MwanaWA Ebrania
JF-Expert Member
- Oct 6, 2017
- 939
- 1,147
Mimi naona mda ni mdogo, sijui wanasubiri mda muafaka lini,Seen bro.
Mambo ni mengi na muda unatosha sana huko kwenye ufalme, watu kudeal na watu.
Hii chain ni ndefu kudeal nayo kwa namna watakavyo wengi watasepeshwa. Na itapigwa mchanganyo na walio nje ya system itawakuta ili kupoteza makelele ya waongozwaji.
Kinachouma wanapiga pesa ndefu na haziwaongezei urefu wa maisha na kibaya hauna amani ya moyoni, na wana kampuni ndio wanaumizwa haswa.
“Anyway do not hurt yourself with the thing you can’t control it”.
Mimi naona mda ni mdogo, sijui wanasubiri mda muafaka lini,
BT asije akawahi watu
Acha uhuni mkuu.Gagulo ni vazi la heshima kwa watu wazima aisee!😂Nyie ni wakongwe hapa jukwaani,kitambo niliwaheshimu sana,lakini baada ya kuwafuatilia nimewazarau kama gagulo,maelezo yenu ya kishoga sana
yeah yeah gach you boy ..[emoji120][emoji120]
Copy that rogeryeah yeah gach you boy ..[emoji120][emoji120]
Mbn codes zenyewe nyepesi sana?Nipo palee nasubiri fasihii codes zifunguliwe
“Anyway do not hurt yourself with the thing you can’t control it”. Nakazia [emoji3578][emoji108][emoji3578]Seen bro.
Mambo ni mengi na muda unatosha sana huko kwenye ufalme, watu kudeal na watu.
Hii chain ni ndefu kudeal nayo kwa namna watakavyo wengi watasepeshwa. Na itapigwa mchanganyo na walio nje ya system itawakuta ili kupoteza makelele ya waongozwaji.
Kinachouma wanapiga pesa ndefu na haziwaongezei urefu wa maisha na kibaya hauna amani ya moyoni, na wana kampuni ndio wanaumizwa haswa.
“Anyway do not hurt yourself with the thing you can’t control it”.
Hapo nimeelewa vizuriHiyo ya kwanza isome kinyume
ExactlyMafisadi hupenda kuhusisha mafia wa church, na kuwamegea kidogo keki ya ufisadi ili kutafuta security baadae mambo yakisanuka. Hao ndo hutumika kama soft power ya kulainisha mambo, au hilo likishindikana hutumika kama blackmail ya kisiasa kwa kuwa wana watu wengi wanaowasikiliza!.
Kumbuka maaskofu walivyovuta mpunga wa Escrow.