Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

Na it seems you are a true biliever of UDAKU.yaani unaamini udaku leo????
Fatilia we kama wewe maake udaku wanaandika chochote ili watu wanunue ko haijalishi ni cha ukweli au uongo
Mimi ni LOGICAL THINKER. NDO MAANA HATA HAO UDAKU WANAANDIKA FLANI ALIPOTAFUTWA KUTOA TAMKO DHIDI YA HILI HAKUPATIKANA, AU ALIKANUSHA AU ALITHIBITISHA. The overall point ni mtu KU TESTIFY dhidi ya tuhuma alizotuhumiwa.
 
heshima ni kitu cha bure, na kama mwanamke amekosea mpe live na mwache kwani hata yeye ana haki yakumuacha mwanaume, si kumpiga ila kama anazijua jitete. Cha ajabu watz ni wavivu kufikiri akili zao zimelala hata kama ukipiga, ukiwatukana wanakupigia makofi, kama wangekua na akili wasingenunua kazi zake na wasingeingia kwenye shoo zake, lakini ndio hivyo, walimbiwa ni wavivu wakufiria,malofa,wanaume wabebe mimba kama wanawake,wavivu,wezi,wapumbavu na bado wanawashangilia wanaowatukana, usijisumbue na hawa watu, kama unanufaika achana nao.tafuta namna ya kutajirika juu ya migongo yao waache walale
 
ULIPOKOSEA KUMJUMUISHA JOYCE KIRIA HUYO WA KUTUKANA WANAWAKE WENZIE INST KWA MATUSI YA NGUONI SIO SIRI NAMDHARAU SANA ANAELIMISHA JAMII IPI HUYU IKIWA YEYE HAWEZI KUJISIMAMIA?

Joyce ana TV TALK SHOW, ana fun base kubwa, ni mtu muhimu sanaa kwenye juhudi za kumkomboa mwanamke Tanzania. Mimi nalenga hii talk show, what she does behind yeye na Mungu wake.
 
Joyce ana TV TALK SHOW, ana fun base kubwa, ni mtu muhimu sanaa kwenye juhudi za kumkomboa mwanamke Tanzania. Mimi nalenga hii talk show, what she does behind yeye na Mungu wake.


hana tofauti na unaye muhukumu ushajichanganya tayar kumbe inshu ni kwa kuwa mzee wa wasafi....
 
lara 1 imezungumza Kwa uwazi ambao mabinti wengi hawawezi kufanya hata kujaribu....! Inasikitisha sijui itaisha lini.....!
 
Sababu amezungumzia kitu ambacho wanaume tunakifanya tukiona Ni sahihi....!???
Siku ndugu yake akibakwa na kuliwa Tigo ndo ataona ni useful, na siku mwanae akipta BF anae mtwangaaa na kumtukana kwenye media ataona ni VERY USEFUL.
Waswahili husemaaa AISIFIAE MVUA IMEMNYEAAAA. Huyu bado mvua haijamnyea muache tu. Acha kupiga mayowe mwache ayaone mwenyewe.
 
Hay mambo yanaumiza balaa kwenye kumegewa.....!
 
Kati Ya Mada Za Lara Za Kipumbavu Hii Naona Inaongoza. Hao Wanawake Wana Wema Upi? Kwa Nini Watetewe Sana? Tunajuaje Hao Wanawake Ni Wasumbufu Kiasi Gani? Mwanaume Kikweli Ni Ngumu Kushindana Na Mwanamke Kwa Maneno, Hata Matendo Ndio Maana Huamua Kupiga. Si Mnasema Anything A Man Can Do A Woman Can Do It Better? Wapigane. Au Nao Wabake. Ila Sitegemei Mwanamke Amtetee Mwanaume.
 

KUBAKWA KABAKWA, POLISI KAENDA, NA HOSPITAL KAENDA IT IS ENOUGH FOR VODA TO TAKE ACTION. SASA WAKICHUNA ISHU MDOGO MDOGO ITAANZA KUSAMBAA GLOBAL BLOGS, TUONE NA INTERNATIONAL VIEW ZIPOJE JUU YA GLOBAL MULTINATIONAL KAMA VODA KUMUENDORSE MTU MWENYE KASHFA HIZI NDO ORGANISATION CULTURE YAO AU? ITAFAHAMIAKA SOON. I can wait to see the billboard on TMZ and Media Take out.
 




hahahahaaha angebaka yeye yaelekea saiv ungekuwa kwa mama samia suluhu ikulu kushtaki we mkali balaa.
 

MIMI SIANDIKI KITU ILI KUSIFIWA, KAMA NATAKA SIFA NITAANDIKA STORY MPAKA HELA NAPEWAAA, KAMA KUWABOA NITAANDIKA MADA ZA KUDISS WANAUME MNATOKA POVU KILA TUNDU LA MWILI. HUMU NISHASIFIWA SANAA, NISHATUKANWA SANAA, NISHAFANYWA KILA KITU SIJUI NINI BADO HUMU JF, MBAYA MIMI, MALAYA MIMI, SHANGINGI MIMI, MWENYE AKILI MIMI, SMART MIMI, VOTE VISHASEMWA HUMU.

SO MY DEAR SIKU DUNIA IKIKUFANYA VIBAYA NITAKUJA HUMU JF KUPOINT OUT FAIR AND SQUEARE LABDA NISIJUE. ILI NIKIJUA NA NIKIONA SIO SAHIHI NITAONGEAAA. BACKLASH NISHAZOEAAA.
 


we pambambana nea hadi mwisho tumekupa baraka zote
 
hahahahaaha angebaka yeye yaelekea saiv ungekuwa kwa mama samia suluhu ikulu kushtaki we mkali balaa.

Hapana hii ishu ya Romy kubaka mnaichukulia juuu juu ila mimi inanigusa sanaa. Yule Debora hasemi vyoteeee, amesema robo tu in public. Kuna mdada mimi namjua back in the days like 2012, 2013 hivi aliwahi sema aliwekewa madawa na kuliwa kiboga na huo huyo muhusikaa. Sabbau dada mwingi hatukumchukulia serious. Debby sio mjinga kaenda polisi. Jiulize kama kabakwa mbele tu angepiga mikelele yote hio ya nini? KUNA VITU ANAFICHA IN PUBLIC . Yule dada kaniambia umeniaminiiiiii? Sema sahivi kaolewa na amemuachia Mungu ila mimi Voda nitazaa nao mapacha mpaka wachukue hatua. Ikishindikana nchini natoka nje si PC tu na bundle? Sasa.

Sasa tukikaa kimya dada zetu, majamaa, wanetu, future wake zenu WATAISHAAA, itabakia hamna mtu mwenye linda, anawekewa dawa kwisha kazi. VODA WALIBUGI WAKIMUWAJIBISHA ATAACHA HUO UPUUZI NA JAMII ITAKUWA IMESAIDIWA. Kumuacha mtuhumiwa at large ni very RISKY.
 

sasa lara 1 kumbe ni mara ya pili kwa nn karuhusu hayo mambo wakat anajua vitendo vyake? na kwa nn amfuatilie na anakubali miadi ya mtu mbaya? kuna haja na yy kuchunguzwa.

sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…