Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Unakili za hovyo sana typical africanKwa miaka ile jiji lilikuwa bado halija changanya ila kwa sasa population imekuwa kubwa sana kiasi kwamba majengo kama ya shule hayana maana kuwa katikati ya jiji
Hawajachemaka kitu, Bongo ujinga mwingi sana, shids ni mipangi miji ya kisiasa. Huko Dunuani kuna shule ziko katikati mbona hawabomoi?Walichemka hawakuona mbali ile shule pale kwa sasa haifai kuwepo
Malls za nini? Ni Tanzania tu ambako raia badala wapiganie huduma bora hasa za Afya na elimu bora kwa watoto wao wako busy kuomba wajengewe stendi, mara vituo vya polisi na kadhalikaNaunga mkono hoja kwa 100%,
PARKING plus ,ILALA MALL itakayomilikiwa na Jiji.
Ukiangalia Stand na hospital/shule hazifanani. Hayo mastand ni miradi ya kupiga pesa tu ndio maana wanapenda.Malls za nini? Ni Tanzania tu ambako raia badala wapiganie huduma bora hasa za Afya na elimu bora kwa watoto wao wako busy kuomba wajengewe stendi, mara vituo vya polisi na kadhalika
Wazo la hovyo kabisa, hiyo mikweche yenu ndiyo muhimu kuliko elimu ya watoto wetu? We kwl hamnazo. Hiyo mikweche iacheni huko pembezoni mwa jiji, mjini pandeni mwendo kasi.Natoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya Magari na watu imeongezeka sasahivi ukienda kariakoo kufanya shopping ni kazi sana kupata sehemu ya kuegesha gari , ukiangalia pembeni kuna eneo kubwa sana limechukuliwa na shule za Benjamin mkapa na uhuru mchanganyiko . Shule hizi tuzihamishe eneo lile liwe special kwa parking za magari , shule ni nyingi wanafunzi hawawezi kukosa shule ila parking na maeneo ni machache . Ni ushauri na mtazamo wangu .
Lioneni hili zombie!Hivi hata nani alieruhusu kuwepo na shule eneo ambalo ni business centre.
We uone aibu kuficha huu upuuzi wakoKwa miaka ile jiji lilikuwa bado halija changanya ila kwa sasa population imekuwa kubwa sana kiasi kwamba majengo kama ya shule hayana maana kuwa katikati ya jiji
We mshamba baada ya kununua huo mkweche wako ndiyo taasisi ya elimu iondolewe? Pumbavu usiye na hayaWalichemka hawakuona mbali ile shule pale kwa sasa haifai kuwepo
We kinyesi potea kwenye uzi huu kabla sija ku flashWe mshamba baada ya kununua huo mkweche wako ndiyo taasisi ya elimu iondolewe? Pumbavu usiye na haya
Kila kitu ni muhimu,mall, hospital,school,and etc,akili sahihi ni shule iwekwe wapi?,hospitali iwekwe wapi,na mall na parking iwekwe wapi?, unatumia akili ya kiungo gani?Malls za nini? Ni Tanzania tu ambako raia badala wapiganie huduma bora hasa za Afya na elimu bora kwa watoto wao wako busy kuomba wajengewe stendi, mara vituo vya polisi na kadhalika
Na shule ilikua hivyo hivyoWakati kinajenga hapakuwa mjini palikuwa nje ya mji,mjini mwisho ilikuwa mnazi mmoja!
Of course yes, kiwanda rafikiye ni kelele,Elimu au shule kelele ni adui yake mkubwa sana.Na shule ilikua hivyo hivyo
Jangwa ni mbali sana mpk kuifikia kkoo
Tembea...Jangwa ni mbali sana mpk kuifikia kkoo
Kama ni jangwani ni bora tupae kwa ungo tu sio kutembeaTembea...
hatimaye mmeamua kuanza kuchoma moto shule ili mpate parkingNatoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya Magari na watu imeongezeka sasahivi ukienda kariakoo kufanya shopping ni kazi sana kupata sehemu ya kuegesha gari , ukiangalia pembeni kuna eneo kubwa sana limechukuliwa na shule za Benjamin mkapa na uhuru mchanganyiko . Shule hizi tuzihamishe eneo lile liwe special kwa parking za magari , shule ni nyingi wanafunzi hawawezi kukosa shule ila parking na maeneo ni machache . Ni ushauri na mtazamo wangu .
Kwakweli hii haikuwa coincidence.hatimaye mmeamua kuanza kuchoma moto shule ili mpate parking