Pale Katibu Mkuu wa Guam anaposoma mchezo na kuhamisha Pesa zaidi ya 12Bilion bila kufuata utaratibu, zikitoa Roho ya Bendera inayofuata maembe yake

Huwezi kushinda urais kwa kuendekeza majungu kiasi hiki.

Kama aliiba hela ni kitu gani kinachofanya asikamatwe mpaka leo?
Utasema ni majungu kama wewe sio mwelewa!
Ila kwa sisi tuliosoma 'Cuba' tunafahamu huu mchezo mwanzo mwisho!
Ila mtu unafikia hadi kunua sumu, kumlisha mtu, kumuua! Nyie mtaishi milele!
 
Kada salama?

Mwaka huu matanga sio ya kawaida

MOVIE IKO TRELA
 
Nani kakudanganya ayupo?

Mwenye benki unamjua vizuri?

Kwanza ana hasira kumpoteza muumini wake

Yeroo subai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…