Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

sasa lara 1 kumbe ni mala ya pili kwa nn karuhusu hayo mambo wakat anajua vitendo vyake? na kwa nn amfuatilie na anakubali miadi ya mtu mbaya? kuna haja na yy kuchunguzwa. Sasa

Watu wa 2 TOFAUTIII. Huyu wa kwanza binti tu wa mjini. Debby wa 2. NA TUKISEMA JAMII IUNGANE WALIOFANYIWA VITENDO HIVO NA HUYO MUHUSIKA KUNA UWEZEKANO MKUBWA SANAAA WAKATOKA WANAFUNZI, MABINTI WA MJINI HAWA, NA WASICHANA WENGI SANAAAA. Ukute hio ni tabia yake sema victim wake wanakuwa watu asiojielewa ila huyu wa mwisho kukaa na wazungu kaamua kuwahi mbele ya sheria.

HIVI HUJIULIZI KAFANYWA NINI MPAKA MTU MZIMA KAMA YULE AKASHTAKI ITAKUWA AMECHUKULIWA KITU CHAKE CHA THAMANI SANAAAA, KIMEMUUMA SANAAA. JIONGEZE KITU GANI HIKO CHA THAMANI MTU MZIMA WEWE. NA KIBAYA COMENSATION WAMEMNYIMA PIA Hahahaaa! Not Right kwa kweli.
 



mi simuamini sana huyu mdada mana wanakwambia hao wanajuana huenda jamaa hakuacha hela ya mana na shughuli yake ni ipi huyo mdada kule ng'ambo?
 
Mtu kabakwa Sweden? Kwa ufupi nchi za Scandinavia hata msichana akihongwa hela ni ubakaji, na Kwa bongo ni mademu wangapi wanataka kugongwa na mastaa, then wanajishebedua ili ionekane wamebakwa, Kwa ufupi hii issue ya kubakwa ni upumbavu.

Kama wewe ni mfuatiliaji, Yule dogo Justin Bieber aliondoka stejini na hakutumbuiza kabisa baada ya visichana vya kinorway vilipotaka kumgusa, na ujue sheria za Norway iwapo dogo angejipendekeza japo kukashika kamoja tu na kukavuta stagini au kushuka na kukashika japo matiti au kucheza nako basi angekuwa mbakaji.

Hivyo Kwa hilo suala kwetu Kwa Diamond eti mbakaji au women abuser is irrelevant, tafuta kitu kingine!
 
Wanawake nao wakome. Mtu mnajua kabisa ni mnyanyasaji still mnajipeleka kimbelembele. lara 1 jitihada zako zitapingwa na wengi kwasababu ni wachache sana hasa wanaume wanaoona kama huo ni udhalishaji.
Dai leo akimuacha mama tee akarudi kwa wema am sure 200% hachomoi..atasahau kabisa kama alidhalilishwa! Dai ni msanii, na hizo kick za mapenzi anazipenda maana zinamsaidia pia kujitangaza.
 
Life of a woman begins at 30 and ends at 40
Why do you like to carry people's bussness on your head??
Utakufa siku si zako, fanya yako, waachie wenyewe.

Peoples business is not your business until it is your business. Ngoja nikupe kisa cha nyoka na banda.

Nyoka alikuwa kila siku anakula mayai ya kuku, kuku akawaambia mbuzi, ngombe na kondoo jamani nisaidieni nyok ananimalizia mayai yangu. Wakamtimua kuwa that is not their business ni kati ya nyoka na wewe. Kuku akakosa msaada akabakia helpless.

Siku mama wa hio nyumba kaingia bandani kuchukua mayai, nyoka kamgonga, mama akalzwa. Akaanza kuchinjwa kupeleka supu. Mama hakupona, akachinjwa kondoo na mbuzi, kusaidia nyama za supu na mtori wa mgonjwa.

Siku ya siku yule mama akafariki, ngombe akaja kufuatwa akachinjwe ndo msiba tena huooo nyama inatakiwa nyingi. Njiani akakumbuka wakati kuku anawaomba msaada.

IT WAS NOT THEIR BUSINESS TILL IT WAS THEIR BUSINESS.
 
Mahaba kwa Li Nyani Ngabu?

