Ndio maana yangu, nenda Kariakoo nunua bidhaa halafu waambie wakuletee nyumbani. Kwani ukinunua Freezer huwa unapakia kwenye IST yako?Hapana sio kila bidhaa ni delivery kuna zengine unatakiwa uende ujiridhishe ubora kabla ya kutoa pesa
Wazo Zuri watapita nalo ingefaa uandae hii kama projectNatoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya Magari na watu imeongezeka sasahivi ukienda kariakoo kufanya shopping ni kazi sana kupata sehemu ya kuegesha gari , ukiangalia pembeni kuna eneo kubwa sana limechukuliwa na shule za Benjamin mkapa na uhuru mchanganyiko . Shule hizi tuzihamishe eneo lile liwe special kwa parking za magari , shule ni nyingi wanafunzi hawawezi kukosa shule ila parking na maeneo ni machache . Ni ushauri na mtazamo wangu .
Inaonesha unashabikia maeneo ya wazi kuuzwa kiholela na hauoni thamani ya elimu.Natoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya Magari na watu imeongezeka sasahivi ukienda kariakoo kufanya shopping ni kazi sana kupata sehemu ya kuegesha gari , ukiangalia pembeni kuna eneo kubwa sana limechukuliwa na shule za Benjamin mkapa na uhuru mchanganyiko . Shule hizi tuzihamishe eneo lile liwe special kwa parking za magari , shule ni nyingi wanafunzi hawawezi kukosa shule ila parking na maeneo ni machache . Ni ushauri na mtazamo wangu .
Kurasini sec imevunjwa?BTW yapo maeneo shule za serikali zimehamishwa mfano Kurasini kuna shule imehamishwa ili wajenge ICD. Nchi hii lolote linawezekana.
Sina uhakika na jina ila ipo maeneo ya bandarini imechukuliwa na wenye nguvu.Kurasini sec imevunjwa?
Aisee balaa pale mivinjeni kuna shule ya primary na secondary na zilikuwa na maeneo makubwa tu itakuwa wamepita nazo.... kweli money is better than educationSina uhakika na jina ila ipo maeneo ya bandarini imechukuliwa na wenye nguvu.
Nimeshawahi kuwa mwalimu wa tuisheni hapo,too noisy kwa utulivu wa suala la Elimu.Kuna maeneo mengi mnooo yapo wazi mengi mengi sana yaapo wazi na yanamilikiwa na Serikali kwanini umepalenga hapo?
Mkuu siyo shule tu na ofisi za TFF zinatakiwa ziondoke zihamie Dododo na kuvujwe pajenge Masoko makubwa ya kibiashara na wafanyabiashara wadogo wapate maeneo, yani pajengwe kisasa kuwepo na Migahawa, Maduka ya simu, Nguo, Supermarket, Kipindi cha Awamu ya Magufuli ingewezekana angeshauriwa vizuri angetoa Amria Tff wahamie Dodoma na Uzuri wa Magufuri angewaoa eneo la Ujenzi.Kwa miaka ile jiji lilikuwa bado halija changanya ila kwa sasa population imekuwa kubwa sana kiasi kwamba majengo kama ya shule hayana maana kuwa katikati ya jiji
kwann pasiwe na mawazo ya kutanua mji mnangangana na kubanana na uweka huduma nyingi sehemu moja angali embezoni ya mji bado kuna maeneo mengi hayana matumizi. mana population inakuwa na mataji ni mengi mkiwa na mawazo ya kutanua na kuanzisha mij mipya huoni mtatatua changamoto za sasa na baadaeHapana mkuu
Hayo ni madhara ya kutoheshimu longterm plans.
Eneo lile mtu alie na akili angejua tu in 20 years lazima business centre itanuke na ichangamke.
Yes ni kweli TFF haina maana iwepo pale wangeisogeza mashambani hukoMkuu siyo shule tu na ofisi za TFF zinatakiwa ziondoke zihamie Dododo na kuvujwe pajenge Masoko makubwa ya kibiashara na wafanyabiashara wadogo wapate maeneo, yani pajengwe kisasa kuwepo na Migahawa, Maduka ya simu, Nguo, Supermarket, Kipindi cha Awamu ya Magufuli ingewezekana angeshauriwa vizuri angetoa Amria Tff wahamie Dodoma na Uzuri wa Magufuri angewaoa eneo la Ujenzi.
Jana nilikuwa pale aisee inashangaza mle ndani ya shule magari ya wafanyabiashara wa kariakoo yamejaa hapafaiIle shule pale kiukweli haijakaa sehemu nzuri sio mazingira mazuri ya mwanafunzi KUSOMA
Haujielewi wwMsameheni alikua anatafuta mbinu ya kusema kua ana gari
Maendeleo ni bora kuliko kuwa na magofu yasiyokuwa na faida . Ile mijengo haina cha maana chochote kuna watalii wanaoenda pale ?wakuja wa dar utawajua tu, shule ya uhuru ivunjwe? hivi hata unailewa historia ya hiyo shule lkn? hauna tofauti na waliochoma soko la kariakoo na kujenga lingine ambalo halina soul kabisa na wale wanaotaka kuvunja historical muhimbili hospital, wote ni wakuja na hamna historia na huu mji na ndiyo maana kwenu kila kitu ni kuvunja tu.
waswahili tunasema usione vyaelea, ujue vimeundwa ...
Inawezekana sana kama nchi tukiweka mjadala wa afya halafu tuangalie uzito uko wapi ? Hali ya pale haifai hata kwa wanafunzi kusoma ni vurugu mwanzo mwishoSio rahisi huo ushauri wako kutekelezeka
Bora ungesema tuimarishe miundombinu yetu ya mwendokasi ili watu wasiwe wanaingia city center na magari yao binafsi
Ingekuwa Kuna shuttle zinafanya kazi hiyo effectively, watu wangekuwa wanapaki magari yao nje ya mji na kuja na hizo shuttle
Otherwise, tujenge parking za ghorofa ambazo zinachukua magari 500 hadi 2,500 ili kuondoa parking holela