Pale Kurasini leo ulinzi ulikuwa bab kubwa sana, kulikoni?

Pale Kurasini leo ulinzi ulikuwa bab kubwa sana, kulikoni?

jichanganye huwa mnabubujikwa kamasi na kinyesi hatimae kuwaliza wapendwa wenu kwa ujinga wenu
Unatokwa mapovu humu utadhani hata samia anakujua!! Acha kutumika dogo you're a nobody. Unakumbuka yule dogo aliyemtishia lissu, anaozea jela wakati alikua anachimba biti tu ila ndio akabebeshwa kesi nzima.

Watch out.
 
ulinzi wa wa leo wa namba 1 ulikuwa kabambe kwelikweli.

Mara ya mwisho ulinzi wa aina ya leo ulionekana miaka minne na ushee iliyopita chini ya mwandamizi himself.

Hatujazoea kuona hivyo!
Ukiona ulinzi ni mkubwa ujue usalama ni kidogo.
#Sitanii
 
Unatokwa mapovu humu utadhani hata samia anakujua!! Acha kutumika dogo you're a nobody. Unakumbuka yule dogo aliyemtishia lissu, anaozea jela wakati alikua anachimba biti tu ila ndio akabebeshwa kesi nzima.

Watch out.
mwenye masikio na asikie nimemaliza ndugu
 
Lakini lile ni eneo la jeshi lazima kulipaswa kuonekana hivyo.
 
ulinzi wa wa leo wa namba 1 ulikuwa kabambe kwelikweli.

Mara ya mwisho ulinzi wa aina ya leo ulionekana miaka minne na ushee iliyopita chini ya mwandamizi himself.

Hatujazoea kuona hivyo!
Kwaiyo hapo alipoenda mama kulikuwa na mnada wa nguo za mtumba au vip?
 
Yaani uende kambi ya jeshi halafu ushangae kuona askari wengi? Chadema imejaa mataputapu mengi sana
Kwa Sasa hv haya machadema, hususani ya humu jukwaani, yamekuwa zaidi ya majinga majinga tu.........vitu inavyoongea utadhani imekatwa vichwaa. Kweli huyu mama noma, hapo Bado ushindi wa 98% hapo oktoba 2025.
 
Basi utaanza kuondoka wewe na ugonjwa wako wa tezijike.
MUngu akisema hakuna shida ila tunaombea apate kile Mungu ataona kinafaa kutuliza machungu ya familia za mzee kibao, soka, mdude sativa na wale wakenya waliofirwa na woote waliotekwa. Shetan haombewi mema upo..?
 
ulinzi wa wa leo wa namba 1 ulikuwa kabambe kwelikweli.

Mara ya mwisho ulinzi wa aina ya leo ulionekana miaka minne na ushee iliyopita chini ya mwandamizi himself.

Hatujazoea kuona hivyo!
Ni dalili mbaya hizo. Hata mwandamizi alivyoongeza ulinzi ndiyo akaitwa peponi.
 
Ni dalili mbaya hizo. Hata mwandamizi alivyoongeza ulinzi ndiyo akaitwa peponi.
Zama za kuchapa watu risasi zimepitwa na wakati!

Zama za leo ni chemical weapons pekee zinatumika!kupitia kinyesi wanajua system ya mwili wa mhusika na Wanacheza na Hali yeke na habari inaisha!!



Ulinzi pekee ni kufuata maelekezo tu bhas!
 
Back
Top Bottom