Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
HayaHuna lolote mleta Mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HayaHuna lolote mleta Mada
Kweli huyu amefika mjini kisa elimu tu ila isingekuwa elimu angekuwa anajua kuongea ki lugha kama MIE tu.Kama kuna watu wanaojidai ni "wasiojulikana" wakae mkao wa kula. Kama wanadhani dunia imesahau haya matukio basi wakae wakijua kuwa muda wowote kinaweza kunuka juu yao.
Dunia imeducument vizuri hayo matukio, ni bora waachane na michezo hiyo ya uonevu kwa sababu kadri watakavyoendelea kuyafanya ndivyo jinsi dunia inavyozidi kutunza kumbukumbu na siku moja jumba bovu litawaangukia!.
Wanasheria husema kuwa sheria huwa ni kipofu lakini huwa inaweza kuona gizani (Justice is blind but it can see in the dark).
Matendo yale ya kihuni walidhani wao watakuwa safe, hakuna mtu wa kuwagusa. Lakini ukweli ni kwamba watu wa kuwagusa wapo, nao ni jumuia za kimataifa kwa kushirikiana na wazalendo wa nchi hii!.
Siku azimio la uchunguzi dhidi ya matukio hayo likitoka, hawana pa kukimbilia, watasakwa popote pale walipo wafikishwe kwenye mkono wa sheria!.
Haki ya mtu, damu ya mtu havipotei, vitaendelea kulia na kutaka haki yake!.
Kaini Kaini, umefanya nini?, Damu ya ndugu yako inanililia!.
Mkuu kwa andiko hili sijui Kama Kuna watu watalala tena usingizi ? Huo uchunguzi uanze Mara moja aiseeKama kuna watu wanaojidai ni "wasiojulikana" wakae mkao wa kula. Kama wanadhani dunia imesahau haya matukio basi wakae wakijua kuwa muda wowote kinaweza kunuka juu yao.
Dunia imeducument vizuri hayo matukio, ni bora waachane na michezo hiyo ya uonevu kwa sababu kadri watakavyoendelea kuyafanya ndivyo jinsi dunia inavyozidi kutunza kumbukumbu na siku moja jumba bovu litawaangukia!.
Wanasheria husema kuwa sheria huwa ni kipofu lakini huwa inaweza kuona gizani (Justice is blind but it can see in the dark).
Matendo yale ya kihuni walidhani wao watakuwa safe, hakuna mtu wa kuwagusa. Lakini ukweli ni kwamba watu wa kuwagusa wapo, nao ni jumuia za kimataifa kwa kushirikiana na wazalendo wa nchi hii!.
Siku azimio la uchunguzi dhidi ya matukio hayo likitoka, hawana pa kukimbilia, watasakwa popote pale walipo wafikishwe kwenye mkono wa sheria!.
Haki ya mtu, damu ya mtu havipotei, vitaendelea kulia na kutaka haki yake!.
Kaini Kaini, umefanya nini?, Damu ya ndugu yako inanililia!.
Kwahiyo ndugu wa damu wa Ben na Azory wanapataje haki ya kujua ndugu zao walipo? Tusaidie.Yaani law firm ya Netherlands iipeleke mbio taifa kubwa kama Tanzania, that's a joke? Au sababu ni wazungu ndio maana mnapagwa , mipaka ya kazi zao unaijua, kuna law firm inaweza kucross country na ku attack serikali, au ku command goverment, hacheni utoto. Kwani hiyo ni mahakama ya kikataifa au?
Wafanye fasta haya mashetani yanajimwambafai mpaka sasa yanagombea ubungeKama kuna watu wanaojidai ni "wasiojulikana" wakae mkao wa kula. Kama wanadhani dunia imesahau haya matukio basi wakae wakijua kuwa muda wowote kinaweza kunuka juu yao.
Dunia imeducument vizuri hayo matukio, ni bora waachane na michezo hiyo ya uonevu kwa sababu kadri watakavyoendelea kuyafanya ndivyo jinsi dunia inavyozidi kutunza kumbukumbu na siku moja jumba bovu litawaangukia!.
Wanasheria husema kuwa sheria huwa ni kipofu lakini huwa inaweza kuona gizani (Justice is blind but it can see in the dark).
Matendo yale ya kihuni walidhani wao watakuwa safe, hakuna mtu wa kuwagusa. Lakini ukweli ni kwamba watu wa kuwagusa wapo, nao ni jumuia za kimataifa kwa kushirikiana na wazalendo wa nchi hii!.
Siku azimio la uchunguzi dhidi ya matukio hayo likitoka, hawana pa kukimbilia, watasakwa popote pale walipo wafikishwe kwenye mkono wa sheria!.
Haki ya mtu, damu ya mtu havipotei, vitaendelea kulia na kutaka haki yake!.
Kaini Kaini, umefanya nini?, Damu ya ndugu yako inanililia!.
Kama kuna watu wanaojidai ni "wasiojulikana" wakae mkao wa kula. Kama wanadhani dunia imesahau haya matukio basi wakae wakijua kuwa muda wowote kinaweza kunuka juu yao.
