Dunia imeharibika sana.
Wanadamu wamezidi kuunda silaha hatari za kila aina ambazo tayari zina uwezo wa kuangamiza dunia hata mara 3 mara 4.
Zipo silaha za milipuko, za magonjwa, za mionzi na hata za hali ya hewa zinazoweza kutuma kimbunga au hata tetemeko.
Kama yupo mtaalamu, atusaidie kujua namna ambavyo
kilico silaha kinavyoweza kuwa dawa, afya au uzima.
Ukifungua
HAPA utaona document ya mmoja wa wanaodai wanajali afya zetu.
View attachment 1952153
Lakini ndani yake, utaona sehemu nyingi zimefunika hivi:
View attachment 1952154
Kufunika maana yake wewe na mimi tusijue.
Kwa nini tusijue kama ni jambo jema?
Hapo nisaidie kujibu hata wewe?
Halafu ukija
HAPA utakutana na document ambayo inafafanua maana ya (b) (4).
View attachment 1952157
Hii ni kusema kwamba, kile kilichofunikwa, wanasema kuwa kikiwekwa wazi kitaathiri matumizi ya state of art technology within a US weapon system.
Kwa maana nyingine, kitu hicho kinatumika kwenye state of art technology within a US weapon system, hivyo hawataki wakiweke wazi - wewe kinywe tu usitake kukijua.
State of art technology within a US weapon system maana yake ni teknolojia ya hali ya juu ndani ya mfumo wa silaha wa Marekani.
Sasa unatafuta nini huku kwenye afya yangu?
Mimi sijasema hizi ni silaha za maangamizi.
Nimetoa tu kama mchango wa knowledge.
Soma,
tafakari,
chambua,
kisha amua mwenyewe.
USILALE SANA!