Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

Hata hivyo baadhi ya dada zetu nao hasa miaka hii ya bongo movie na bongo flava wamekuwa soo cheap,yaani wanarukiarukia wanamme kama nyani toka tawi hili kwenda tawi lile,in fact you can't put all blames to men,yaani ukiingia instagram ni aibu tu mambo mnayoyafanya.
 
Upo sahihi sana best, ila una kazi ngumu kuwashawishi watu katika hili hasa ukichukulia watu wengi humu wamelelewa katika mazingira ya mfumo dume, kikubwa wee waandakie decision makers wa Voda humu utakatishwa sana tamaa
Now tusaidie wewe ambae umekukulia kwenye mfumo "elewa!"

As of now hakuna mwanamke yeyote aliyetoka mbele kudai kudhalilishwa na Diamond... kama unafahamu nisaidie BUT with evidence! Lakini pamoja na yote hayo mnataka Vodacom wavunje mkataba au wasingetoa mkataba simply because Gazeti la Amani and unpresented sources said so?! Is that how things work outta there?

Naomba msichanganye mambo! Issue ya Rihanna ilikuwa officially known and reported to authorities! Bill Cosby wanawake wametoka forward kusema walikuwa abused and raped by Cosby! There's no reliance from incredible source kama mnavyotaka nyinyi kwa kutumia source ya Gazeti la Amani!
 

I started shouting AFTER SIDE B YA HIO ISHU YA DEBBY MANAGEMENT YA WCB KUTOA TAMKO LAO. Sikutaka kupost then coz wangetumia some of my arguments katika kujisafisha. Nikaacha kwanza wajipakae mavi vizuri ndo nije na hoja zangu. TOFAUTI YENU NA NYIE HII ISSUE MNAIJUA JUU JUU MKO BIASED, HAJAMSOMA DEBBY ALLEGATIONS ZAKE, HAMJASIKILIZA EXPLANATION YA WCB MANAGEMENT, BADO VODACOM HAWAJATOA TAKMO JUU YA ILE MIBANGO YAO OF WHICH KWA JAMBA JAMBA YA LEO KWA HABARI ZA KINA KABISAAA LINAANDALIWA HILO TAMKO.

Fact kwamba Dai alikalia hio ishu kimya inaonesha HE HAS THINGS TO HIDE,kama mtz mwenye haki kwenye utwala huu wa Magufuli asingekaa kimya basi tuuu sababu MAHAKAMA ZIPO, SHERIA ZIPO, SHIGO SIO MUNGU. sheria zipo kumlinda mwananchi na utaratibu wa kupata haki yako upo. Ukiamua kutoutumia sababu kuna mambo yako unafichaficha huo ni uamuzi. Serikali haiwezi kukufosi uchukue haki yako kama huitaki na umeamua kuiwave willingly.

Billboards are part of the endorsement deal na ziko directly related na VODA BRAND. JE NI SAWA KWA GLOBAL BRAND KAMA ILE KUWA NA MBAKAJI KWENYE BILLBOARD YAO? TENA MWENYE RB, NA RB YENYEWE SIO YA BONGO USEME MAGUMASHI YA ULAYA ALIKOKIMBIA, KAMA HANA HATIA KWANINI ASIENDE KUJISAFISHAAA?

BILL COSBY KAMA UMEFATILIA HUJADANDIA SIO KESI MOJA NI SEVERAL LAW SUIT ZIMEKUWA FILED NAE, NA MPAKA KESHO ANASEMA ANASINGIZIWA. NA HAKUNA CASE HATA MOJA ALIOTIWA HATIANI MOJA KWA MOJA KWAMBA SASA COSBY ULIBAKA NENDA RUMANDE. Walaaaaaaaaa! Ila tuhuma tuhuma tu hizi show zake, zimestopishwa, honorary degrees na titles zimekuwa revoked na endorsement deals nyingi wamevunja mkataba. Kwanini sababu tu ANASHUKIWA.

