HATA KAMA ALIFURAHI KIJAMII NI KITU KIBAYA SANAA KUMPIGA MWANAMKE NA KITENDO CHA KUKEMEWA KABISAAA. Hata Wakurya japo ilikuwa ni gesture ya kuonesha upendo kwa wake zao ila asasi ziliwajia juu HAWAJIVUNII HILI HATA CHEMBE SAHIVI. NI JAMBO BAYA SANAA SANAA KWA JAMII.Source yake kwamba Wema kanyanyaswa ni hii hapa: Unique Entertainment Blog: WEMA SEPETU ADUNDWA KAMA MWIZI NA DIAMOND
Maajabu ya Musa, hata kama ingekuwa ni kweli, according to hako ka-blog Wema mwenyewe alikuwa anajisikia rahaa akipewa kichapo!!!!
Hujaunderstand kitu...Kumfananisha mwenzio na mnyama sio tusi hilo? Tena ni DHAMBI KUBWA SANAA unamkosoa Mungu. Kwani wakati anamuumba ninadamu hakujua hao Gorilla wapo? KAFANYE KITUBIO.
hii ni vita ya wanawake na unyanyasaji, but the way i see ni wanawake wachache wenye ujasiri,,, songa mbele dada
Aliyeshutumiwa kubaka ni Romy Jones, umemtaja mara moja tu paragraph ya kwanza ukaanza kuonesha chuki binafsi kwa Dai. chuki ni ugonjwa mmbaya sana, kama penzi tu. chuki pia inakufanya blind na zezeta. tafuta wimbo wa joti 'mtoto mbona husomeki' uone asivyoheshim wanawake hasa watoto. tafuta video ya 'la kuchumpa' ya god zila af mfuatilie joti wako. pole sana kwa chuki kali moyoni. Mungu akusaidie upate nafuu upesi. chuki ni maradhi mabaya sana! kaandike tena ila this time mlenge Romy Jones na usitoe mfano wa joti.Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
Leo nimekaa imenibidi niseme, sababu nipo kikazi as advocate of gender equality and enforcer of women rights i was waiting all this time TAMWA, TAWLA, UTU Mwanamke tu etc waongeee hii issue ila hawakuongea.
Juzi baada ya Rommy Jones, Official Dj wa Diamond kumbaka mtu huko Sweden na kumsikiliza meneja wa Dai, I was hoping even once ange apologise kwa Debora au hata kwa jamii ila ndo kwanza kamkingia kifua Rommy na Dai. That is it.
As jamii naanza kuongea naomba kina Mange Kimambi, Mrekebisha tabia nao waongeee, serious women activists tuangalie hili swala kwa jicho la 3.
History ya Diamond women abuse goes way back, and all these abuses are documented katika tabloids and anahojiwa na kukubali kafanya, even in some interviews zipo online nimezikusanya anakiri kabisaa na anaona sifa kwa unyanyasaji wake dhidi ya wanawake. The best part is internet never forgets.
Ningenyamaza but it is not okay kwa musicians na vijana wadogo zetu kama Dai kuona it is okay kunyanyasa wanawake watakavyo, well it is not. Mwanamke lazima aheshimiwe.
Diamond alimnyanyasa sanaaa, sanaaa, sanaa Amisuu Maliki, yule Miss Ilala, shombe shombe. Alimsingizia katembea nae gazetini. Yule binti alihangaika kujisafisha sema ndo hivo mtu maarufu keshaamua kukuchafua utafanyaje?
Kwa watu wa asili ya kiarabu alimuharibia maisha mpaka yule binti kakimbia nchi, sijui yupo China sijui yuko wapi na kisaikolojia ashapotea. He got away with it sababu yule binti kama wengine hakuwa kasoma, wala hakuwa na nguvu ya kupambana na Diamond.
Akaja kumnyanyasa sanaa sanaa Wema Sepetu. Alikuwa anampa vipondo heavy mara kwa mara. Shame on you Wema kwa kuwa so blind in love kwa kushindwa kureport na kuona sawa tu vipondo ulivyoshushiwa. Na alikiri kwenye Amani (gazeti), picha ipo, makala ipo kuwa ndio anampiga Wema sanaaa, kwa sababu ni jeuri. Watu wakaona sawaaa tu, si kataka mwenyewe.
Interviews nyingi sanaa amekuwa anatoa verbal abuse dhidi ya ma ex wake, live on air. Anatukana wadada hakuna mfanooo. Sababu ma ex wake ndo hivo tena wadogo, shule ya wasiwasi wanashindwa kupambana nae, wanabakia victims tu. Shame on you Jokate kwa kushindwa kuchukua lawsuit againts hii woman abuser. Hizi interview zipo online na huyu mtu hajawajibishwa mpaka kesho.
