Ah!! Nani kakudanganya kwamba ni mpiganaji?! Huyo tatizo lake ni Diamond na mkataba wa Vodacom na ukitaka kuamini; angalia ambavyo aliwahi kumzungumzia demu wake Diamond: Sasa real feminist anaweza kusema mwanamke mwenzake anazaa kama kuku?! I also hope unamfahamu Zari! Sasa hivi huyu lara1 ana udogo gani wa kumwita Zari bibi kizee kama sio tu lengo lake ni kukashifu?!
But more important, huyo Zari mwenyewe sidhani kama anamfahamu huyu lara1; sasa inda hii inatoka wapi?! Should I continue connecting the dots?
Unamfahamu au umeshapata kumsikia Mange Kimambi? Sifa kuu ya Mange ni kutukana watu mitandaoni na akianza kutukana ni hadi marehemu! Na majority ya wanaotukanwa tena bila staha ni hao hao wanawake! Sasa huyu Mange ndo role model wa lara1 ambae unadhani anapigania haki za wanawake!!
Huyu Mange na Zari haziivi kwahiyo automatically adui wa Mange ni adui wa lara1 na ndio maana hata ukifuatilia huu mjadala utaona watu wanamwita lara1 ni Mange though I don't believe so... Mange is Mange lara1 is lara1!
Likewise, Wema Sepetu ni good girl wa Mange so; automatically she's a good girl to lara1 too! Wema Sepetu kapigwa chini na Diamond and got replaced by Zari! Ndo kisa za hizo kashfa za lara1 hapo juu against Zari... it's in favor of their good girl Wema!
Need to say more? Zamani Vodacom walikuwa wanamdhamini Mange lakini baadae wakampiga chini! Hicho ndo kisa cha povu lote hili against Vodacom!!
But all in all; hivi hujiulizi how come kosa la Rommy atake asurubiwe Diamond? Ukiuliza, jibu lake ni kwamba hata Diamond ana historical abuse huku akitoa reference yake ikiwa
Unique Entertainment Blog: WEMA SEPETU ADUNDWA KAMA MWIZI NA DIAMOND
So, don't be blinded by kind of people wanaotaka kutumia matatizo ya wengine kupenyeza ajenda zao binafsi!!