Pale Katibu Mkuu wa Guam anaposoma mchezo na kuhamisha Pesa zaidi ya 12Bilion bila kufuata utaratibu, zikitoa Roho ya Bendera inayofuata maembe yake

Seen bro.

Mambo ni mengi na muda unatosha sana huko kwenye ufalme, watu kudeal na watu.

Hii chain ni ndefu kudeal nayo kwa namna watakavyo wengi watasepeshwa. Na itapigwa mchanganyo na walio nje ya system itawakuta ili kupoteza makelele ya waongozwaji.

Kinachouma wanapiga pesa ndefu na haziwaongezei urefu wa maisha na kibaya hauna amani ya moyoni, na wana kampuni ndio wanaumizwa haswa.

“Anyway do not hurt yourself with the thing you can’t control it”.
Mimi naona mda ni mdogo, sijui wanasubiri mda muafaka lini,
BT asije akawahi watu
 
BT ni kina kirefu aise…!!! Kumuweza yule akili ya kimwili na kiroho zitumike kisawa sawa. Ana 70+ yrs lkn kama yupo 50+ hivi. How he care himself alot.

Na mfumo alioutengeneza ni mkubwa sana, anakutumia bila kujua unatumika. Hii ya dodo huenda akalipa smartly ikiwa atazishinda hisia zake.

Upande wa pili sio smart saaana ndio maana unaona mbinu zao nyiiiingi BT anazishtukia mapema sana. Na atakaye mdondosha BT ni MZEE ndiye ataunda mfumo wa kummaliza. Amempika BT na amefanya naye mission nyingi sana na 95% ya mission zao SUCCESSFUL.

Kinyago ulichokichonga mwenyewe hakikutishi.
 
Seen bro.

Mambo ni mengi na muda unatosha sana huko kwenye ufalme, watu kudeal na watu.

Hii chain ni ndefu kudeal nayo kwa namna watakavyo wengi watasepeshwa. Na itapigwa mchanganyo na walio nje ya system itawakuta ili kupoteza makelele ya waongozwaji.

Kinachouma wanapiga pesa ndefu na haziwaongezei urefu wa maisha na kibaya hauna amani ya moyoni, na wana kampuni ndio wanaumizwa haswa.

“Anyway do not hurt yourself with the thing you can’t control it”.
“Anyway do not hurt yourself with the thing you can’t control it”. Nakazia [emoji3578][emoji108][emoji3578]
 
Mafisadi hupenda kuhusisha mafia wa church, na kuwamegea kidogo keki ya ufisadi ili kutafuta security baadae mambo yakisanuka. Hao ndo hutumika kama soft power ya kulainisha mambo, au hilo likishindikana hutumika kama blackmail ya kisiasa kwa kuwa wana watu wengi wanaowasikiliza!.
Kumbuka maaskofu walivyovuta mpunga wa Escrow.
 
Exactly
 
Hii nchi kuendelea kuwa chini ya ccm ni sawa na kuendelea kuwa chini ya shetani tena lucifer mwenyewe!
 
Huu mfumo wa yoga style ni wachache wanaoweza kuumudu, tofauti na hapo utakuwa unaruka ruka kama unavyofanya wewe.
 
Back
Top Bottom