Dunia imeducument vizuri hayo matukio, ni bora waachane na michezo hiyo ya uonevu kwa sababu kadri watakavyoendelea kuyafanya ndivyo jinsi dunia inavyozidi kutunza kumbukumbu na siku moja jumba bovu litawaangukia!.
Wanasheria husema kuwa sheria huwa ni kipofu lakini huwa inaweza kuona gizani (Justice is blind but it can see in the dark).
Matendo yale ya kihuni walidhani wao watakuwa safe, hakuna mtu wa kuwagusa. Lakini ukweli ni kwamba watu wa kuwagusa wapo, nao ni jumuia za kimataifa kwa kushirikiana na wazalendo wa nchi hii!.
Siku azimio la uchunguzi dhidi ya matukio hayo likitoka, hawana pa kukimbilia, watasakwa popote pale walipo wafikishwe kwenye mkono wa sheria!.
Haki ya mtu, damu ya mtu havipotei, vitaendelea kulia na kutaka haki yake!.
Kaini Kaini, umefanya nini?, Damu ya ndugu yako inanililia!.
Unaongea upuuzi mtupu.Accacia wamekuja hapa wametubu, aibu kwa snicht lisu, magu mwamba mtanyooka,
Kuzaliwa kijijini ndani ndani Sana shida mtu Hadi anakanyaga chuo kikuu hajawahi ona mzungu akimuona anakuwa Kama bwege
Kila kitu mzungu mzungu mzumgu!!!
Amsterdam Amsterdam Amsterdam!!! Ni ushamba Fulani unachangia
Ninavyojua huyu Robert Amsterdam hana credibility nzuri mbele ya serikali nyingi duniani; tafiti kidogo utapata rekodi hizo. Kwa hiyo usidhani ni mtu mwenye nguvu sana.Kama kuna watu wanaojidai ni "wasiojulikana" wakae mkao wa kula. Kama wanadhani dunia imesahau haya matukio basi wakae wakijua kuwa muda wowote kinaweza kunuka juu yao.
Dunia imeducument vizuri hayo matukio, ni bora waachane na michezo hiyo ya uonevu kwa sababu kadri watakavyoendelea kuyafanya ndivyo jinsi dunia inavyozidi kutunza kumbukumbu na siku moja jumba bovu litawaangukia!.
Wanasheria husema kuwa sheria huwa ni kipofu lakini huwa inaweza kuona gizani (Justice is blind but it can see in the dark).
Matendo yale ya kihuni walidhani wao watakuwa safe, hakuna mtu wa kuwagusa. Lakini ukweli ni kwamba watu wa kuwagusa wapo, nao ni jumuia za kimataifa kwa kushirikiana na wazalendo wa nchi hii!.
Siku azimio la uchunguzi dhidi ya matukio hayo likitoka, hawana pa kukimbilia, watasakwa popote pale walipo wafikishwe kwenye mkono wa sheria!.
Haki ya mtu, damu ya mtu havipotei, vitaendelea kulia na kutaka haki yake!.
Kaini Kaini, umefanya nini?, Damu ya ndugu yako inanililia!.
Nchi zao ni democracies, senators na representatives wanasikiliza kauli na ushawishi wa wapiga kura wao!. Movement ya kutaka haki juu ya akina Azory, Ben Saanane, na wengineo ikianzishwa, ikashika moto then wasiojulikana watachomoka huko waliko na wataface justice!
Kumbe umeandika usichokijua.... Amsterdam ni jina kama wewe unavyoitwa mwajumaYaani law firm ya Netherlands iipeleke mbio taifa kubwa kama Tanzania, that's a joke? Au sababu ni wazungu ndio maana mnapagwa , mipaka ya kazi zao unaijua, kuna law firm inaweza kucross country na ku attack serikali, au ku command goverment, hacheni utoto. Kwani hiyo ni mahakama ya kikataifa au?
Ninavyojua huyu Robert Amsterdam hana credibility nzuri mbele ya serikali nyingi duniani; tafiti kidogo utapata rekodi hizo. Kwa hiyo usidhani ni mtu mwenye nguvu sana.
It doesn't matter, jitihada ya kutetea akina Ben Saanane, Azory Gwanda, Mawazo, Katibu wa Chadema kata ya Hananasif, Maiti zilizookotwa kwenye viroba, Masheikh waliotekwa huko Kilwa na mikoa ya kusini na wengine kurudi wametobolewa macho, kupigwa risasi Tundu Lissu, mauaji ya kutisha buko MKIRU itakuwa ni jitihada njema yenye kugusa nyoyo za wapenda haki duniani na hawa watazitaka serikali zao zishinikize uchunguzi wa udhalimu huu. Kuna watu mikono yao imelowa damu, wataface justice oneday, watake wasitake!
Yaani law firm ya Netherlands iipeleke mbio taifa kubwa kama Tanzania, that's a joke? Au sababu ni wazungu ndio maana mnapagwa , mipaka ya kazi zao unaijua, kuna law firm inaweza kucross country na ku attack serikali, au ku command goverment, hacheni utoto. Kwani hiyo ni mahakama ya kikataifa au?
Halafu ni wakili pia wa Bobby Wine, Museveni nae anasomeshwa namba.