Tuje kwa Dai historia yake kama nilivoieleza huko sina haja ya kurudia. KUBWA LA VODA KUJITAFAKARI JE NI SAHIHI KUWA NA BANGO LENYE MBAKAJI MWENYE RB AKI ADVOCATE BRAND YAO??? KWELI IS THIS WHAT VODA GLOBAL PREACH? THE TWO CASES ARE SIMILAR ATLEAST BILL COSBY HAKUWAHI KUCHUKULIWA VALID RB, NA STATUTES LIMITATION ZA ALLEGATIONS ZAKE NYINGI ZILI EXPIRE 2008 LAKINI DJ WETU EVERYTHING IS PUBLIC AND VALID. HAHAHAAAA.

Na wanawake kujitokeza si Debby kajitokeza au mwanaume yule?
 
leo umezungumza kitu muhimu sana lara 1 haikubaliki hata kidogo mtu kufanya abuse dhidi ya wanawake na kujitangaza mtaani bila hata chembe ya staha halafu na makampuni ya simu kama vodacom wanampa ubalozi huku ni kukosa utu kwa kiwango kikubwa sana kwa vodacom.

lakini watu waliofanyiwa hivyo inafaa zaidi wajitokeze kutoa malalamiko yao hadharani na watu nao watakuwa kwenye position nzuri ya kuweza kuchukua hatua.
 

THANK YOU! THANK YOU! THANK YOU! HUU NDO UKWELI WENYEWE HASWAAAAA. Shame shame shame VODA. SHAME OF THE CENTURY. Plae kwa Dai walifanya ujanja ujanja wakajua wabongo ile TUMESAHAU si kitambo hili la DJ MWENYE RB KWENYE MABANGO FIMBO TU ZA MUNGU ZINAWATANDIKAAAA. MIBANGO WASHAJAZA NCHI NZIMA AFU MAMBO YA AIBUUUUU KAMA HAYO. HAHAHAAAA.

Hii iwe fundisho makampuni kufanya background check za kina kwa wana wa endorse. Wako wasani wasafi, wanajituma hawapati dili ujanja ujanja mwingii mpaka Mungu sasa ndo anaamua kuwaumbua na mibango yenu.

Watu haina haja hata ya kujitokeza HUO UNAYASAJI WAKE ALIUFANYA PUBLICLY KUJISFIA MAGAZETINI NA ON AIR, NA HILI LA UBAKAJI MLALAMIKAJI KESHAJITOKEZA KATOA NA RB NA HOSPITAL REPORT PUBLICLY.
 
Lakini lina mahela hilo. Una uhakika likija PM na kukutongoza utalitolea nje?

Halafu huwa linanukia vizuri kweli. Hutaki na wewe likupe pafyumu zake?

Naliogopajee sasa pamoja na mapesa yake,ntalikataa ila pafyumu ntazichukua halaf nakutupa kuleee,,nafunga na pm wallah sijui utanikamatia wapi
 
Lakini lina mahela hilo. Una uhakika likija PM na kukutongoza utalitolea nje?

Halafu huwa linanukia vizuri kweli. Hutaki na wewe likupe pafyumu zake?

Naliogopajee sasa pamoja na mapesa yake,ntalikataa ila pafyumu ntazichukua halaf nakutupa kuleee,,nafunga na pm wallah sijui utanikamatia wapi
 
wananchi wanaweza kuboycot kutumia huduma za voda even a day per week mbona watamchomoa tu.
 
Naliogopajee sasa pamoja na mapesa yake,ntalikataa ila pafyumu ntazichukua halaf nakutupa kuleee,,nafunga na pm wallah sijui utanikamatia wapi

Haya hebu ngoja nije PM nikutongoze na wewe teh teh teh....sijui utanikubalia?
 
wananchi wanaweza kuboycot kutumia huduma za voda even a day per week mbona watamchomoa tu.

