Pale mfumo wa silaha hatari unapoungana na dawa

Pale mfumo wa silaha hatari unapoungana na dawa

Teleskopu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2017
Posts
702
Reaction score
767
Dunia imeharibika sana.

Wanadamu wamezidi kuunda silaha hatari za kila aina ambazo tayari zina uwezo wa kuangamiza dunia hata mara 3 mara 4.

Zipo silaha za milipuko, za magonjwa, za mionzi na hata za hali ya hewa zinazoweza kutuma kimbunga au hata tetemeko.

Kama yupo mtaalamu, atusaidie kujua namna ambavyo
kilico silaha kinavyoweza kuwa dawa, afya au uzima.

Ukifungua HAPA utaona document ya mmoja wa wanaodai wanajali afya zetu.

01.png

Lakini ndani yake, utaona sehemu nyingi zimefunika hivi:

02.png


Kufunika maana yake wewe na mimi tusijue.
Kwa nini tusijue kama ni jambo jema?
Hapo nisaidie kujibu hata wewe?

Halafu ukija HAPA utakutana na document ambayo inafafanua maana ya (b) (4).

03.png


Hii ni kusema kwamba, kile kilichofunikwa, wanasema kuwa kikiwekwa wazi kitaathiri matumizi ya state of art technology within a US weapon system.

Kwa maana nyingine, kitu hicho kinatumika kwenye state of art technology within a US weapon system, hivyo hawataki wakiweke wazi - wewe kinywe tu usitake kukijua.

State of art technology within a US weapon system maana yake ni teknolojia ya hali ya juu ndani ya mfumo wa silaha wa Marekani.

Sasa unatafuta nini huku kwenye afya yangu?

Mimi sijasema hizi ni silaha za maangamizi.
Nimetoa tu kama mchango wa knowledge.
Soma,
tafakari,
chambua,
kisha amua mwenyewe.

USILALE SANA!
 
Sidhani kwa maandishi hayo ndo chanjo iwe silaha. Hivi wakitaka kutumaliza si wanatumaliza mara moja tu kwa nini wazunguke kiasi hicho?
hicho unachosema si utetezi mkuu. Shukuru tu Mungu bado upo hai lakini waliokufa ni mabilioni tangu waanze hila zao. Ndio maana wanaitwa secret societies. Jitahidi usome document hii mkuu --- The Secret Covenant of the Illuminati
 
Ila mkuu ishu ya chanjo inakuvuruga haswa aisee. Unakesha kubaini mengi kuhusu chanjo.

Mi nakushauri we chanja tu na kama hutaki kabisa basi wape nafasi wanaotaka kuchanja wachanje.
Uko sahihi mkuu - inanivuruga mno, tofauti tu ni kwamba SI KWA AJILI YANGU BALI KWA AJILI YA TANZANIA NA WATOTO WAJAO - mimi kama mimi nilishafanya uamuzi wangu, haubadiliki na hainisumbui. Lakini umati mkubwa umelala fofofo. Nikiokoa hata mmoja, sio mbaya.
 
Back
Top Bottom