Au nawe hulipendi Li Nyani Ngabu kwa vile linajiskia sana?

silipendi eee,kwanza libayaa Lina dharau misifa,hovyooo kabisa, ndio maana umezeeka utaniambukiza uzee
 

jAMII YETU IMEKONGOROKA HILO LIKO WAZI, ILA KAMPUNI GLOBAL KAMA VODA KUUNGA MKONO UKONGOROKAJI KAMA HUO SI SAWA KABISAAA. LAZIMA TUKEMEE. In no time wataanza kuendorse drugdealers, and God knows who.

ENDORSEMENT ZIBAKIE ZA WATU WASAFI WANAO LINDA IMAGE YAO KWENYE JAMII KAMA LUCAS MUHAVILE A.K.A JOTI, NA WENGINE KAMA HAO ILI VIJANA WAONE UMUHIMU WA MAADILI KWENYE UCHUMI WAO BINAFSI.
 
silipendi eee,kwanza libayaa Lina dharau misifa,hovyooo kabisa, ndio maana umezeeka utaniambukiza uzee

Lakini lina mahela hilo. Una uhakika likija PM na kukutongoza utalitolea nje?

Halafu huwa linanukia vizuri kweli. Hutaki na wewe likupe pafyumu zake?
 
lara 1 imezungumza Kwa uwazi ambao mabinti wengi hawawezi kufanya hata kujaribu....! Inasikitisha sijui itaisha lini.....!

Kuisha haiwezi kuisha GHAFLA BIN VUU itachukua mda sanaa, tena sanaa. Ila BIG GLOBAL COMPANY KAMA VODA IKIANZA KUWAJIBIKA YENYEWE KAMA YENYEWE change will come faster than expected. Hawa wasanii wengine wanao chipukia hawatopia mule mule wataona true value ya kuwa ethical kwenye career yao. Of which taifa lolote, jamii yoyote hili ni jambo la msingi sanaaa.
 
cc Vodacom Tanzania
Bibi wenyewe wako humu uisumize kichwa message send!

Nitaendelea kuwakumbusha huko global websites. WAKIICHUNIA HII WATAKVUNJA REKODI NA MIMI NATAMANI WAKAE KIMYA ILI NIENDE MBELE, IT WILL BE SUCH A SHAME WAKICHUKUA HATUA MAPEMAA CAUSE I JUST GETTING STARTED. Hahahaaa!

On the bright side Debby atapewa hela zake in return awasafishe. Of which ni poa tu kama muitaliano alivopewa chake. She deserves the money cause her loss is UNMEASURABLE.
 
Kwahiyo wanawake tuu ndio hunyanyaswa?huyo jokate alivyotangaza diamond hana uwezo wa kumpa mimba mtu ilikuwa promo eeeh?
Hahahaaa! ALICHOFANYA JOKATE SIO KINYUME NA KATIBA YA WANANCHI WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
 
He he he he,

Nimecheka sana hii mada,

Mtoa mada aliwahi kumshauri Wema atoe mimba aendelee kuwa maarufu....

Ha ha ha ha eti ataenda TMZ!....!!
Na MEDIA TAKE OUT. Relax and watch. Na simnanijua kwa propaganda, na kule siendi for Dimond who is dimond? naenda for Voda na endrsement yao na mibango ya na RB. Yaani sumu nitayoipika media takeout na TMZ hawatakua na ujunja in no time itaenda Daily mail Uk, ETC. PR is my thing.
 
its a past,tusonge mbele otherwise una something personal with the guy

Hapana PASTS LEAVES MARKS IN OUR SOCIETY! Kwani Bill Cosby na Chriss Brown walichofanya ni future? NI PAST ILA WAMEWAJIBISHWA. KINACHOTAKIWA NI UWAJIBISHAJI.
 
Hapana PASTS LEAVES MARKS IN OUR SOCIETY! Kwani Bill Cosby na Chriss Brown walichofanya ni future? NI PAST ILA WAMEWAJIBISHWA. KINACHOTAKIWA NI UWAJIBISHAJI.
hakuna anaemjua diamond zaid ya exs wake,lets not judge him.....kama wahusika wamekaa kimya ww unataka useme nn?....alafu usiwadhalilishe kua wana elimu ndogo kitu ambacho sio kweli....na siamini kama diamond ndio mwanaume wa kwanza umesikia amefanya hayo mambo,unaweza kutuambia ni wanaume wangapi umewashughulikia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…