BAYCOT kibongo bongbongo bado sanaaaa. TUNAANZA HIVI KWENYE TANZANIA MOST POWERFUL MEDIA OF GREAT THINKERS, ITAFIKA GAZETINI LAZIMAA, MAANA MAGAZETI HIKI NACHO NI CHANZO CHAO CHA HABARI, WATAWAHOJI VODACOM, WAKICHUNA TENAAA, TUTAENDA INTERNATIONAL BLOGS, MAANA VODA HAIKO NCHI MOJA, WATA AINISHA VODA TANZANIA, SASA VODA HUKO KWINGINE WATAJITAFAKARI JE VODA TZ HIO BRAND WANAVOICHAMBIA NI HALALI? MDOGO MDOGO MEDIA TAKE OUT TMZ, TUONE VODA BRAND MANAGER WA TZ ATAJISIKIAJE KUWEKWA KWENYE GOSSIP SITES KAMA ZILE. Kutumbua jipu hakutaki haraka wala hasiraaaa. Bill cosby jipu lake limetumbuliwa miaka 40.
 
Lara has a point though
Kama ni Kweli kuna rape act or sexual assault basi Vodacom and others need to rethink about their reputation
Lakini bongo ndio hivyo tena hakuna mtu anajali brand or company reputation
 
Lara has a point though
Kama ni Kweli kuna rape act or sexual assault basi Vodacom and others need to rethink about their reputation
Lakini bongo ndio hivyo tena hakuna mtu anajali brand or company reputation

Hapana BONGO SAHIVI KAMA ULAYA TU. Tukiongea namna hii tunaisaidia jamii. Sio kufumbia macho mambo kama haya. Najua Voda kujikosha wanaweza leta kampeni ingine mapema zaidi kuiua hii ila cha moto wamekipataaa.

Na wataacha ujanja ujanja kwenye endorsement zao.
 
radika

SORRY BRO, STOP ABUSING THE SISTER. Ndo maana ukawa mwanaume Mungu akakupa uwezo wa kukojoa umesimamma na mwenzio lazima achutame ndo akojoe. Kwa hio unatakiwa kuwa na busra zaidi kujikaza kiumeee na kumuachaa. Unavojibizana nae you look like a sissy. Ndo maana hata baba yako ukimjibu anakukalia kimya sio kwamba anakuogopa aua anakupenda sanaa, anatumia tu busara anakupuuzia basi mwenyewe utajiona mjinga.

JUST LET IT GO.
 


Wewe kama sio mchawi basi si muda mrefu utaanza kuwa mchawi
 
Hahahaaaaa! Nikiwa mchawi i will take note kuja kukukaba usiku kwa kuniumbua.

Roho mbaya inakusumbua wewe unashindwa kuweka presha kwa wakina wema sepetu wanaoharibu maadili mtaan ya wadogo zetu unamkazania diamond....

Unashindwa kuaddress issue za ufisad zimavyopelekea vifo vya wakina mama wajawazito kabla na katika kipindi cha kujifungua unamkazania diamond....

We bado akili zako zinadhan tanzania na marekani ni sawa... Boycot za marekan zinafanikiwa kwa sababu challenges nyingi tayar zimeshakuwa addresed ndio maana huwez kusikia vifo vya wakina mama kwa kukosa damu wakat wa kujifungua.... Hitisha harambee kuaddress issue za wanawake wenzako otherwise kuendelea kumfuatilia diamond ni dalili tosha una kitu unatafuta....
 
We will see. I have been in this PR game long enough. How about we watch and see.
What r yu waiting for???? Nenda huko tmz na nini sijui!!! Kwa ufupi hakuna utakaye mblack mail Kwa vimikwara mbuzi vyako.. and watch out mwezi may kuna maendorsement mengine ya haja tu yanakuja.. mpaka mfe Kwa kiungulia mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…