Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Haya nisaidie wewe sasa... source ya hiyo habari ni hiyo blog; au? Kama ni hiyo blog; adress ya hiyo blog ni ipi na mwandishi wa habari ni nani?
Lemme be honest hapa... huyu @lara1 zamani.... anyway, lara; trust me siongei hili kwa unafiki zamani mi nilikuwa nadhani we ni mjanja kweli kweli lakini leo... dah... au kv umebananishwa ndo unafikia kuokoteza hutu tuji-blog?!Lala1ebu tumia akili kidogo hivi unatembea na newz za udaku..! Story nyingine wema na diamond zilikuwa zinaundwa kupata kick wee kisimii kinakunyanyuka na mihemko juu..! Wache wafu wafe wawazike wafu wao...
Ulikuwa huifahamu kasome tu post zako za nyuma, baada ya kuifahamu ndo umekuja na hoja sasa. Haya basi tufanye ulikuwa unaifahamu toka mwaka juzi. Hahahahaaaaa! AS IF IT CHANGES ANYTHING. Huh!Sasa kama ulijua mimi sio Vodacom kwanini basi ulikuwa ung'ang'ania kwamba hiyo issue mie siifahamu?!
SASA KUACHWA KUNAHUSIKA VIPI NA VODA, UNYANYASAJI WA WANAWAKE NA UBAKAJI? Labda tuanzie hapa.
Lemme be honest hapa... huyu @lara1 zamani.... anyway, lara; trust me siongei hili kwa unafiki zamani mi nilikuwa nadhani we ni mjanja kweli kweli lakini leo... dah... au kv umebananishwa ndo unafikia kuokoteza hutu tuji-blog?!
Mkuu KATASAN'KAZA, kaone ka-blog alikotuwekea lara 1 kama uthibitisho kwamba Diamond alikuwa anadhalilisha Wema... hapa haka: Unique Entertainment Blog
HIYO YA DIAMOND KUBAKA MPYA! NAISIKIA KWAKO....
Kama ni yule DJ wake! sasa diamond kaingiaje hapo..?!
kumbuka sweden gender equality ipo katika hali ya juu sana .. i mean hadi vyoo ni wanaume na wanawake hawatenganishi ..." i saw this in my Uni"
huyo bint anayedai kabakwa angeshitaki within a sec. huyo jamaa angekamatwa hata airport asingefika....
ninachoona kwenye thread yako ni chuki binafsi tu !
Atatulia ana moto ameenda ulaya akafakamia mambo ya haki ya wanawake kakurupuka kutuleta hapa, naguess atakuwa kwenye Scandinavian countries hawa jamaa ndiyo wanaendekeza ujinga huu, ila possible labda anaandaa paper, wenda alipata kiskoraship cha mambo ya akina mama(natania) ila karibu na ukweli...Lemme be honest hapa... huyu @lara1 zamani.... anyway, lara; trust me siongei hili kwa unafiki zamani mi nilikuwa nadhani we ni mjanja kweli kweli lakini leo... dah... au kv umebananishwa ndo unafikia kuokoteza hutu tuji-blog?!
Mkuu KATASAN'KAZA, kaone ka-blog alikotuwekea lara 1 kama uthibitisho kwamba Diamond alikuwa anadhalilisha Wema... hapa haka: Unique Entertainment Blog
Huhuuuuuuuu huku mambo ni motroooooo.
Naona lara 1 unashambuliwa kwelikweli!
Na unajiweza,sio kwa ligi hii!
KAKA MALIZA BANDIKO, KAMA UNAONA UVUVI PLEASE USIKURUPUKE KUCHANGIA, MALIZIA BANDIKO MDOGO MDOGO.
GOOGLE HII STORY ROMY JONES ATUHUMIWA KUBAKA SWEEDEN ATLEAST YOU WILL GET A CLUE.
