Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

Kua PR isiwe shida ata sisi tuna taaluma zetu hatuna show of za kikuda...halafu source yako ya habari ni mange..? Akili za wanawake ata shetani anazishangaa
 
eee source yako ya habari ni mange....?akili za wanawake ata shetani anazishangaa

Mange hii ishu hata hakuipost kaipotezea tu. Na mange kama impact less mbona muitaliano ALILIPWA? Ashalizwa ile midola chezea bongo hii. Hahahaaaa.
 
Kua PR isiwe shida ata sisi tuna taaluma zetu hatuna show of za kikuda...halafu source yako ya habari ni mange..? Akili za wanawake ata shetani anazishangaa
 
Kua PR isiwe shida ata sisi tuna taaluma zetu hatuna show of za kikuda...halafu source yako ya habari ni mange..? Akili za wanawake ata shetani anazishangaa

Hahahahaaaaaaaa! TOO BAD IT IS A FREE COUNTRY, NA KUNA UHURU WA KUTOA MAONI NA MAONI YANGU JUU YA VODA HI HAYOOOOOOO. Over.
 
Humjui jamaa kwenye interview ni mpole kinyama kaa nae hivi ni mswahili ana matusi kinyama

Nashukuru MBEGU ZANGU ZIMEANZA KUCHIPUA NA WATU MNAANZA KUFUNGUKAAA. Sema wewe baba, those boys are BAD news.
 
bado unachofanya ni exaggeration tu....

makampuni yanalinda sana image zao lakini pia wanatazama na circumstance itakayoharibu biashara husika sio kirahisi kama unavyodhani yaani useme leo tu kesho wachukue action...

Pili ungekua na point nzuri kama issue ya msanii kuwanyanyasa hao wanawake ni ipo currently na wanawake hao wako mahakamani kwa ajili ya shitaka husika kufukua issue ya miaka hiyo kwa biashara ya sasa si sawa kwa kua kampuni hizo zinafanya naye kazi sasa sio wakati huo...

Halafu ujue ingekua makampuni yanafuatilia hizi story za kiudaku hata msanii huyo asingeweza kua ambassador kwenye biashara zao kwa sababu ya story negative za kila siku
 
Hivi ni wanawake wangapi wanaogombana na waume zao wewe huwafahamu,acha ushabiki utakufa na presha,mapenzi ni suala binafsi,alafu hujui nini kilisababisha akampiga,sio kila mwanaume huweza kuzuia hasira,wakati mwingine wanawake mnaboa,mfano lulu angekufa badala ya kanumba povu lingekutoka mdomoni,acha kufuatilia maisha ya watu,
 
Niipake mara ngapi?

Huu Uzi una lengo moja kati ya haya.

1. Lara 1 unajulikana wazi kuwa unakitu personal dhidi ya De eidha mmewahi kukwaruzana au kuna mtu wako wa karibu au shosti wako Fulani hayuko poa na Dee na ndio Maana sijawahi kuona hata siku moja umeongea neno zuri kuhusu Dee..

Kwahiyo hizi ngonjera zako za kujifanya mtetezi wa haki za wanawake ni upuuzi na mazombi pekee ndio watakuamini..

2. Chuki/wivu ulionao juu ya Dee ndio motive iliyoko ndani yako! Hii dili ya Voda monde amelamba zaidi ya mil 600 na kuna haters hapa mjini imewauma hawapati hata usingizi.. naanza kuamini wewe ni mmojawapo

3. Attempt ya kujaribu kunuharibia Dee aipate dili nyingine.. licha ya kuwa umejisifu wewe guru wa PR ila hii strategy yako ni ya kitoto mno.. you might be able to draw attention ya hivyo vigazeti uchwara vya udaku but trust me this issue will get no where!! Strategy yako ya kijinga mno, hebu jievaluate upya kabla ya kujitutumua wewe ni guru..

4. Blackmail, huu mkwara wako kuwa utaenda tmz unaoutoa kwenye kila post unaonesha kabisa kuna angle flani unataka kublackmail coz kama imekuuma sana unasubiria nini

5. Wewe Lara 1 hauna uhalali wa kujifanya mtetezi wa wanawake!! Wewe ndio kila siku ukauki kumdhalilisha zari, mwanamke pekee unayemtetea ni Yule hips kalimati!! So stop this stupidity ya kujifanya activist..

Mwisho kabisa niseme UMEFELI!! kama umetumwa kamwambie aliyekutuma mjipange upya.. kama umeandika Kwa will yako mwenyewe pia UMEFELI vile vile!!!
 
that's right, kama vodacom wanamtu wao humu ndani wajitafakari waangalie je ni haki kuwa na balozi anayebuse watu tena anajitangaza publicly? lazima waangalie moral worth ya balozi wao.

lakini pia hao watu wengine nao waliofanyiwa vitendo kama hivi wajaribu kutafakari na kuona how they can go about it.
 
Kwanini ulete mada sasa na si kipindi hicho hayo matukio yalipokuwa yanatokea? 1. Nahisi unaweza kuwa muhanga wa diamond,2 .wivu wa maendeleo take,3. Kutumiwa na watu kusambaza chuki za hovyo. Ndio alifanya makosa na kama wewe ni mtetezi wa wanawake muda ule ule ilikupasa kupaza sauti.
 
Lara1, ni wachache wanao kuelewa, lakini pia hapa makampuni yanapaswa kujifunza namna ya kuwapa watu hizo nafasi za kimatangazo ili kuweka brand ya kampuni katika hali nzuri ya kiushindani katika biashara
 
Huu Uzi una lengo moja kati ya haya..