Kwa wenzetu mtu mwenywe historia ya Diamond hafai kuwa endrosed na kampuni yoyote hata ya mfukoni. Shame shame shame on you Voda and RedGold kwa kumpa huyu mtu endorsement. Vodacom aliesapoti hii ishu ni jipu na atumbuliwe. Tigo wamechukua Joti very clean, hana harufu ya women abuse charges. Shame shame shame on you Voda. Line yangu nishaiflush chooni i cant roll with a company yenye women abuser as their brand ambassador. Hapa ni Tigo baby mwanzo mwisho.
Chris Brown alivompiga Rihana was stripped all his endorsement deals. He has spent 7 years apoligising, giving interviews, being on the front bench ku advocate alichofanya sio sahihi na kuelimisha jamii kwamba ule sio muelekeo na till date hana endorsement ya maana na some countries kama Australia amenyimwa visa entry for something he did 7 years ago.
I call all the women verbally or physically abused by Diamond to speak up even in their Instagram pages, msiogope backlash, we have to break the cycle of silence. Sababu wote mko hai find the courage to do so.
Hata waliokuwa abused na billy cosby it took them 20 years even more kuongea the minute wameongea he lost all his endorsements and was stripped all his honorary degrees and tittles sababu he is a noble citizen.
Goodluck Voda kwa kuwa na brand ambassador mwenye Dj mbakaji na alishawahi kumpiga Gf mpaka mimba ikatoka na aka-confess kwenye interview. What a brand image!
NA ILE MIBANGO YENU YENYE DJ MBAKAJI MWENYE RB VEPEEEEEEEEE! MFANYE MUITOE MAPEMAAAA HIZI HABARI ZIKO MBIONI KWENDA MEDIA MediaTakeOut.com 2014 ULE MBANGO UKIFIKA HUKU NA RB YA DEBBY NA HIVI HAWAJAMALIZANA NAE DOLLA ZAKE HAJALIPWA MJUE NI ITAKUWA GLOBAL SCANDAL NCHI KIBAO ONE BRAND!
HABARI ZIKO NJIANI KUELEKEA HUKO NA BLOG ZINGINE GOBAL FANYENI MTOE MIBANGO HIO. OOOOHHH!
ITAKUWA MAJIPU MAWILI;
1. KUKURUPUKA NA
2. KUTOCHUKUA HATUA MADHUBUTI KWA WAKATI
Wala sijapaniki, ile umereply MAYBE POST AMBAYO INASEMA YULE MNYAMA NI MANGE. UZI WANGU HUU NAMJIBU YOYOTE SINA MIPAKA UKITAKA USIJIBIWE USI COMMENT.Hujaunderstand...
Huyo ni mimi mwenyewe nacheka
Usipende kupaniki kabla ya kujua tafsiri
Endelea kuwajibu wengine
Cna kwere na mtu
Kwani lazima kujibiwa ?Wala sijapaniki, ile umereply MAYBE POST AMBAYO INASEMA YULE MNYAMA NI MANGE. UZI WANGU HUU NAMJIBU YOYOTE SINA MIPAKA UKITAKA USIJIBIWE USI COMMENT.
Tena niongezee. Nchi kama Scandinavia (Norway, Sweden, Danmark), msichana akilewa na ktk ulevi Wake mara nyingi huwa wanakubali kwenda na wanaume, na kibaya zaidi wengi wao kama huko sweden wanakuwa na ukame na wanaume hivyo wengi unakuta kakaa hata miaka bila kupata mwanaume. Sasa ikitokea umeenda naye geto au hotel akiwa amelewa akiamka asubuhi huwa wanajifanya kustuka eti hakujua basi anajiliza liza na kukimbilia polisi kusema kabakwa! Ila kesi nyingi hizo polisi huwa wanazitupilia mbali kabisa. Hivyo Kwa wabongo mnaoenda majuu muepuke sana kuchukua demu kama kalewa, maana atakuletea shida baadaye. Hata huyo wa sweden ni mpumbavu tu atakuwa either alilewa au ni mzushi tu.mleta mada hajielewi... ana leta speculation kutoka kwenye vi blog bila kujua politics za nchi husika! na huyo mdada DEBORA sijui ametumia ujinga wao kutafuta cheap popularity ...
gender equality SWEDEN ipo katika hali ya juu sana... mtu hawezi akabaka tu na kukimbia asikamatwe... labda hayo madawa aliwekewa akalala usingizi siku tatu ...
pia...
bandiko lake linamuhusu DJ wa Nasibu ... lakini anamlaumu nasibu ndio mbakaji!
