Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

Tutolee ualikiba wako hapa watanzania mna wivu kwa waliopambana na maisha na kufanikiwa.

Ali kib nae anashutuma zake zinavuguma insta kamal denti under 18. Salama yake asitoe tamk maana denti kaja juu kama moto wa kifuuu. Sasa kiba ajikijichanganya kutoa tamko tu NAE NINAEEEE nae dili litakaa vibaya maana yule under 18 navomuona mapepe kweli kweli atayabwaga yooote. Anyway hata Kiba akifanya mabubu WALE TEMBO ATAWAONA MBUGANI TU. HAHAHAAAAAAAAAAAA!

Ngoja nifanye kazi yangu ya dukani mieeeee. Duka lausiku huu duka gani hilooo! Hahahaaaaa.

 
Unaposahau ni kuwa ata mahakamani huwezi kwenda kufungua kesi mimi nimepigwa ngumi afu wewe ndiyo uwe mlalamikaji, anachofanya diamond na hao wake zake ni haki zake za msingi maana wanastahili uhuru wa kuendesha mapenzi yao.

Ata kwetu MARA mamarooby na mamaghaati bila makofi wanaona nawanyanyasa maana siwapendi..

Huu ni utmaduni ambao wao wanajua jinsi ya kupiga mwanamke mfano kwa mkurya mwanamke anapigwa kwa makofi siyo ngumi wala mateke kuepuka kumuumiza.

Hawa wakina wema, diva, sijui deborah hufanyi hivi kutafuta kiki tuu..
 
Eti tu - assume nimeiona sasa hivi... pole sana tatizo huelewi. Nimekuambia hayo nimeyafahamu hata kabla ya hiyo interview bado ndo maana nilikuwa nakushangaa ulivyokuwa unang'ang'ania kwamba habari yenyewe ndo naiona leo!!

Kuhusu what I have to say; kama ingekuwa unanisoma between lines ungegundua sijapinga hiyo issue na ndio maana tangu awali nilikuambia let's brand him kama "mtuhumiwa wa ubakaji" na sio mbakaji kama unavyolazimisha wewe iwe!!

Tatizo langu kwako ni vile unavyolazimisha issue ya Rommy itumike kumwadhibu Diamond na ndio maana nilikuuliza tatizo lako wewe ni billboards or endorsement!! Lakini ingawaje unafahamu kwamba endorsement ni ya Diamond na sio Rommy lakini ungefurahi kuona mkataba wake unavunjwa.... aaaaaaargh!!!

But all in all inachekesha kuona unahoji kauli ya Sallam na 12K ina uthibitisho gani wakati kitambo sana nimekuuliza nini kinakufanya uone maelezo ya Sallam ni uongo na nini kinakufanya uone maelezo ya Debby ndiyo sahihi kwa 100% na yanapaswa kuaminiwa beyond reasonable doubt!!! Hata hivyo hadi sasa hujanipa hilo jibu!
 
Hahahaaaaa
Lara 1 nafahamu kinachowanyima usingizi waliokutuma..


Hahahaaaa1 Mi mbona nawafollow wote Insta kuanzia Dai, madancer wake, I AM A FAN kama nilivokwambia so mipicha hii naiona daily tu. Mpaka Kifesi namfollow mdogo wangu nampa like za kutoshaa, harmonise, yule demu msomi mkata viunoo wooote. LIKE I SAID I RESPECT THE HUSTLE

ILA KESI HII YA UBAKAJI, UNYANYASAJI WA KIJINSIA NOT RIGHT FOR VODACOM BRAND KWA KWELI. NOT RIGHT KABISAAAAAA. VODA MMLIWALAMBISHA MAVI.

NYIE KAMA MIMI TU WE ALL BELONG TO THE HOOD. CORPORATE TUWAACHIE KINA JOTI. Ama sivo ndo hayo uko kwenye bango la watu unaenda kubaka. Halifichiki pembe la ngombe.
 

Hapa hamna mahakama wala judge kuna PUBLIC IMAGE NA PUBLIC OPINION.

Anachofanya DAI NA WAKE ZAKE NI HAKI YAKE KABISAAAA! WACHAAAAAAA! SEMA HAKI YA MUNGU! Etiiiiiiii! Nilikuwa sijuiiiii. Katiba ya wapi hiooo? Au ndo katiba mpya ya wanainchi ishatoka sina habari ndo inasema haya.

Muraaa mbona leo umepinipa rahaaa, kwa hio mwendo CHARAZAAAA BAKORAAAAAA HIO MWANAMKE ITULIE. Wachaaaaa! Haya bwanaa.
 
Hivi wewe lara1 muuza wake za watu, ukipata diri tukuharibie na wewe kisa unatabia ambazo hazivutii watu, wao wanaimage gani kwa jamii, wema huyuhuyu irresponsible girl ndiyo akashitaki, ubabe wake hayati kanumba aliwahi kumfunga kwa ufedhuli mbona wema naye maarufu km maovu ya diamond makubwa wema hawamwoni..
 
