Kabla cjaingia kwenye hoja; why did you decide to shout?! Just curious but you may ignore to answer!
Nikirudi kwenye hoja what you don't know ni kwamba watu issue nyingi wanazimaliza kishikaji na wengine wanapuuza! Mfano mzuri, hayo hayo magazeti ya Shigongo yalishawahi kuandika kwamba Diamond alitaka kumtoa kafara mama yake! Do you really believe endapo Diamond angeenda mahakamani Global Publishers wangeweza ku-prove beyond reasonable doubt madai yao?!
Kwamba wote Diamond na Rommy wapo kwenye mabango hapa una-raise another issue! What's your problem? Endorsements or billboards?!
Scandal ya Bill Cosby ilikuja baada ya wanawake kujitokeza kwamba walipata kudhalilishwa kijinsia na hata kubakwa miaka ya nyuma! Lakini
Kabla cjaingia kwenye hoja; why did you decide to shout?! Just curious but you may ignore to answer!
Nikirudi kwenye hoja what you don't know ni kwamba watu issue nyingi wanazimaliza kishikaji na wengine wanapuuza! Mfano mzuri, hayo hayo magazeti ya Shigongo yalishawahi kuandika kwamba Diamond alitaka kumtoa kafara mama yake! Do you really believe endapo Diamond angeenda mahakamani Global Publishers wangeweza ku-prove beyond reasonable doubt madai yao?!
Kwamba wote Diamond na Rommy wapo kwenye mabango hapa una-raise another issue! What's your problem? Endorsements or billboards?!
Scandal ya Bill Cosby ilikuja baada ya wanawake kujitokeza kwamba walipata kudhalilishwa kijinsia na hata kubakwa miaka ya nyuma! Lakini ingawaje hakuna mwanamke yeyote aliyetoka mbele kusema alipata kubakwa au kudhalilishwa na Diamond cku za nyuma lakini bado unataka Vodacom wasingetoa mkataba kwa Diamond au wavunje mara moja simply because Gazeti la Amani lilipata kuripoti hapo kale kwamba Diamond anadhalilisha wanawake!!! Don't you see the difference between the two or I'd also shout telling the same thing?!
hakuna mwanamke yeyote aliyetoka mbele kusema alipata kubakwa au kudhalilishwa na Diamond cku za nyuma lakini bado unataka Vodacom wasingetoa mkataba kwa Diamond au wavunje mara moja simply because Gazeti la Amani lilipata kuripoti hapo kale kwamba Diamond anadhalilisha wanawake!!! Don't you see the difference between the two or I'd also shout telling the same thing?!