1. Lara 1 unajulikana wazi kuwa unakitu personal dhidi ya De eidha mmewahi kukwaruzana au kuna mtu wako wa karibu au shosti wako Fulani hayuko poa na Dee na ndio Maana sijawahi kuona hata siku moja umeongea neno zuri kuhusu Dee..

Kwahiyo hizi ngonjera zako za kujifanya mtetezi wa haki za wanawake ni upuuzi na mazombi pekee ndio watakuamini..

2. Chuki/wivu ulionao juu ya Dee ndio motive iliyoko ndani yako! Hii dili ya Voda monde amelamba zaidi ya mil 600 na kuna haters hapa mjini imewauma hawapati hata usingizi.. naanza kuamini wewe ni mmojawapo

3. Attempt ya kujaribu kunuharibia Dee aipate dili nyingine.. licha ya kuwa umejisifu wewe guru wa PR ila hii strategy yako ni ya kitoto mno.. you might be able to draw attention ya hivyo vigazeti uchwara vya udaku but trust me this issue will get no where!! Strategy yako ya kijinga mno, hebu jievaluate upya kabla ya kujitutumua wewe ni guru..

4. Blackmail, huu mkwara wako kuwa utaenda tmz unaoutoa kwenye kila post unaonesha kabisa kuna angle flani unataka kublackmail coz kama imekuuma sana unasubiria nini

5. Wewe Lara 1 hauna uhalali wa kujifanya mtetezi wa wanawake!! Wewe ndio kila siku ukauki kumdhalilisha zari, mwanamke pekee unayemtetea ni Yule hips kalimati!! So stop this stupidity ya kujifanya activist..

Mwisho kabisa niseme UMEFELI!! kama umetumwa kamwambie aliyekutuma mjipange upya.. kama umeandika Kwa will yako mwenyewe pia UMEFELI vile vile!!!
 
Hahahaaaaaa! Sio wewe ndo unafanya MINIMIZATION? RAPE CHARGES! RB! MEDICAL REPORT! FUGITIVE! TESTIMONY OF BATTLING WOMEN! VERBAL ABUSES ON AIR! REALLY!

How long did it take Dr. Mwaka kuchukuliwa charges? One post in UTURN.

wALITAKIWA WAFATILE NA GUIDELINES ZINASEMA HIVO ILA UJANJA UJANJA MWINGI. Kuna mtu kani pm email ya MD wa Vodacom Ian Fera nani sijui na mahead wengine huko huko vodacom mpaka wa South kuwa hili jipu NILITUMBUEEE na nitume hii post humo na ku google ishu zote nicompile case na kutuma humo mwenye hizo email of which will take me like 5 minutes. Hio email ni cc maboss wote. Hahahaaaa! Watu kwa FITINAAA. Ananipa na location zote mabango yalipo ni yamention na kutuma screen shot ya rb, medical report na kupoint kwa mshale mbakaji ndo huyu. Hahahahaaa!

Hilo sio lengo langu kuwafukuzisha watu kazi, sasa hio ni kuwakaba kooo Voda na BLACK JUSTICE. Mimi lengo langu sio Voda wavunje mkataba afu basi. Lengo lang WAWAJIBIKE NA KWANZA KUKEMEA KITENDO KILICHOFANYWA NA AMBASSADOR WAO, WAWAJIBIKE KUYATOA YALE MABANGO, NA PUBLICLY KU ACKNOLEDGE KAMA KAMPUNI WALIKOSEA.

OFCOURSE HAWATOFANYA VYOTE HIVO ILA NGOJA TUONE WATATOKA VIPI.
 
Hahahahaaaaaaaa! TOO BAD IT IS A FREE COUNTRY, NA KUNA UHURU WA KUTOA MAONI NA MAONI YANGU JUU YA VODA HI HAYOOOOOOO. Over.
Kitu kibaya zaidi ni kua una uwezo huo...yani ulalamike wewe labda kaam ulikua house girl kipindi wema anapigwa....yani asilalamike wema mlalamike nyie mashabiki...madem kama nyie ni kugonga na kuacha tu
 
Reactions: PNC
Lara1, ni wachache wanao kuelewa, lakini pia hapa makampuni yanapaswa kujifunza namna ya kuwapa watu hizo nafasi za kimatangazo ili kuweka brand ya kampuni katika hali nzuri ya kiushindani katika biashara

EXACTLYYYYYYY! LEARNING NI VITAL POINT ILI MAMBO KAMA HAYA YASIJIRUDIE.
 
Kitu kibaya zaidi ni kua una uwezo huo...yani ulalamike wewe labda kaam ulikua house girl kipindi wema anapigwa....yani asilalamike wema mlalamike nyie mashabiki...madem kama nyie ni kugonga na kuacha tu
Wema alilalamika gazetini na gazeti lipo mpaka ukomo wa dahari.
 
Naona kuhusu Voda inakuuma sana?.na kama wewe ni mtetezi wa wanawake wajulishe ofisi yako iko wp waje na si kutumia reference ya wema,
 
Naona kuhusu Voda inakuuma sana?.na kama wewe ni mtetezi wa wanawake wajulishe ofisi yako iko wp waje na si kutumia reference ya wema,

Sijatumia reference ya Wema nimetumia reference ya gazeti. Wema alivohojiwa na gazeti angewaza lile gazeti linadumu milele na watu hawasahau kilichoandikwa mule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…