Ulaya sijaendaaa mwenzenuuuu, passport tu sinaaa. Mi wa hapa hapa uswaziii. NA HAKI ZA WANAWAKE NIMEJISOMEA TU HUMU MWENYE MITANDAO SIKU HIZI ELIMU BUREEE TU NYINGIII UKIPATA BUNDLE LA BUKU UNAELIMIKA MPAKA BAAASI.Atatulia ana moto ameenda ulaya akafakamia mambo ya haki ya wanawake kakurupuka kutuleta hapa, naguess atakuwa kwenye Scandinavian countries hawa jamaa ndiyo wanaendekeza ujinga huu, ila possible labda anaandaa paper, wenda alipata kiskoraship cha mambo ya akina mama(natania) ila karibu na ukweli...
Kuna watu ukiangalia mtu anavyojenga hoja unaelewa yuko shule, mbinu ya kuishi kiujanja ujanja ameishiwa pesa za rushwa kaondoka nazo mkwere! Sasa hivi hakuna kuonga kizembe amebadiri strategy mwenziwe wema ccm walimstukia sasa lara1 anajijenga ila enzi Ng'osha ngumi hii.
sina haja ya ku google sheria za sweden nazifahamu vizuri na najua wanavyochukulia hizi issue ...
tuseme kweli amebaka swali langu ni ..
sasa kwanini unamuingiza diamond ?! nadhani kichwa cha habari ingekuwa kuhusu rommy! yaani abake mwengine .. mashataka yawe kwa mwengine..... ndio maana nasema unachuki zako binafsi na huyu jamaa
Mtu kabakwa Sweden? Kwa ufupi nchi za Scandinavia hata msichana akihongwa hela ni ubakaji, na Kwa bongo ni mademu wangapi wanataka kugongwa na mastaa, then wanajishebedua ili ionekane wamebakwa, Kwa ufupi hii issue ya kubakwa ni upumbavu.
Kama wewe ni mfuatiliaji, Yule dogo Justin Bieber aliondoka stejini na hakutumbuiza kabisa baada ya visichana vya kinorway vilipotaka kumgusa, na ujue sheria za Norway iwapo dogo angejipendekeza japo kukashika kamoja tu na kukavuta stagini au kushuka na kukashika japo matiti au kucheza nako basi angekuwa mbakaji.
Hivyo Kwa hilo suala kwetu Kwa Diamond eti mbakaji au women abuser is irrelevant, tafuta kitu kingine!
mleta mada hajielewi... ana leta speculation kutoka kwenye vi blog bila kujua politics za nchi husika! na huyo mdada DEBORA sijui ametumia ujinga wao kutafuta cheap popularity ...
gender equality SWEDEN ipo katika hali ya juu sana... mtu hawezi akabaka tu na kukimbia asikamatwe... labda hayo madawa aliwekewa akalala usingizi siku tatu ...
pia...
bandiko lake linamuhusu DJ wa Nasibu ... lakini anamlaumu nasibu ndio mbakaji!
Team wema mnagubuIgweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
Leo nimekaa imenibidi niseme, sababu nipo kikazi as advocate of gender equality and enforcer of women rights i was waiting all this time TAMWA, TAWLA, UTU Mwanamke tu etc waongeee hii issue ila hawakuongea.
Juzi baada ya Rommy Jones, Official Dj wa Diamond kumbaka mtu huko Sweden na kumsikiliza meneja wa Dai, I was hoping even once ange apologise kwa Debora au hata kwa jamii ila ndo kwanza kamkingia kifua Rommy na Dai. That is it.
As jamii naanza kuongea naomba kina Mange Kimambi, Mrekebisha tabia nao waongeee, serious women activists tuangalie hili swala kwa jicho la 3.
History ya Diamond women abuse goes way back, and all these abuses are documented katika tabloids and anahojiwa na kukubali kafanya, even in some interviews zipo online nimezikusanya anakiri kabisaa na anaona sifa kwa unyanyasaji wake dhidi ya wanawake. The best part is internet never forgets.
Ningenyamaza but it is not okay kwa musicians na vijana wadogo zetu kama Dai kuona it is okay kunyanyasa wanawake watakavyo, well it is not. Mwanamke lazima aheshimiwe.
Diamond alimnyanyasa sanaaa, sanaaa, sanaa Amisuu Maliki, yule Miss Ilala, shombe shombe. Alimsingizia katembea nae gazetini. Yule binti alihangaika kujisafisha sema ndo hivo mtu maarufu keshaamua kukuchafua utafanyaje?