Aliyeshutumiwa kubaka ni Romy Jones, umemtaja mara moja tu paragraph ya kwanza ukaanza kuonesha chuki binafsi kwa Dai. chuki ni ugonjwa mmbaya sana, kama penzi tu. chuki pia inakufanya blind na zezeta. tafuta wimbo wa joti 'mtoto mbona husomeki' uone asivyoheshim wanawake hasa watoto. tafuta video ya 'la kuchumpa' ya god zila af mfuatilie joti wako. pole sana kwa chuki kali moyoni. Mungu akusaidie upate nafuu upesi. chuki ni maradhi mabaya sana! kaandike tena ila this time mlenge Romy Jones na usitoe mfano wa joti.
Samahani kama nimekuudhi
HAHAHAHAAAA ILA JIBU NDO USHAPATA NA UTAENDELEA KUPATA KAMA DAWA KUTWA MARA 3. Yaani mi ndo gwiji la kuchambwa humu hakuna jina sijaitwaa. Hakunaaaa.Kwani lazima kujibiwa ?
Sikuwa nahitaji jibu lako ...
I love Kapukuz
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Karibu Makapuku ForumHAHAHAHAAAA ILA JIBU NDO USHAPATA NA UTAENDELEA KUPATA KAMA DAWA KUTWA MARA 3. Yaani mi ndo gwiji la kuchambwa humu hakuna jina sijaitwaa. Hakunaaaa.
Tena niongezee. Nchi kama Scandinavia (Norway, Sweden, Danmark), msichana akilewa na ktk ulevi Wake mara nyingi huwa wanakubali kwenda na wanaume, na kibaya zaidi wengi wao kama huko sweden wanakuwa na ukame na wanaume hivyo wengi unakuta kakaa hata miaka bila kupata mwanaume. Sasa ikitokea umeenda naye geto au hotel akiwa amelewa akiamka asubuhi huwa wanajifanya kustuka eti hakujua basi anajiliza liza na kukimbilia polisi kusema kabakwa! Ila kesi nyingi hizo polisi huwa wanazitupilia mbali kabisa. Hivyo Kwa wabongo mnaoenda majuu muepuke sana kuchukua demu kama kalewa, maana atakuletea shida baadaye. Hata huyo wa sweden ni mpumbavu tu atakuwa either alilewa au ni mzushi tu.
Karibu Makapuku Forum
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nauliza tu, hivi mwanaume uliechat nae, ukamkaribisha kwako, ukimpata na kinywaji na papuchi juu hiyo kakubaka??? Mie na wewe tumesikia story hakuna aliekuepoHata angekuwa kahaba ni MWANAMKE NA ANALINDWA NA SHERIA ZA SWEEDEN NA HAKI ZA BINADAMU. WHAT ROMMY DID WAS WRONG ALL HE HAD TO DO WAS APOLOGISE AND COMPENSATE HER SIO KULETA UJANJA UJANJA NA UKANDAMIZAJI WA WANAWAKE, KUMDISCREDIT VICTIM SIO KUONDOA KESI
Tatizo jeshi langu la Makapuku ni JEURI naweza kuwaita huku halafu wakaharibu Uzi mzima sababu siku hizi hawaogopi MTU.......Santeeee, santeeeeee sanaaa! NIFIKISHIE COMMENT 700 BABA ANAKUJA IAN HUKU SITAKI AKUTE VI COMMEN 500 TU. TWENDE KAZIIIII. HAPA KAZI TUUUUU MPAKA ZIFIKE 700. PAMOJA SANAAA.
I totally agree with you. Bahati mbaya sana, ni wanawake wachache mno wanaotambua thamani yao na hivyo kuishia kunyanyaswaThe choice is theirs..to be victims or victorious.
You're living in a fantasy world my dear!! Hiyo Vodacom brand isiharibike wakati inamdhamini Mange Kimambi ambae ni mmwaga matusi na mdhalilishaji mkubwa wa wanawake wa Tanzania hii halafu ije kuharibika leo basing on lara1's campaign!!
Wewe bhana so long as ni SUPPORTER mkubwa wa Mange, Mange ambae akianza kutukana mtu anaweza kumaliza hata familia mzima hadi marehemu, leo hii unatarajia madai yako kwamba eti unatetea wanawake watu wayaone yana mantiki!!
Nimeikumbuka TAMWA ile ya mama ananileya nkya.ilikuwa sio masihara kwa majambo kama haya.
yaani hata kama mke/demu wako kama angetaka kukuharibia kwa kukuuzia kesi ya manyanyaso ya kijinsia,anaenda tamwa,na lazima uisome Namba.sio siku hizi.
Tatizo jeshi langu la Makapuku ni JEURI naweza kuwaita huku halafu wakaharibu Uzi mzima sababu siku hizi hawaogopi MTU.......