Msaghaane lara1, wacha mapenzi ya watu ni upofu, mpaka mama chacha araramike najua hawezi fanya jambo km maana mkofi ni upendo wake.
 
Haya nisaidie wewe sasa... source ya hiyo habari ni hiyo blog; au? Kama ni hiyo blog; adress ya hiyo blog ni ipi na mwandishi wa habari ni nani?
 

Mapovu yanakutoka sana kuona kijana anafanikiwa? Ubakaji wote huo unaofanywa hata na viongoz wa din hujausema na hunahabar na wabakaj hao
 
Sasa kama ulijua mimi sio Vodacom kwanini basi ulikuwa ung'ang'ania kwamba hiyo issue mie siifahamu?!
 
Sio tu Voda kapewa endorsement dstv,totmato sijui nn,coca cola we endelea kupiga domo mwenzako anakula shavu na hao waliokua abused hawana hata habari ww povu linakutoka tu
Bifu lake yeye ni Voda kv walimtosa Mange halafu hapa anadanganya eti Mange alitaka pesa ndefu!
 

MTUHUMIWA INOCENT KWANINI AKIMBIE KESI? MTUHUMIWA AKIKIMBIA KESI SIO MTUHUMIWA TENA NI FUGITIVE. Kwanza Debby hana tu hela angemuwekea bond ataefanikisha kupatikana kwake 500,000 tu mbona fastaaaa. Mimi sijalazimisha chochote NDO MAANA NIKAKUULIZA MBONA HAENDI KUJISAFISHA HUKO SWEEDEN AKASAFISHA NA MABANGO YA WATU? HAHAHAAAAAAAAAAAA! unazunguka mbuyu tu.

Billbord ni result ya endorsement, huwezi kuwa kwenye billboard bila kuwepo valid endorsement. Hata kama ni ya Dai ambae hafai pia ila Dai kasababisha kuichafua voda kwa mshirika wake aliemuweka kwenye billboard kuwa na CRIMINAL CASE NA FUGITIVE MWENYE VALID RB. KAWEKWA WANTED. Tena nchi zilizoendlea kama Sweeden. SIfurahi kuona mkata ukivunjwa it is tragedy and it may take another 30 to 50yrs kwa mtanzania mwingine from nothing kama mimi kufika level za Dai. Ila accusations dhidi yake sio ndogo. MIMI NATAKA AWAJIBIKE TU KWA MISTAKES ZAKE. HATA AKIRI NA KUOMBA MSAMAHA KWAMBA ALICHOWAFANYIA WANAWAKE SIO SAHIHI NA KAJUTA NA JAMII ISIIGE MFANO WAKE. ATOE TU PRESS RELEASE. AWAOMBE MSAMAHA WAHUSIKA. JUST 10 MINUTES. Hio criminal case sasa sijui kama msamaha utakuwa good enough.

Mimi namuona Sallam muongo kwanini HAWAKUSEMA WAO KWANZA KUWA ROMMY KAKUMBWA NA TUKIO JAMANI NDUGU WABONGO, HUYU MTU ANATAKA 12K, NDO KISA CHA YOTE. ILA BAADA YA YULE BINTI KUSEMA NDIO MENEJA KAKURUPUKA NA HIO EXPLANATION TENA BILA WRITEN PROVE HATA CHAT TU HUYO DEBBY AKAOMBA 12 K. APART FROM MENEJA HAKUNA USHAHIDI WOWOTE. ANAEWAHI POLISI NDO MWENYE HAKI SIKU ZOTE, JE DEBBY ANGENYAMAZA WANGESEMA YA 12 K? HAHAHAHAA
 
Bifu lake yeye ni Voda kv walimtosa Mange halafu hapa anadanganya eti Mange alitaka pesa ndefu!

Mange alitaka aongezewe pesa baada ya mkataba kuisha ndo AIM GROUP wakawashauri voda kwa google analytics statistics blog ya Mange imeshuka na kumuongezea sio sahihi. Mange akitikisa kiberiti ikawa ndo basi tena. Kwanza Mange kuwapa Voda exclusivity kwenye blog lile alikurupukaa.
 
Kwa hili Kiba tutamuonea hapa tatizo ni Diamond mwenyewe kumwaga Wema kipenzi cha Mange na Mange kumwagwa na Vodacom!
Na Mange ndo alimuuzia drugs Rommy na kumshikia miguu abake mpaka ridhike, kisha akamtorosha Sweeden na kumhifadhi LA baada ya Debby kuja juu.
 
Bifu lake yeye ni Voda kv walimtosa Mange halafu hapa anadanganya eti Mange alitaka pesa ndefu!
Hivi yule demu msomi mkata viuono wa mondy anatumia jina gan insta c ndo anasoma c.b.e au
 
HIVI MWANAMKE AKIACHWA AMENYANYWASWA.... UMEANDIKA MANENO MENGI SIJAONA MANYANYASO YOYOTE!!

ALAFU KAMA UNACHUKI BANAFSI VILE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…