hapana Mimi najulikana kwa ID yangu hii,
Hata hapa mtaaani wananifahamu kwa kazi yangu kuwa nimejiajiri na nalima pia.
Kiufupi ni kuwa najulikana kila mahali.
Wazazi wangu wananijua, ndugu jamaa na marafiki.
Kima mkubwa wee yaan apotee benisaanane kinaazori alafu watu wakae kimya ? Apotee baba yako mzazi Basi ndo akili ikukae sawa wewe au age mwanao"Amsterdam Lawyers " hawa wapuuzi nimewachoka nasubiria mtu wao ale cha mbavu box la kura watu tupumzike.
Zaman kitisho kilikua icc saiv wamekua wao ki law firm cha uchochoroni kinawapa matumain feki baadhi ya watu
Kima mkubwa wee yaan apotee benisaanane kinaazori alafu watu wakae kimya ? Apotee baba yako mzazi Basi ndo akili ikukae sawa wewe au age mwanao
Yule mzungu mkulima mbona aliipelekesha nchi mpaka tukamlipa mabilioni ndo akaiachia ndege kule canadaYaani law firm ya Netherlands iipeleke mbio taifa kubwa kama Tanzania, that's a joke? Au sababu ni wazungu ndio maana mnapagwa , mipaka ya kazi zao unaijua, kuna law firm inaweza kucross country na ku attack serikali, au ku command goverment, hacheni utoto. Kwani hiyo ni mahakama ya kikataifa au?
Kwa hiyo serikali isitende haki kwa raia kwa kuwa hakuna jumuiya ya kimataifa itakemea uhalifu,Sasa kuna kesi imefunguliwa ICC dhidi ya serikali ya Tanzania kukiuka haki za binadamu, hacha kushobokea ngozi wazungu wewe, hawana habari na wewe wanaangalia maslahi yao.
[emoji16][emoji16][emoji137]Hapana Mimi najulikana kwa ID yangu hii,
Hata hapa mtaaani wananifahamu kwa kazi yangu kuwa nimejiajiri na nalima pia.
Kiufupi ni kuwa najulikana kila mahali.
Wazazi wangu wananijua, ndugu jamaa na marafiki.
Wewe unaiona law firm tu, unajua nyuma yake kuna niniYani kuna watu wakisha sikia mzungu basi wanapagawa sasa huyo bwana robert na ka law firm kake kweli atingishe sovereignty state kama tanzania, Kwanza huyo hata kumjibu hatumjibu
Mkuu hii issue haiwezi kupoa itakuja kuibuka siku za mbele,ngoja hawa waliofanya unyama watoke madarakani.
Usihamishe goliHivi unawelewa tofauti kati ya kesi za kibiashara na kesi za haki za binadamu?
Hata Mandela alikimbilia kwa wazungu ili wawadhibiti wazungu wenzao.Mi siungi mkono, siwezi kufurahi binadamu mwenzangu akitendewa mambo kama hayo, lakini kukimbilia kwa wazungu sio solution. Hao ni wabaya kuliko hiyo CCM