Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

Kawatukana kiaje?
Maake naona anasema kitu halisia na hajatukana mtu
 
Kwa Kwel Leo Umechemka Dada Angu!! Umesema Dai Alikuwa Akimbunda Wema! Nan Ana Ushahid? Wewe Ni Housegal Wao Au? Then Dai Kamtukana Diva! Umesahau Diva Alimjibu Palepale Hewan Kuwa Wewe Sio Type Yangu! Loh! Sasa Nan Kamdhalilisha Mwenzie? Punguza Moto Na Chuk Kwa Mond. {UMENIBOA SANA}
 
Niko free lara 1
We toa point kama ulivyonambia kuhusu we kusema kumpiga wema
We toa mifano ya usemacho
Ni bora ukaongea kwa mifano lkn sio jaziba
Maake ata kwenye kesi watataka ushahidi zaidi kuliko emotions
 
Ko sio kosa??
Mbna haulisemei kama ni kosa bali unampaisha tu na kumshauri asizae (atoe mimba)
Sababu yako nini hasa
Au shida yako ni kukwamisha maendeleo ya wa2
Kama unakemea makosa ni bora ukaona upande uliopo uko sahihi

Hapa tunaongelea ENDORSEMENTS NA USTAHIKI WA ALIEKUWA ENDORSED JE ALISTAHILI HIO NAFASI KWA MIKASHFA KASHFA YAKE NA HISTORIA YAKE YA UNYANYASAJI WA WANAWAKE?

Mimi kama mimi naweza kuwa na makosa 100,000 nituhumuni, nihukumuniii ILA VODA WALIKURUPUKA NA NDO KIMEKIWASHAA KAMPUNI KAMA ILE SIO YA KUFANYA BLANDER ILE. Wait till email nilimfowadia LINDA IKEJI WA Welcome to Linda Ikeji's Blog IWE PUBLISHED. Kanishukuru for the GIST sio kidogo. Sasa namtumia na bango la Rommy na kumwambia Voda wamegoma kulitoa. Mijipu ya voda tz ikianza kutumbuliwa mjue tu ni mimi.

SALAMA YAO VODA WACHUKUE HATUA WAKATI MAMBO BADO LOW KEY, YAKISHAKUWA GLOBAL NA KU TREND TWITTER, FACEBOOK ITAKUWA MAKOSA MA 2, KWANZA KUKURUPUKA, PILI KUJITIA NUNDA KWA KUTOKUCHUKUA HATUA KWA WAKATI NA KAZI WATU WATAPOTEZA HILI LILISHAWAKA HAPA.
 
Niko free lara 1
We toa point kama ulivyonambia kuhusu we kusema kumpiga wema
We toa mifano ya usemacho
Ni bora ukaongea kwa mifano lkn sio jaziba
Maake ata kwenye kesi watataka ushahidi zaidi kuliko emotions

ALL YO HAVE TO DO IS GOOGLE! Haina haja hata ya mifano, yanakujia magazeti mpaka utafurahi. interviews ndo usiseme. mbona haya nayoongea ni marudio tu hamna jipya
 

ULIPOKOSEA KUMJUMUISHA JOYCE KIRIA HUYO WA KUTUKANA WANAWAKE WENZIE INST KWA MATUSI YA NGUONI SIO SIRI NAMDHARAU SANA ANAELIMISHA JAMII IPI HUYU IKIWA YEYE HAWEZI KUJISIMAMIA?
 
mgombea uvccm2017

LAZIMA TUIJENGE JAMII YETU. UKIONA MPKA MIMI THE WORST OF THE WORST NIMEONGEA UJUE HALI YA BABA WA TAIFA NI MBAYA SANAAAA. Given my history sikutakiwa kuona tatizo kabisaaa ila nimeona ndo mjue ilipofika YATOSHAAAAA. Hatuwezi kuendelea hiviiii.

STOP THE VIOLENCE AGAINST WOMEN
 
Nadhani Debora mpiga dili tu
 
Ila kumbuka lara makosa yanayoongelewa ni yale ya kumpeleka mtu mahakamani.na sio kumpeleka tu kuna kushinda pia.je wema alimpeleka mahakamani na akashinda??
 
ALL YO HAVE TO DO IS GOOGLE! Haina haja hata ya mifano, yanakujia magazeti mpaka utafurahi. interviews ndo usiseme. mbona haya nayoongea ni marudio tu hamna jipya
Nipe site niangalie kama ulivyosema hyo ya kumpiga Wema
 
Nadhani Debora mpiga dili tu

Hata angekuwa kahaba ni MWANAMKE NA ANALINDWA NA SHERIA ZA SWEEDEN NA HAKI ZA BINADAMU. WHAT ROMMY DID WAS WRONG ALL HE HAD TO DO WAS APOLOGISE AND COMPENSATE HER SIO KULETA UJANJA UJANJA NA UKANDAMIZAJI WA WANAWAKE, KUMDISCREDIT VICTIM SIO KUONDOA KESI
 
Kaka msamehe aisee duh hayo maneno yote utamuua, in fact this woman looks like one of the victim either indirectly or directly.
Unenichekesha tu hapa; icon unclean stupid girls in US.
 
Maana mi najua mtu atazusha vitu vyovyote ili apate umaharufu au hella
Sasa kwa akili zako tu za kikawaida kama we kweli ni mzima wa akili na adi ukaona uuweke uzi huu umu ndani kwa MAGREAT THINKERS
kweli Rommy akose mschana mpaka ambake mtu

Najua jibu lako litaonesha akili yako
 
Ndio umeandika nini sasa?! Mwanamke ataheshimika kama anajisheshimu mwenyewe na anaweza kusimama mwenyewe lakini kama kila siku mnategemea bidhaa mliyzopewa kama kitegauchumi basi mjiandae kudhalilika tu.

Hao wadada uliowataja walijidhalilisha wenyewe kwa kupenda mteremko. Wanataka maisha mazuri wakati hawataki kufanya kazi..

Dogo Diamond wanafuata pesa yake na wala sio yeye so pesa inawanyanyasa!
 
Na it seems you are a true biliever of UDAKU.yaani unaamini udaku leo????
Fatilia we kama wewe maake udaku wanaandika chochote ili watu wanunue ko haijalishi ni cha ukweli au uongo
 

Sikiliza interview ya meneja wa Dimond afu soma upya ulichoandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…