Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Conspiracy theories ziko nyingi mkuu, kutokana matukio mengi makubwa yalowahi tokea siwezi anza orodhesha hapa.kama hautojali unaweza kutuwekea tafiti yako uliyofanya mpka ukagundua hazina ukweli
Na wamelala kweli kweli. Bahati mbaya hata ukitaka kuwaamsha au kuwapa dondoo kidogo za ufahamu wanakupinga, wanakukejeli na kukushangaa.Uko sahihi mkuu - inanivuruga mno, tofauti tu ni kwamba SI KWA AJILI YANGU BALI KWA AJILI YA TANZANIA NA WATOTO WAJAO - mimi kama mimi nilishafanya uamuzi wangu, haubadiliki na hainisumbui. Lakini umati mkubwa umelala fofofo. Nikiokoa hata mmoja, sio mbaya.
Conspiracy theories ziko nyingi mkuu, kutokana matukio mengi makubwa yalowahi tokea siwezi anza orodhesha hapa.
Ugonjwa wenyewe kiuhalisia haupo ila unaweza kujiletea mwenyewe ukitaka, na ukitaka kujiletea ugonjwa wa uviko wewe vaa barakoa muda wote, ugonjwa utakuja tu na utahitaji kuwekewa oksijeni baada ya kuuharibu wewe mwenyewe mfumo wa upumuaji kwa vile Televisheni na wataalamu wa afya wamesema tuvae!!
Mkuu ina maana huna akili za kuona mambo? Unakataa Conspiracy kuwa ipo na kuna maniplation so deeper in human enslavement..Ni nadharia kwa sababu wanakuwa na explanations tofauti kuhusu mambo fulani fulani
Ni mkuu - a very sad truth - lakini hatutaacha kusema, huenda mmoja au wawili watasikia na kuelewa kinachoendeleaNa wamelala kweli kweli. Bahati mbaya hata ukitaka kuwaamsha au kuwapa dondoo kidogo za ufahamu wanakupinga, wanakukejeli na kukushangaa.
Muda utaongea lakini. And it will be too late.
asante mkuu kwa point hizoUgonjwa wenyewe kiuhalisia haupo ila unaweza kujiletea mwenyewe ukitaka, na ukitaka kujiletea ugonjwa wa uviko wewe vaa barakoa muda wote, ugonjwa utakuja tu na utahitaji kuwekewa oksijeni baada ya kuuharibu wewe mwenyewe mfumo wa upumuaji kwa vile Televisheni na wataalamu wa afya wamesema tuvae!!
Ndo maana "wakubwa" wanakufa sana
inasikitisha kwelikweli. Kibaya zaidi ni kwamba tunaenda shule kukariri tu lakini hatutoki na thinking skills zinazotuwezesha kuchambua mambo na kubaini ukweli sisi wenyewe. Tukishikilia tulichoambiwa, tumeshikilia kama msumari.Mkuu ina maana huna akili za kuona mambo? Unakataa Conspiracy kuwa ipo na kuna maniplation so deeper in human enslavement..
Ngoja nikuulize swali kama una akili!
Nini kazi ya Fluoride kwenye maji na dawa za meno! Poa jifunze kidogo toxicity ya hiyo element kutuwekea kwenye vitu tunavotumia daily!
Pia nambie kwa nini wanatuwekea "viinilishe" mnaita 'Fortification' kwenye sembe na ngano na mmefunga vifaa kwa lazima kwa wenye mashine za unga ili kumwaga hizo "synthetic elements" kwenye vyakula wanavotumia watu daily!
Nimeisikia Huko mkoa fulani wanatembelewa nyumba kwa nyumba
Ndio wanatumaliza kwa njia hii.Sidhani kwa maandishi hayo ndo chanjo iwe silaha. Hivi wakitaka kutumaliza si wanatumaliza mara moja tu kwa nini wazunguke kiasi hicho?
Mtu anayeemini mzungu anataka kumuua kwa chanjo ya covid19 anatakiwa aache kutumia vitu vyote vinavyotengenezwa na mabeberu.valuu ni nini mkuu? Na anatakiwa asemeje?
Hiyo njia ni ndefu sana (kama ni kweli) na sidhani kama mtu mweupe akiamua kukuua atazunguka kiasi hicho.Ndio wanatumaliza kwa njia hii.
kwa kauli hiyo unaamini kuwa anayeamini kuwa chanjo ni salama inabidi pia akubali ushoga, kubadili jinsia, kuoanana mbwa, nk, au sio?Mtu anayeemini mzungu anataka kumuua kwa chanjo ya covid19 anatakiwa aache kutumia vitu vyote vinavyotengenezwa na mabeberu.
ExactlyUgonjwa wenyewe kiuhalisia haupo ila unaweza kujiletea mwenyewe ukitaka, na ukitaka kujiletea ugonjwa wa uviko wewe vaa barakoa muda wote, ugonjwa utakuja tu na utahitaji kuwekewa oksijeni baada ya kuuharibu wewe mwenyewe mfumo wa upumuaji kwa vile Televisheni na wataalamu wa afya wamesema tuvae!!
Ndo maana "wakubwa" wanakufa sana
Hahaha Mkuu huku umefika mbalikwa kauli hiyo unaamini kuwa anayeamini kuwa chanjo ni salama inabidi pia akubali ushoga, kubadili jinsia, kuoanana mbwa, nk, au sio?
mkuu fanya uchunguzi zaidi baba, chanjo hazikumaliza magonjwa hayo. Yote ilikuwa ni uongo mtupu kama uongo wa leo. Usiwe mwepesi kukubali mambo kwa sababu tu ni wazungu wamesemaHiyo njia ni ndefu sana (kama ni kweli) na sidhani kama mtu mweupe akiamua kukuua atazunguka kiasi hicho.
Hizo chanjo hata wao wanatumia, enzi tunaletewa za ndui, polio na pepopunda tulitumia vizuri pasipo ujuaji na zilisaidia sana leo hii hayo magonjwa hayapo.
Sasa hivi kila mtu anajifanya mjuaji, kila mtu daktari wakati hata panadol tu hatuwezi kutengeza