Mungu anajua zaidi ya uyajuayo wewe, nyie wa kushikishwa maneno mkiwa hamjui chochote kuhusu ya sirini hata hamumsumbui Mungu......mara nyingi anawapuuza tu. Mmeanza lini ku,uombea mabaya Samia?!!!!!! Si kila siku mnaoomba afe.MUngu akisema hakuna shida ila tunaombea apate kile Mungu ataona kinafaa kutuliza machungu ya familia za mzee kibao, soka, mdude sativa na wale wakenya waliofirwa na woote waliotekwa. Shetan haombewi mema upo..?
Kama alivyo tupuuza kwa mwenda zake.Mungu anajua zaidi ya uyajuayo wewe, nyie wa kushikishwa maneno mkiwa hamjui chochote kuhusu ya sirini hata hamumsumbui Mungu......mara nyingi anawapuuza tu. Mmeanza lini ku,uombea mabaya Samia?!!!!!! Si kila siku mnaoomba afe.
Huu upumbavu utaacha lini?jichanganye huwa mnabubujikwa kamasi na kinyesi hatimae kuwaliza wapendwa wenu kwa ujinga wenu
ibirisi wa ccm Utabiri wa marehemu Shekhe Yahya utawalaza hoi mwaka huuVijana wa ccm aliyewaroga Mungu amlaani huko alipo
Vipi Mwandamizi huo ulinzi hakumsaidia kuzuia malaika mtoa roho kuichukua roho yake?ulinzi wa wa leo wa namba 1 ulikuwa kabambe kwelikweli.
Mara ya mwisho ulinzi wa aina ya leo ulionekana miaka minne na ushee iliyopita chini ya mwandamizi himself.
Hatujazoea kuona hivyo!
shida ipo kwenye kutokutii mamlaka unafikiri nidhamu ikiwa juu shida itakuwepo ndugu?Huu upumbavu utaacha lini?
Walikuwepo akina mabutu , Elibashiri, Bokasa, makaburu, iddy Amin Dada na wenzao makatili madikiteta hatari leo hii wapo wapi?
ulinzi wa wa leo wa namba 1 ulikuwa kabambe kwelikweli.
Mara ya mwisho ulinzi wa aina ya leo ulionekana miaka minne na ushee iliyopita chini ya mwandamizi himself.
Hatujazoea kuona hivyo!
Kambi ipi ya jeshi?Yaani uende kambi ya jeshi halafu ushangae kuona askari wengi? Chadema imejaa mataputapu mengi sana