Kwa watu wa asili ya kiarabu alimuharibia maisha mpaka yule binti kakimbia nchi, sijui yupo China sijui yuko wapi na kisaikolojia ashapotea. He got away with it sababu yule binti kama wengine hakuwa kasoma, wala hakuwa na nguvu ya kupambana na Diamond.
Akaja kumnyanyasa sanaa sanaa Wema Sepetu. Alikuwa anampa vipondo heavy mara kwa mara. Shame on you Wema kwa kuwa so blind in love kwa kushindwa kureport na kuona sawa tu vipondo ulivyoshushiwa. Na alikiri kwenye Amani (gazeti), picha ipo, makala ipo kuwa ndio anampiga Wema sanaaa, kwa sababu ni jeuri. Watu wakaona sawaaa tu, si kataka mwenyewe.
Interviews nyingi sanaa amekuwa anatoa verbal abuse dhidi ya ma ex wake, live on air. Anatukana wadada hakuna mfanooo. Sababu ma ex wake ndo hivo tena wadogo, shule ya wasiwasi wanashindwa kupambana nae, wanabakia victims tu. Shame on you Jokate kwa kushindwa kuchukua lawsuit againts hii woman abuser. Hizi interview zipo online na huyu mtu hajawajibishwa mpaka kesho.
Kwa wenzetu mtu mwenywe historia ya Diamond hafai kuwa endrosed na kampuni yoyote hata ya mfukoni. Shame shame shame on you Voda and RedGold kwa kumpa huyu mtu endorsement. Vodacom aliesapoti hii ishu ni jipu na atumbuliwe. Tigo wamechukua Joti very clean, hana harufu ya women abuse charges. Shame shame shame on you Voda. Line yangu nishaiflush chooni i cant roll with a company yenye women abuser as their brand ambassador. Hapa ni Tigo baby mwanzo mwisho.
Chris Brown alivompiga Rihana was stripped all his endorsement deals. He has spent 7 years apoligising, giving interviews, being on the front bench ku advocate alichofanya sio sahihi na kuelimisha jamii kwamba ule sio muelekeo na till date hana endorsement ya maana na some countries kama Australia amenyimwa visa entry for something he did 7 years ago.
I call all the women verbally or physically abused by Diamond to speak up even in their Instagram pages, msiogope backlash, we have to break the cycle of silence. Sababu wote mko hai find the courage to do so.
Hata waliokuwa abused na billy cosby it took them 20 years even more kuongea the minute wameongea he lost all his endorsements and was stripped all his honorary degrees and tittles sababu he is a noble citizen.
Goodluck Voda kwa kuwa na brand ambassador mwenye Dj mbakaji na alishawahi kumpiga Gf mpaka mimba ikatoka na aka-confess kwenye interview. What a brand image!
NA ILE MIBANGO YENU YENYE DJ MBAKAJI MWENYE RB VEPEEEEEEEEE! MFANYE MUITOE MAPEMAAAA HIZI HABARI ZIKO MBIONI KWENDA MEDIA MediaTakeOut.com 2014 ULE MBANGO UKIFIKA HUKU NA RB YA DEBBY NA HIVI HAWAJAMALIZANA NAE DOLLA ZAKE HAJALIPWA MJUE NI ITAKUWA GLOBAL SCANDAL NCHI KIBAO ONE BRAND!
HABARI ZIKO NJIANI KUELEKEA HUKO NA BLOG ZINGINE GOBAL FANYENI MTOE MIBANGO HIO. OOOOHHH!
ITAKUWA MAJIPU MAWILI;
1. KUKURUPUKA NA
2. KUTOCHUKUA HATUA MADHUBUTI KWA WAKATI
Ngoja nilale kwanza maana nina wenge la usingizi.HAHAHAAAAA ! TATIZO WATU WANANI ATTACK ME WAKATI MIMI KWENYE HILI SAGA LA VODA SINA EFFECT YOYOTE. HATA NIKJULIKANA SIJUI AJE STILL NILIOSEMA NI KAMA NIMEYARUDIA TU, MIMI SIO SOURCE, NIMEPIGA DEBE TU, YAPO VALID SABABU SOURCE ZOTE ZIPO NA VYOTE VIKO DOCUMENTED HAINA HATA UBISHI.