Pale Amsterdam Lawyers watakaposhawishi jumuiya za Kimataifa kufanya uchunguzi wa kupotea Ben Saanane, Azory, Kanguye, kupigwa risasi Lissu na MKIRU

Kweli huyu amefika mjini kisa elimu tu ila isingekuwa elimu angekuwa anajua kuongea ki lugha kama MIE tu.


Ishu Iko ivi nchi ni nyingi sana ama ni viongozi wengi sana wa dunia wanawapoteza wale wanaojifanya kiherehere ama kuongea hadharani kama kujidai kuwa wao wanajua sana kuliko aliye madarakani mkuu.

Sema sasa hata USA iyo unayoijua kama ndo Mme wako wanapanga ama Ku control kuwa ni nini ukisikie kwenye hizo media zao aina VOA ,BBC, CNN,Reuters ama RT. Sio kila kitu mwandishi akipata kitu anaropoka ili dunia nzima ikisikie kuwa imkubali anajua kuripoti.

Yaani nakuambia kuwa wanachuja na wanaamua kuwa wakuonyeshe nini katika media zao nikuambie wewe ambaye hata huijui dunia inavyoenda.

Kuna siku umeshawahi sikia ivyo vyombo vya waume zako vimeripoti mabaya yao ama wao ni malaika kuwa hakuna mabaya.

Ivi mfano umeshawahi kuangalia news ukiwa mfano UK, USA,Sweden,Norway,ama Russia mkuu.

Nikuambie hao jamaa wakionyeshaga afrika katika media zao ni mambo mabaya tu na sehemu ambazo ni masikini sana ambako ni watu wana shida sana.
Hawawezi wakaonyesha kama kule posts ile mijengo wanayoijua.


Umeshawahi kuna VOA wakionyesha watoto ama akina mama huko Syria ,Iran na Afghanistan watu wanavyokuwa vilema kwa mabomu yao wanayopiga ama hao sio binadamu mkuu.

Ila ngoja RAIA wao waje waguswe wanakuambia vyombo vyao wanaku brainwash kuwa wao wameonewa.

Ili uwachukie hao walioua watu wao. Umeshawahi wasikia wakiongea jinsi Libya wanavyosafa kwa ushenzi wao.

Akili kumkichwa.
Ama post hapa nawewe uonekane unapost
 
Mkuu kwa andiko hili sijui Kama Kuna watu watalala tena usingizi ? Huo uchunguzi uanze Mara moja aisee
 
Kwahiyo ndugu wa damu wa Ben na Azory wanapataje haki ya kujua ndugu zao walipo? Tusaidie.
 
Wafanye fasta haya mashetani yanajimwambafai mpaka sasa yanagombea ubunge
 

Mkuu ulichokiandika unakifahamu vizuri? Acheni kutukuza wazungu ni binadamu tu kama sisi waafrica. Hizo ni lawa firm kama zingine hazina mamlaka yoyote kisheria kuvuka mipaka ya nchi. Ebu acheni kupotosha watu
 
Accacia wamekuja hapa wametubu, aibu kwa snicht lisu, magu mwamba mtanyooka,
Unaongea upuuzi mtupu.
Hapa kwetu ni watu wangapi wanewekwa ndani kwa kisingizio cha uhujumu uchumi?
Kama kweli wana msuli wangewashitaki kwa wizi huo mkubwa au hata kuwafilisi sawa na hawa wakwetu walionyanyaswa hivi
 
Kuzaliwa kijijini ndani ndani Sana shida mtu Hadi anakanyaga chuo kikuu hajawahi ona mzungu akimuona anakuwa Kama bwege

Kila kitu mzungu mzungu mzumgu!!!
Amsterdam Amsterdam Amsterdam!!! Ni ushamba Fulani unachangia

Maboss zenu wamechangamyikiwa na huyo Amsterdam, halafu wewe unajisemesha ujinga hapa JF. Huko hakulaliki kisa huyo huyo mzungu.
 
Ninavyojua huyu Robert Amsterdam hana credibility nzuri mbele ya serikali nyingi duniani; tafiti kidogo utapata rekodi hizo. Kwa hiyo usidhani ni mtu mwenye nguvu sana.
 
Kumbe umeandika usichokijua.... Amsterdam ni jina kama wewe unavyoitwa mwajuma
 
Ninavyojua huyu Robert Amsterdam hana credibility nzuri mbele ya serikali nyingi duniani; tafiti kidogo utapata rekodi hizo. Kwa hiyo usidhani ni mtu mwenye nguvu sana.

It doesn't matter, jitihada ya kutetea akina Ben Saanane, Azory Gwanda, Mawazo, Katibu wa Chadema kata ya Hananasif, Maiti zilizookotwa kwenye viroba, Masheikh waliotekwa huko Kilwa na mikoa ya kusini na wengine kurudi wametobolewa macho, kupigwa risasi Tundu Lissu, mauaji ya kutisha buko MKIRU itakuwa ni jitihada njema yenye kugusa nyoyo za wapenda haki duniani na hawa watazitaka serikali zao zishinikize uchunguzi wa udhalimu huu. Kuna watu mikono yao imelowa damu, wataface justice oneday, watake wasitake!
 

It matters, kwani huwezi kumtegemea mwanasheria ambaye hana credibility ukajijaza false expectations ukadhani tangu alipoandika open letter basi yeye ni mtu wa muhimu sana. Kwanza sidhani kama kuna mtu serikalini anaweza kuwa anajali barua hiyo ya kwenye mtandao kutoka kwa mtu siyesajiliwaa na ambayo haikuandikwa kwa standards za kisheria.

Kama una ushahidi wa unayodai huwezi kutegemea mtu binafsi wa aina hiyo asiyekuwa na credibility ya kutosha wakati Fatou Bom Bensouda wa ICC yupo na ndiye an mamlaka ya kushitaki viongozi na serikali kwenye mahakama hiyo, na ana rekodi ya kufanya hivyo. Huyo jamaa hayumo kwenye list ya wanasheria wanaotambuliwa na ICC ambao list yao ni hii hapa, angalia kama jina lake limo kwenye list:

Registry

Kwa hiyo punguza false expectationa na kuandika mambo kwa hasira, jitahidi kuwa unasikiliza hata upande wa pili. Huu uchaguzi utapita na tutapata rais mmoja na maisha yataendelea. Ukiwa na excessive impulsive reactions unaweza kuumia sana kisaikolojia iwapo matokeo hayatakuwa kama upendavyo.
 

Jaribu ku-check na 'Gaddafi wa Kuwait au Saddam Husein wa Libya' kama inawezekana. Kama haiwezekani, soma historia zao mpaka mwisho wa maisha yao.
 
Nadhani hapa members wengi n watoto wadogo tu ambao hawajasoma vitu nje ya madesa yao. Wanatumia hisia kujibu.


Halafu ni wakili pia wa Bobby Wine, Museveni nae anasomeshwa namba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…